Hapo Jana Mh Chalamila aliweka utaratibu wa wanywaji wa Mbeya , kwa kutoa muda wa hadi saa 3 usiku wawe wamepukutika kwenye mabar , kwa hoja kwamba baada ya muda huo wengi wanakuwa wamelewa kiasi cha kukiuka kinachoitwa Social Distancing ili kuzuia maambukizi ya virusi vya Corona .
Lakini...
Leo mkuu wa mkoa wa Simiyu mh Mtaka amezindua utaratibu wa kupulizia dawa mabasi yote na vyombo vingine vya usafiri mkoani humo.
Katika tukio la kushangaza wananchi waliokuwepo stendi kuu kushuhudia zoezi hilo walimtaka mkuu huyo wa mkoa kutoa agizo la kuwaweka katika Karantini abiria wote...
Mkuu wa mkoa wa Mtwara amesema kuanzia jumatatu mwananchi yoyote atakayefika ofisi ya mkuu wa mkoa ( mkoani) ni lazima avae barakoa vinginevyo atazuiliwa getini.
Mkuu wa mkoa amechukua hatua hiyo kama jitihada zake za kuzuia maambukizi ya Covid 19.
Chanzo: ITV habari!
Tunashangaa sana sisi wakazi wa huku Mburahati NHC kuna vijana wanakaa katika makundi huku wakivuta bangi na kucheza kamali pamoja na janga hili kubwa huku wahusika hawashughuliki nalo tunaomba serikali iliangalie hili kumekuwa na wimbi kubwa la vijana wanaovuta bangi na kucheza kamali...
Kufuatia kuuwawa kikatili kwa asikari wa JWTZ akiwa anatoka dolia ,kumeleta sintofahamu kwa wakazi wa mjini Tabora,
Mimi nikiwa raia mwema,nimesikitishwa na vitendo vya asikari wa Jeshi la ulinzi la wananchi wa Tanzania kuwatembezea kipigo raia bila huruma kila wanaekutana nae tena bila kumpa...
Nadhani wakati wa RC Mhaville jijini Dsm mwanajf Pascal Mayalla ulikuwa tayari umeajiriwa RTD na kamanda Mrangi mzee wa Ova ulikuwa unauza Raba za mitumba tukiziita Raba mtoni enzi zile.
Kwa kweli sipati picha kama mzee Mhaville angekuwa ndiye RC wa Dsm nyakati hizi za Corona.
Mzee Mhaville...
Jamani naomba msaada maana mara kwa Mara nasikia uteuzi wa wakuu wa mkoa na wilaya. Kibaya zaidi nipale ninapo sikia mkuu wamkoa Fulani amestaafu nafasi yake amechukua kanali mstaafu inamaana hakuna watu wengine na kwanini sijawahi kusiakia RPC mstaafu kawa mkuu wa mkoa.
Natafuta kazi...
The regional commissioner of the Tabora Region Ukiwaona Ditopile Mzuzuri has been arrested under suspicion of shooting dead in the head a Dala-Dala Driver last night.
News that reached TZUK.net from a very credible source in Tanzania say that Ditopile's vehicle was hit by the DalaDala that sped...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.