mkuu wa mkoa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. N

    Mkuu wa mkoa wa Mwanza, Jiji limekushinda, Jitafakari! Ni pachafu sana

    Wakuu, John Mongella kawa mkuu wa mkoa wa Mwanza kwa muda sasa, lakini cha ajabu hakuna jipya lolote aliloonyesha hususa ni Mwanza jiji ambapo ndio kioo cha Mkoa mzima wa Mwanza. Jiji la Mwanza kwa sasa lipo hovyo hovyo sana halina mpangilio wowote ukilinganisha na lilivyokua kipindi cha...
  2. MR.NOMA

    DAWASCO Kimara fungueni Maji, Hali ni Mbaya

    Habari wanabodi, kama Kuna mtu anamfaham Meneja wa DAWASCO Kimara, tafadhali amjulishe kuwa afungue maji mchana huu kwani Hali huku mtaani ni Mbaya Sana. Siku ya 4 leo inaenda maji hakuna, na hata watu wanaouza toka kwenye matanki yao wameishiwa maji, hivyo, Hali sio ya mchezo kabisa. Kuna...
  3. Inside10

    TANZIA Aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Kigoma, Brig. Jen Mstaafu Emmanuel Maganga afariki Dunia

    Aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Kigoma Brig. Jen Mstaafu Emmanuel Maganga amefariki Dunia wakati akipatiwa matibabu katika Hospitali ya Milambo Mkoani Tabora usiku huu. Brigedia Jenerali Mstaafu Emmanuel Maganga alistaafu mwezi Julai, mwaka 2020 ambapo Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt...
  4. E

    Mkuu wa mkoa wa Geita , hii inakuhusu

    Mh. Mkuu wa mkoa wa Geita, nikuombe ufatilie utendaji kazi wa mkuu wa wilaya na mkurugenzi katika wilaya ya nyang'wale. Mkoa wako wa Geita. Mh. Mkuu wa mkoa, lakini pia jaribu kukagua riport za miradi ya barabara ktk wilaya hiyo ya nyang'wale inayotekelezwa na wakara wa barabara vijijini TARURA...
  5. Roving Journalist

    Mkuu wa Mkoa wa Mbeya, Albert Chalamila asimamia ubomoaji wa nyumba ya Mwananchi

    Mkuu wa mkoa wa Mbeya Albert Chalamila, amesimamia zoezi la kubomoa nyumba ya Atony Lyuba mkazi wa Kata ya Inyala, Halmshauri ya Wilaya ya Mbeya, baada ya kukaidi agizo la kubomoa kwa hiari nyumba yake. Mkuu wa mkoa wa Mbeya, Albert Chalamila. Uamuzi wa RC Chalamila, ulitokana na Lyuba...
  6. Miss Zomboko

    Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam asema bei ya saruji imeanza kushuka na baadhi ya wauzaji waliokuwa wakilangua wanahojiwa Polisi

    MKUU wa Mkoa wa Dar es Salaam, Abubakar Kunenge amesema bei ya rejareja saruji imeanza kushuka na baadhi ya wauzaji waliokuwa wakilangua wanahojiwa Polisi. Ameviagiza vyombo vya ulinzi kuendelea kuwakamata walanguzi wanaoendelea kuuza bidhaa hiyo kwa bei ya juu. Juzi Waziri Mkuu, Kassim...
  7. B

    Uchaguzi 2020 RC Chalamila: Nilikuwa nahesabu masaa tu kwa walioni-beep. Kwenye hizi chaguzi mtu asidhani 'atani-beep' alafu niache 'kumpigia'

    23 October 2020 Mbeya, Tanzania RC Albert Chalamila asema jana niliwaona watu ofisi ya Mkurugenzi lakini nilikuwa nawahesabia masaa akina mama wale kabla ya kushughulikiwa kwa hatua kali ambazo wasingesahau. Kuhusu kusimamia mchakato wa uchaguzi RC Albert Chalamila amesema uongozi wa mkoa...
  8. dubu

    Uchaguzi 2020 Arusha: Ofisi ya Mkuu wa Mkoa, yashiriki kualika watu kwenye Mikutano ya Kampeni ya CCM

    Wakuu, hii kikatiba imekaaje?
  9. Tripo9

    Harmonize na Konde Gang wamteua mkuu wa mkoa wa Dar kama mlezi wao

    Harmonize na konde gang wamteua mkuu wa mkoa wa Dar Mh Abubakar Kunenge kama mlezi wao. Wanapitia njia ile ile aliyopita bwana domo. Sio mbaya lakini.
  10. malela.nc

    Swali la kizushi: Imekaaje hapa kwa CDF na RC

    Habari wakuu. Hoja yangu ni nyepesi sana lakini inanitatiza kidogo. Tumeshazoea kuona CDF (Mkuu wa Majeshi) akipiga SALUTE kwa wateule wa Mh Rais. Hapa nazungumzia Mkuu wa Mkoa (RC) SWALI: Inakuaje pale Mkuu wa Majeshi anapoenda mikoa inayoongozwa na wanajeshi kama Kagera ulio chini ya Mh. Brig...
  11. Miss Zomboko

