Naona Ole Sendeka huyooo Simanjiro. Kesho naona kuna uteuzi tena yani tutaapisha mpaka tuchoke.
Hakuna kuridhika wala nini kudadadadeki. Vyeo vyenyewe unatumbuliwa unatoka patupu kama kufanya kazi ya upupu.
Aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Tabora Mh. Agrey Mwanri amechukua fomu ya kugombea Ubunge katika jimbo la Siha mkoani Kilimanjaro.
===
Aggrey Deaisile Joshua Mwanri amezaliwa Julai 17, 1955 alikuwa mbunge wa Siha tangu mwaka 2000, mwaka 2015 aliteuliwa kuwa Mkuu wa Mkoa wa Tabora na amestaafu...
Nimejiuliza, Rais wetu mpendwa alipokuwa Mwalimu pale Sengerema Secondary School, alipoomba Ruhusa ya kwenda kugombea Ubunge kule Biharamulo. Je, aliachishwa kazi? Watu wanaomba ruhusa ili wakajaribu bahati zao, badala ya kupewa ruhusa wanatumbuliwa. Hii mnaionaje raia?
Binafsi naona sio sawa...
Katika maisha yangu haya sitasahau umbali mrefu zaid niliowahi kutembea nilitoka dodoma mjini mpaka iringa zaidi ya km 240.pia nimewahi kutoka singida mpaka babati.pia nishatembea kutoka igunga mpaka singida mjini na nilitumia siku moja.pia nimewahi kutembea kutoka masasi mpaka nachingwea kwa...
Tunasubiri tuone atasema nini Rais Mzalendo Magufuli
------ UPDATE----
Rais Magufuli leo amemwapisha Idd Kimanta kuwa Mkuu wa Mkoa wa Arusha anayechukua nafasi ya aliyekuwa mkuu wa mkoa huo Mrisho Gambo baada ya kutenguliwa Juni 19, 2020.
HOTUBA YA RAIS MAGUFULI (KWA UFUPI)
Nami niungane...
UTEUZI WA RC ARUSHA NA DC ARUSHA WATENGULIA
Rais Magufuli, leo ametengua uteuzi wa Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Mrisho Gambo na nafasi yake imechukuliwa na aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Monduli, Idd Kimanta
Pia ametengua uteuzi wa Mkuu wa Wilaya ya Arusha, Gabriel Daqarro na nafasi yake imechukuliwa...
Katika KAZI rahisi Sana ktk nchi hii mojawapo ni mkuu wa Mkoa (mwakilishi wa Rais kama wanavyopenda kujiita).
KAZI kubwa ya RC ni kusimamia ulinzi na usalama Kwa kupitia vyombo vya ulinzi na usalama vilivyopo mkoani kwake.
Kwangu Mimi hii ndio KAZI mama ya RC, Mambo mengine kama vile...
Wanajamvi salama?
Wakati joto la uchaguzi likizidi kupanda hatimaye mkuu wa mkoa wa Morogoro bwana Loata Sanare amediriki kuwa nje ya kituo chake cha kazi mwezi mmoja sasa
Nilizozipata asubuhi ya leo kutoka vyanzo vyangu zinàsema tokea ateuliwe amekuwa akisononeka sana moyoni na kuanza...
Akiwa katika ujenzi wa daraja la Tanzanite, Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Paul Makonda amewataka wakazi wake kufanya fujo za hali ya juu ikiwepo kupiga kelele kwa nguvu zote na watu kwenda beach kama ishara ya kumpongeza Rais kwa kuishinda COVID 19.
Pia Makonda amewataka watu wote waliokimbià...
Mkuu wa Mkoa wa Tanga amedai wapo madreva 19 wa Kenya waliothibitika kuwa na Corona lakini hawakuwakataa alimaanisha na Kenya waruhu madreva wetu bila kujali Hali zao kiafya waingie Kenya. Swali;
1. Walipimwa lini?
2. Walipimwa boda wakakaa kusubiri majibu kutoka dar?
3. Walipimwa lini kwa...
Habari watanzania wote, upendo na amani vitawale.
Usiku saa 2, taarifa ya habari ya Azam TV, Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro kasema yeye alikuwa na maambukizi ya Corona baada ya kupima, na alianza kutumia majani ya mmea ambao ni ule wa Madagascar wanautumia, alikuwa anatafuna na akataja jina lake...
NA: ALLY KATALAMBULA
Kwa sentensi ndefu na wino uliokolezwa kwa maandishi makubwa na madogo, mkuu wa mkoa wa Ruvuma, Mh: Chritina Mndeme, SIYO RAIA WA TANZANANIA na kwa miaka mitano ya JPM yeye ndio ‘Man Of The Match’
Sauti imetosha? Au niongeze kidogo?
Siku za nyuma niliwahi kuandika...
Salamu kwenu.
Kupitia Wasafai FM 89.9 Mh. Makonda ameongoza ukemeaji kwa njia ya maombi dhidi ya corona.
Ameendelea kutoa tafakari/mahubiri ya mistari kadhaa kutoka ktk biblia. Mf. Isaya 18:1.
Hakika Dar tunakiongozi mwenye kipaji kama ambavyo daima amethubutu katika maamuzi mbali mbali...
Mkuu wa Mkoa wa DSM, Paul Makonda ametoa saa 24 kwa Wabunge wote waliokimbia kushiriki vikao vya Bunge na kwenda Dar es Salaam kula bata, kuhakikisha wanarudi Bungeni tofauti na hapo, watakamatwa kwa kosa la uzururaji kama wanavyokamatwa machangudoa wanaozurura usiku.
RC Makonda amesema kwa...
Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Mhe. Paul Makonda leo ametangaza vita na Wafanyabiashara wanaouza Sukari kwa bei ghali tofauti na bei elekezi ya Serikali ambapo amesema ifikapo Kesho kikosi kazi kitafanya ukaguzi na watakaobainika kuuza bidhaa hiyo kwa bei ya juu Watakamatwa na Sukari kutaifishwa...
Mkuu wa mkoa wa Kilimanjaro, Dkt Anna Mghwira ametangaza kukutwa na maambukizi ya virusi vya Corona baada ya kufanyiwa vipimo siku tatu zilizopita.
Mama Mghwira anasema kuwa hajui amepata wapi na lini maambukizi hayo. Lakini amesema kuwa hana dalili zozote na aliamua tu kupima kujua afya yake.
--
Amesisitiza kuwa Serikali imeamua kutowazuia Watu ndani ya nyumba zao wala kufunga mipaka kwa kutambua madhara mkubwa yanayoweza kutokeza kwa kufanya hivyo.
Aidha, amesema madhara hayo yanaweza pia kuziathiri nchi 8 ambazo zinatengemea kupata huduma na bidhaa kupitia Tanzania hususan bandari ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.