mkutano

Mkutano Meets the Culture Musical Club of Zanzibar is an album by American blues artist Taj Mahal.

View More On Wikipedia.org
  1. J

    Pre GE2025 Jokate awapa tano vijana kwa maandalizi mazuri ya mkutano mkuu CCM

    ✳️JOKATE AWAPA TANO VIJANA KWA MAANDALIZI MAZURI YA MKUTANO MKUU CCM. Na Mwandishi Wetu KATIBU Mkuu wa Jumuiya ya Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM) Jokate Mwegelo amesema jumuiya hiyo imeridhishwa na kazi kubwa na nzuri iliyofanywa na vijana wa chama hicho ya kuandaa ukumbi kwa...
  2. Pascal Mayalla

    Live from Hyatt Regency: Mkutano wa Waziri Prof. Kitila Mkumbo, TIC na EPZA na Wahariri wa Jukwaa la Wahariri, (TEF)

    Wanabodi, Niko hapa Hyatt Regency, zamani Kilimanjaro Kempiski, kuwaletea mkutano wa Waziri wa Mipango na Uwekezaji, Prof. Kitila Alexander Mkumbo na Wahariri wa Jukwaa la Wahariri. https://www.youtube.com/live/WFUYWRfpEMo?si=IndxqjQLpwOEv19tKaribuni. OFISI YA RAIS, MIPANGO NA UWEKEZAJI TAARIFA...
  3. Waufukweni

    Pre GE2025 CCM kufanya mkutano mkuu Januari 18 na 19 Dodoma, kumpata mrithi wa Kinana

    Katibu wa Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Amos Makalla amesema mkutano mkuu wa chama hicho utafanyika kati ya Januari 18 na 19, 2025 jijini Dodoma. Katika mkutano huo utakaoongozwa na mwenyekiti wake, Rais Samia Suluhu Hassan kutafanyika uchaguzi wa makamu...
  4. Poppy Hatonn

    Huu mkutano wa Mnyika ni wa kuongeza mtafaruku au wa kupunguza?

    Huku mkutano hauna fununu kwamba utakuwa unahusu nini. Meanwhile tumeona mambo yanakuwa acrimonious katika kampeni. Watu wanasema tumfukuze Tundu Lissu kutoka kwenye Chama,tumuadhibu Tundu Lissu. Once the campaign is underway, Kamala Harris anaweza vipi ku mu-arrest Donald Trump? Yule ndiye...
  5. Cannabis

    Pre GE2025 Lissu: Hakuna kanuni ndani ya CHADEMA zinazotaka ukiwa kiongozi uchangie pesa za mkutano

    Makamu mwenyekiti wa CHADEMA amesema hakuna kanuni ndani ya chama hicho inayosema ukiwa kiongozi unatakiwa uchangie pesa kwa ajili ya mkutano hivyo hata akishindwa kuchangisha milioni 30 kwa ajili ya mkutano huo hatakuwa na kosa. Amesema kuhusu habari ya mamilioni yaliyochangishwa na wengine ni...
  6. R

    Tuliokuwepo tujikumbushe: Mkutano wa Rais Julius Nyere na waandishi wa habari

    Nyerere Julius hakupenda kilichokuwa kinaendelea Ikulu wakati wa Mwinyi. Akasema ni mahali patakatifu. Kulikuwa na minongono mtaani, redio mbao for that matter kuwa anataka "kumpindua" Mwinyi. Sasa akafanya mkutano na waandishi wa habari kusisitiza kuwa Ikulu ni mahali patakatifu. Sasa...
  7. Ngongo

    Tumchangie Lissu 30 Million za Mkutano Mkuu wa CHADEMA

    Heshima sana wanajamvi. CHADEMA wanatakuwa na kikao cha mkutano mkuu kwaajili ya kuchagua viongozi wakuu wa kitaifa. Nafahamu zipo nafasi nyingi zitakazo gombewa ila nafasi ya Mwenyekiti wa Taifa ndio habari ya mjini. Budget za mkutano mkuu ni kubwa sana chama kama chama wana kiasi cha Tsh...
  8. Rula ya Mafisadi

    Huyu Wenje mbona anazidi kumuharibia Mbowe, kama amechangia 250M Mkutano Mkuu wa Taifa nani amechangia mikutano mikuu 64,000 ya misingi nchi nzima?

    Kamanda Wenje mbona unazidi kumuanika na kumuharibia kabisa kamanda Mbowe, Umesema CHADEMA hatuna pesa ni kweli hatuna lakini kwanini hatuna pesa?Jibu wahisani hawamwamini tena Mbowe. Naomba unijubu maswali haya, 1. Je, mikutano mikuu yote ya misingi zaidi ya 64,274 nchi nzima ni Mbowe...
  9. Tlaatlaah

    Pre GE2025 Uchaguzi wa Mwenyekiti wa CHADEMA-TAIFA hauna ushindani kabisa, ni Uchaguzi mwepesi mno

    Ni uchaguzi wenye makelele mengi mitandaoni, lakini hauna ushindani kabisa kiuhalisia field. Hii ni kutokana na ukweli kwamba kwa upande moja mgombea ni dhaifu sana ndani ya chama, yaani kwamba mgombea huyo anaungwa mkono nje ya chama, kwenye mitandao ya kijamii na wana harakati wasio na...
  10. Rula ya Mafisadi

    KANDA YA PWANI: Mwenyekiti mstaafu wa Kanda hiyo Baraka Mwago amewataka wajumbe wote wa mkutano mkuu wamchague Tundu Lissu ili chama kisife

