mkuu wa mkoa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Pre GE2025 Ndugai atoa hoja utaratibu kumwona daktari kwa Tsh. 10,000 ufutwe

    SPIKA Mstaafu na Mbunge wa Kongwa, Job Ndugai ameishauri serikali kuangalia upya utaratibu uliopo sasa, katika hospitali nyingi za umma kuwa ni lazima mgonjwa kutoa Sh. 10,000 kwa ajili ya kumuona daktari. Ndugai, alisema hayo juzi jijini hapa, wakati akichangia hoja kwenye kikao cha Kamati ya...
  2. B

    Tetesi: Mkt CCM Simiyu kuteuliwa Mkuu wa Mkoa, Kihongosi akalia kuti kavu

    MKUU wa Mkoa wa Simiyu, Kennan Kihongosi amekalia kuti kavu baada ya kushindwa kusimamia shughuli za Serikali ndani ya Mkoa huo na kutumia muda kujihusisha na makundi ya kisiasa ya kugombea ubunge katika Jimbo la Bariadi. Tetesi zinazoenea ni kwamba mkuu huyo wa mkoa ameshagombana na Mwenyekiti...
  3. KAMA HILI LA MKUU WA MKOA MWANZA KWELI..TFF BODI YA LIGI MNAHITAJI MPELEKWE KWA MWAMPOSA MKAOMBEWEEE

    Jana nimemsikia mkuu wangu kaka Yangu msemaji wangu wakimhoji kuhusu UWANJA Simple akasema kaulizen tff waliopokea wale waliokuja kukagua wakatangaza kuufungia Nirudi kwenye madaa HAPO juu Nimemsikia mkuu WA MKOA MWANZA akilalamika UWANJA umefungiwa Akaita viongozi WA UWANJA JE Kuna mtu...
  4. Mkuu wa Mkoa wa Geita awafukuza kikaoni Maafisa wa Mgodi wa Dhahabu wa Geita

    Mkuu wa Mkoa wa Geita, Martine Shigella amewamuru Watendaji watatu ambao ni Wafanyakazi wa Kampuni ya Mgodi wa Dhahabu wa Geita (GGML) kutoka nje ya ukumbi wa kikao cha Kamisheni Cha Mkoa (RCC). Uamuzi wa Shigela unakuja kufuatia kutoridhishwa na majibu ya maofisa hao wa GGML juu ya malipo ya...
  5. Pre GE2025 Arusha Saccos yamshukuru Rais Samia kwa kuwapa Makonda, Mkuu wa Mkoa mchapakazi na Mbunifu

    Klabu ya Arusha Saccos imemshukuru Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa kumteua Mhe. Paul Christian Makonda kuwa Mkuu wa Mkoa wa Arusha, wakisema amekuwa chachu ya maendeleo ya Mkoa huo hasa katika masuala ya kiuchumi na ustawi wa mwananchi mmoja mmoja...
  6. Tabora: RC Paulo Chacha amsimamisha kazi Meneja GPSA kwa kutukana wateja

    Wakuu, Mkuu wa Mkoa wa Tabora, Paulo Chacha, amemwagiza Katibu Tawala wa Mkoa kumsimamisha kazi Meneja wa Wakala wa Huduma za Ununuzi Serikalini (GPSA) Mkoa wa Tabora, Mayala Mburi, kutokana na tuhuma za kumtukana matusi wateja waliokwenda kupata huduma za mafuta, akiwemo mtumishi kutoka ofisi...
  7. Mkuu wa majeshi Jacob Mkunda akutana na mkuu wa mkoa wa Ruvuma na kufanya mazungumzo na Kamati ya Ulinzi na Usalama

    Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi Jenerali Jacob John Mkunda amemtembelea Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Kanali Ahmed Abass ofisini kwake na kufanya mazungumzo na Kamati ya Ulinzi na Usalama Leo tarehe 27 Februari 2025. Katika mazungumzo yao Jenerali Mkunda amempongeza Mkuu wa Mkoa pamoja na Kamati yaUlinzi na...
  8. Mkuu wa mkoa Tabora awawashia moto watendaji, kisa vibarua wa ujenzi kutokulipwa, aagiza mkandarasi kukamatwa

    Mkuu wa Mkoa wa Tabora Paul Chacha ametoa siku moja kwa Kaimu Mkurugenzi wa Halmshauri ya Manispaa ya Tabora Dkt. Shani Mdamu ahakikishe kukamatwa kwa mkandarasi anayetekeleza mradi wa ujenzi wa majengo Kituo cha Afya cha Itetemia kilichopo Manispaa ya Tabora kutokana na tuhuma za kutowalipa...
  9. Kampeni ya Mama Samia Legal Aid yatarajiwa kuanza Mwanza kuanzia Februari 18 hadi 27. Mkuu wa mkoa atoa neno

    Mkoa wa Mwanza unatarajia kuzindua Kampeni ya Msaada wa Kisheria ya Mama Samia itakayodumu kwa muda wa siku 10 kutoka Februari 18 hadi 27 mwaka huu katika Uwanja wa Furahisha jijini Mwanza. Akizungumza na waandishi wa habari ofisini kwake Mkuu wa Mkoa wa Mwanza, Said Mtanda amesema mara baada...
  10. Mkuu wa Mkoa Kagera - Mwassa: Wazazi pambaneni Watoto wenu wasiwe machawa