    Mkuu wa Mkoa wa Tabora ameagiza kushushwa vyeo kwa Walimu Wakuu wa shule ambazo zimekuwa zikifanya vibaya katika mitihani

    MKUU wa Mkoa wa Tabora, Dkt. Philemon Sengati, ameagiza kushushwa vyeo kwa walimu wakuu wa shule ambazo zimekuwa zikifanya vibaya katika matokeo ya mitihani. Alitoa kauli wilayani Urambo wakati wa mkutano na viongozi na watumishi wa Halmashauri ya Wilaya ya Urambo kwenye ziara ya kikazi. Dkt...
  12. Wakusoma 12

    Rais tuletee mwamba Paul Makonda awe mkuu wa mkoa, tunamhitaji kwa sana

    Sina nia ya kukufundisha kazi, ila sipingani na ukweli wa kwamba Paul Christian Makonda ni kiongozi haswa. Kiongozi huacha sifa bora na miongoni mwa mambo mazuri alotuachia Makonda kwa taifa hili ni pamoja na vita alivyoshinda vya madawa ya kulevya na kuwa mstari wa mbele katika kutokomeza...
  13. K

    Mkuu wa Mkoa wa California, Davin Newsom, atangaza mgao wa umeme

    Kutokana na mahitaji kuzidi uwezo wa ugavi, umeme utakuwa ukikatwa muda wowote kuanzia saa tisa alasiri mpaka tatu usiku kwa kupokezana baina ya viunga tofauti tofauti vya mkoa wa California, kwa mujibu wa Mheshimiwa Davin Newsom, Mkuu wa Mkoa. Bwana Newsom ameziomba kampuni zenye mivyombo...
  14. Roving Journalist

    Mkuu wa Mkoa wa Dar, Aboubakar Kunenge amemuapisha Mkuu mpya wa Wilaya ya Ilala Bw. Ng'wilabuzu Ndatwa Ludigija

    RC KUNENGE AMUAPISHA MKUU MPYA WA WILAYA YA ILALA. Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Mhe. Aboubakar Kunenge amemuapisha Mkuu mpya wa Wilaya ya Ilala Bw. Ng'wilabuzu Ndatwa Ludigija alieteuliwa hivi karibuni na Rais Dkt. John Magufuli kuongoza Wilaya hiyo. Akizungumza wakati wa hafla hiyo RC...
  15. Masokotz

    Pongezi za pekee kwa Mkuu wa Mkoa wa Dar, Abubakar Kunenge

    Kwanza nianze kwa kusema kwamba mimi ni mdau mkubwa sana wa maendeleo ya jiji la Dar na binafsi ninatamni sana Dar es Salaam liwe jiji la kisasa kabisa. Leo naandika waraka huu kumpa pongezi zangu za dhati kabisa Mwenyekiti wa Kamati ya Ulinzi na Usalama Ndugu Kunenge kwa namna ulivohakikisha...
  16. Sam GM

    Dkt. Wilbert Kleruu - Utata wa kifo chake, historia na maisha yake

    JF imekuwa ni mahali pa kupashana habari na kuweza pia kuzungumzia mambo ya historia yetu na mwelekeo wa nchi. Kuna Huyu bwana anajulikana kama marehemu Dr Kleruu, mie nimekuwa nikimsikia katika wimbo wa Mbaraka Mwinshehe kuwa alikuwa mwanamapinduzi. Je, kuna yeyote anaweza kutupatia taarifa...
  17. Lord Diplock MR

    Uchaguzi 2020 Paul Makonda achukua fomu ya Ubunge Kigamboni, kupitia CCM

    RC MAKONDA ACHUKUWA FOMU KUWANIA UBUNGE JIMBO LA KIGAMBONI Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Mhe. Paul Makonda leo Julai 15 amechukuwa Fomu ya kuomba ridhaa ya Kuwania nafasi ya Ubunge Jimbo la Kigamboni kupitia tiketi ya Chama cha mapinduzi CCM. Jimbo hilo lilikuwa chini ya aliyekuwa Naibu Waziri...
  18. J

    Ikulu, Dodoma: Rais Magufuli amewaapisha Naibu/Makatibu Wakuu, Katibu Tawala na Mkuu wa Mkoa Njombe, awasisitiza wote kwenda kuchapa kazi

    Rais Magufuli leo anawaapisha wateule wake aliowateuwa hivi karibuni wakiwemo makatibu wakuu na mkuu wa mkoa wa Njombe Ikulu Chamwino jijini Dodoma. Viongozi Wateule watakaoapishwa Chamwino Dodoma 1. Mhandisi Marwa Mwita Bubirya Kuwa Mkuu wa Mkoa wa Njombe 2. Dkt. Aloyce Nzuki, kuwa Katibu...
  19. J

    Kiapo: Mimi... nitatumikia JMT katika nafasi ya mkuu wa mkoa na majukumu mengine nitakayopangiwa na Rais. Mungu nisaidie

    Nimeona niwawekee sehemu ya kiapo cha mtu aliyeteuliwa na " kukubali" uteuzi wa kuwa mkuu wa mkoa. Nimeupenda sana huu utaratibu unaotumiwa na Rais Magufuli wa Kata mti panda mti, watu wenye sifa ni wengi sana. Maendeleo hayana vyama
Back
Top Bottom