    Allahmdulillah! Nilipata heshima ya kuhudumu kwenye nafasi mbalimbali za chama chetu kuanzia nyumbani Mkuranga, kisha Uenyekiti wa Mkoa wa Pwani. Niliiongoza Kanda ya Pwani kwa miaka mitano wakati wa mawimbi makali ya mwendazake, na nikahudumu katika Kamati Kuu ya Chama kwa miaka 5. Kwa uzoefu...
  11. 4

    Pre GE2025 Kwenu wajumbe wa Mkutano Mkuu CHADEMA kwa uchaguzi ndani ya chama , ole wenu

    Wakuu JF amani ya Bwana ikawe juu yenu kila mmoja kwa imani yenu ,popote mlipo ,niwatakie kheli ya mwaka mpya popote mlipo. Husika na mada tajwa hapo juu. Kuleni pesa ikitokea mtu kajipendekeza kwenu na vijisenti vyake ila kumbuka mmetumwa na wanachama ambao wamewapa dhamana kubwa ya kiuongozi...
  12. Tlaatlaah

    Huyu mgombea Uenyekiti wa CHADEMA Taifa kila kiongozi mwenzake mwandamizi, pamoja na Wajumbe wa Mkutano Mkuu Taifa anawona kama madui au wabaya wake

    Ni wazi ana hamaki na mawenge ya kiwango cha juu mno. Anaweweseka sana na amekosa utulivu, hana uhakika wa amani na kwakweli kujiamini kwake, mdomo na makelele kuna pungua kadiri siku zinavyokwenda. Nadhani sasa amefikia ukomo wa kufunguka yaliyokua yakimzonga moyoni mwake baada ya kuyahifadhi...
  13. DR Mambo Jambo

    FAM aitisha Hafla ya Siri Nyumbani kwake Akialika Wajumbe Wa Mkutano Mkuu Na Kuwaahidi Vinono

    EXCLUSIVE NEWS zinanifikia mezani kwangu… Jana siku ya X-Mass kulikua na Hafla Nyumbani kwa FAM… Influencers wakubwa akiwemo Yule Jamaa Madenge wa EFM walialikwa… pamoja na Wanasiasa kadhaaa… Tutegemee kuanzia January kuchafuka kwa Mitandanoi watu wapo kimaslahi Binafsi! FAM atasifiwa kwa...
  14. econonist

    Tuache kuwabeza wajumbe wa Mkutano mkuu CHADEMA

    Ninatoa raia ya kwamba tusiwabeze wajumbe wa Mkutano Mkuu CHADEMA Kwa kuonesha kwamba wanashinikizwa kufanya maamuzi kwa njia ya Rushwa. Wajumbe wa mkutano mkuu hawawezi kuhongwa maana wanajua nani anafaaa kuwa mwenyekiti wa chama na si vingine. Kuna watu kama akina Ntobi wameshajihakikishia...
  15. R

    Tujadili kasoro za mkutano wa mbowe na Wahariri

    1. Hapakuwepo na maridhiano, bali mazungumzo ya kuelekea maridhiano ambayo yangetupeleka kwenye maridhiano 2. Mbowe hakuandaa warithi:, swali hilo hakulijibu inavyopashwa. Chama ndicho kinachoandaa warith na si Mbowe maana hiyo itakuwa kama anarithisha cheo MY OBSERVATION: NILIWAHI KUWASHAURI...
  16. S

    Lissu akiitisha mkutano wa waandishi wa habari kumjibu Mbowe, TBC wataurusha live?

    Hili ndio swali ninalojiuliza baada ya Mbowe leo kuongea na waandishi wa habari. Tusisahau kuwa kwa sass Lissu hana tena cha kupoteza baada ya Mbowe kutangaza kugombea na kama kuna mambo hakuyasema, basi kwa sass tutarajie kuyasikia Swali ni je, TBC watarusha live mkutano wake iwapo ataitisha...
  17. chiembe

    Kama viongozi wa mikoa yote wa chama cha chadema wamehudhuria mkutano wa Mbowe, na Lissu anazurura peke yake, uchaguzi umekwisha!

    Nimeona viongozi wote wa mikoa wa chama cha demokrasia na maendeleo wamepiga kambi kwa Mbowe wakijiapiza kumuunga mkono, naona Mbowe kafunga hesabu, uchaguzi umekwisha. Lissu anazurura peke yake tu na makaratasi mkononi
  18. Roving Journalist

    Mkutano wa Waziri, Prof. Palamagamba Kabudi na Wadau wa Sekta ya Habari na Utangazaji, Desemba 18, 2024

    https://www.youtube.com/watch?v=-yZfMNUBE8U Mkutano wa Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Prof. Palamagamba Kabudi na Wadau wa Sekta ya Habari na Utangazaji jijini Dar es Salaam. Gerson Msigwa: Kuna Vyombo vya Habari 1,023 vilivyosajiliwa Nchini Katibu Mkuu Wizara ya Habari...
  19. Dr Akili

    Ngurumo: 90% waliohudhuria huo mkutano wa Tundu Lissu alipokuwa akikinanga chama chake, walikuwa ni wana CCM waliovaa sare za CHADEMA bila yeye kujua

    Kweli ccm ni zaidi ya hatari. Ni wabobezi na welevu wa kila mbinu za ku deal na upinzani in a friendly way bila wao kujua. Kumbe waliohudhuria ule mkutano wa Tundu Lisu alipokuwa akikinanga chama chake cha chadema, wengi waliohudhuria mkutano huo, pasipo Tundu Lissu kujua, walikuwa ni wana ccm...
  20. kavulata

    Nani amegharimia mkutano wa Lissu?

    Je, ni wanachadema wasiompenda Mbowe au ni wanaCCM wasiopenda mambo yalivyo kwenye awamu hii? Je, ni fedha za wazungu? Nani ana majibu haya maana Mh. Lissu hana fedha za kuweza kulipia gharama zote za mkutano na wajumbe.
Back
Top Bottom