    Mkuu wa Mkoa wa Kagera Hajat Fatma Mwassa amewasihi wazazi na walezi mkoani Humo kuhakikisha wanawasimamia Watoto wao wanapata elimu iliyo bora itakayowawezesha kujitengenezea maisha badala ya kutumia muda mwingi kujipendekeza na kuwa machawa. Mwassa ametoa kauli hiyo Februari 11, 2025 kwenye...
  11. Songwe: Mganga Mkuu wa Mkoa afafanua madai ya kusambaa kwa magonjwa ya tumbo na kipindupindu

    Mganga Mkuu wa Mkoa wa Songwe, Dkt. Boniface Kasululu ametolea ufafanuzi taarifa ya Mwanachama wa JamiiForums.com aliyedai kuwa baadhi ya maeneo ya Mkoa wa Songwe yana changamoto ya Wananchi kuumwa magonjwa ya matumbo na kuwa anahisi wengi wao wao wanasumbuliwa na Kipindupindu. Kusoma andiko la...
  12. B

    Mkuu wa Mkoa wako uliko anafaa kuwatumikia au awekwe kando?

    Mkuu wa Mkoa wako uliko sasa je anafaa kuendelea kushika wadhifa huo kuwahudumia wananchi? mimi Mkuu wangu wa Mkoa Chalamila naona ni vema akae pembeni sijui wewe huko uliko mkuu wako wa mkoa anawajibika?
  13. Kauli tata za RC Chalamila kwenye matamko mbalimbali nchini

    Albert Chalamila, akiwa Mkuu wa Mkoa katika mikoa tofauti, alijipatia umaarufu kutokana na kauli zake tata na zingine ambazo mara nyingi ziliwaacha watu hoi. Akiwa katika Mkoa wa Mbeya, aliwahi kusikika akitoa agizo la kuchapa viboko wanafunzi walioteketeza mabweni, jambo lililozua mjadala...
  14. ACT Wazalendo: Mkuu wa Mkoa wa Dar awajibishwe haraka kulinda utu wa Wananchi

    MKUU WA MKOA WA DAR ES SALAAM AWAJIBISHWE HARAKA KULINDA UTU WA WANANCHI Chama cha ACT Wazalendo kinalaani vikali kauli ya Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Ndg. Albert Chalamila inayowataka wanawake kujifungua nyumbani kwa kutumia visu na mikasi endapo watakosa fedha za kulipia huduma...
  15. Mjawazito kugharamia tiba: Je kauli ya mkuu wa mkoa wa Dar ndio msimamo rasmi wa serikali? Serikali itoe kauli.

    Watanzania wamesikia kauli ya mkoa wa Dar, Albert Chalamila kuwa, mjawazito atawajibika kuchangia matibabu na akishindwa aende akajifungulie nyumbani. Japokuwa imetolewa kwa kebehi lakini ni kauli iliyobeba uzito mkubwa ikizingatiwa sera rasmi ya serikali katika sekta ya afya ni mjawazito...
  16. Nasimama na Mkuu wa mkoa wa Dar, kutukumbusha kuwajibika

    Leo watu wanamshambulia Mkuu wa mkoa wa Dar Kwa kumjibu mama mjamzito aliyeambiwa na wauguzi kuhusu kuchangia pesa ya kumnunulia gloves 🧤 za kumsaidia kujifungua Mimba ni miezi 9 sio suala la ghafla kama ajali, Yaani mwanamke anavua chupi, mimba inaingia, unalea mimba miezi 9, Hadi siku ya...
  17. KERO Kivuko cha Busisi- Kigongo hakina ferry zote ni mbovu. Wananchi wanataabika. Mkuu wa Mkoa wa Mwanza ingilia kati suala hili

    Hizi ni habari za muda huu. Tunaomba Mkuu wa Mkoa wa Mwanza Mh Ntanda uingilie kati. Wasafiri wanataabika sana.
  18. Pre GE2025 Arusha: Paul Makonda atoa pikipiki 20 kwa Jeshi La Polisi ili kuimarisha Ulinzi na Usalama

    Wakuu, Tunaposema kwamba CCM wameanza kampeni kabla ya muda elekezi hii ndio maana yake. ========================================================= Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Paul Christian Makonda, leo Januari 24, 2025, amepokea pikipiki 20 zilizotolewa na Leopard Foundation kwa Jeshi la Polisi...
  19. T

    Mkuu wa mkoa wa Kivu kasikazini auliwa na M23

    Major General Peter NKUBA CHIRIMWAMI, mkuu wa jeshi na mkuu wa mkoa wa Kivu Kasikazini, jana tarehe 23 Januari 2025, majira ya saa moja na dakika 44 usiku,alipokuwa amewatembelea wanajeshi wake kuwaunga mkono katika vita na kundi la waasi la M23, alimiminiwa risasi na kufariki hapo hapo. Baada...
  20. Mkuu wa mkoa wa Mbeya aagiza kukamatwa kwa mkandarasi endapo atashindwa kusambaza kifusi katika barabara ya Mtaa wa Uzunguni A

    Mkuu wa Mkoa wa Mbeya Juma Homera ameliagiza Jeshi la Polisi katika mkoani hapo kumkamata na kumweka ndani Mkandarasi anayejenga barabara ya Mtaa wa Uzunguni A Jirani na Mahakama ya Mwanzo endapo atashindwa kusambaza kifusi cha changarawe ambacho kimekuwepo maeneo hayo kwa muda mrefu. Homera...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…