Katika Mtu ambaye GENTAMYCINE nimepanga nisiwe namsema ( namsiliba ) hapa JamiiForums kutokana na kuwa ni Mdau wangu mkubwa wa Miziki ya Congo DR ( Misebene ), Mwana Simba SC Mwenzangu na Mtoto wa Mjin vile vile ni Wewe Amos Makalla ( Mkuu wa Mkoa mpya wa Dar es Salaam )
Pacha ( Mdau ) Amos...
Queen katika siasa alikuwa mwanachama wa Chama Cha Mapinduzi CCM mpaka mwaka 2014 alipoamua kuhama na kujiunga na chama cha Alliance for Democratic Change (ADC). Mwaka 2015 kwenye uchaguzi mkuu Tanzania aliwania nafasi ya ubunge jimbo la Kawe kupitika chama cha ADC ila hakufanikiwa kushinda...
Amos Makalla karibu sana katika mkoa wetu wa Dar es Salaam na ikikupendeza tusaidie pale Magufuli Bus Terminal ujenzi ukamilike kwa eneo la abiria kadhalika sehemu ya kuservice mabasi.
Mengine tutakujulisha ukishafika.
Ubarikiwe sana mtumishi wa Mungu.
Mkuu wa mkoa wa Tabora amesema mkoa wake umepokea vitambulisho vya mjasiriamali 69,000 na ameahidi vyote vitachukuliwa na wajasiriamali.
RC amesema mwaka juzi walipewa vitambulisho 71,000 vikaisha vyote wakawa wa kwanza kitaifa na mwaka jana walipokea vitambulisho 65,000 vikaisha wakawa tena wa...
Hili suala limenihuzunisha sana. Jiji la Mwanza linaenda pelekewa Chalamila awe Mkuu wa Mkoa. Mbeya wameondolewa a Clown ambaye ameletwa jiji la Mwanza kama adhabu kwetu.
Huyu mtu alipaswa apumzishwe. Hakuwahi kuwa na hekima au akili ya kuwa na cheo hicho.
Mbeya wanashukuru sana maana...
Naomba kujua siri ya huyu mtu aliyekuwa mkuu wa Mkoa Tabora.
Mbona alikuwa tishio sana kutisha wananchi na kuongea hovyo lakini hashutumiwi kwa lolote?
Huyu ni mtu wa aina gani?
Ikiwa serikali inasema kipaumbele kwenye ajira 6000 zilizotangazwa na Rais, Samia kuwa ni walimu waliojitolea, mkuu wa mkoa wa Katavi bw. Juma Homera, amewahi kupiga marufuku walimu hao kufundisha katika mkoa wake na kudai Serikali inaajiri walimu kila siku.
Msikilize kwenye video hapa chini...
Kwako Mkuu wa Mkoa, Kunenge ni masikitiko makubwa wewe kama Mkuu wa Mkoa umekaa kimya na najua unachokiona hapa kimekufikia.
Je, wewe Mkuu wa Mkoa nyumbani kwako unakaa karibu na dampo la takataka?
Je, watoto wako wanasomea shule na wanavuta harufu na takataka za dampo?
Mkuu wangu unajua na...
Husika na kichwa cha habari wana jf
Mimi ni kijana mwenzenu ninae tafuta hela kwa hali na mali, mwaka 2013 nilifanikiwa kununua eneo lenye ukubwa hekari 25 wilaya ya Mvomoro kata ya Kimambira kijiji menge mwaka 2016 eneo hili nikawa nalima matikiti na nyanya nikawa najipatia mapato...
Afisa Tarafa ya Magole, Mtendaji Kata wa Mbigiri na Diwani wa Kata ya Mbigiri wilayani kilosa watakuponza usipowachukulia hatua haraka.
Vimungu mtu hawa wanatumia jina lako kama mkuu wa mkoa kutesa watu ambao wanatofauti nao kimsimamo...
Mkuu wa Mkoa wa Dar pamoja na Mambosasa.
Hii hari ninayo isikia na kuona mtaani na kila ninapotembelea vituoa vya polisi sio nzuri. Usalama wa raia na mali zoa haupo tena.
Watu wanavamiwa mchana, usiku, asubuhi na jioni.
Mko wapi?
Mfano: Staki shari kuna kesi kibao za watu kuibiwa. Kule...
Mimi ni moja kati ya
wafanyabiashara wa soko la Mawenzi lipo Morogoro mjini kata ya uwanja wa Taifa
ili soko lina miundombinu mibovu kume kuwa na migogoro baina ya Manispaa na wafanyabiashara wanataka kutuamisha pasipo kufuata taratibu
Tumeshapeleka sana malalamiko kwa mbunge na mkuu wa...
Mh Rais, Makonda bado ni kijana sana kupotea kwenye siasa, pamoja na mapungufu na mabaya yake usimuache. Itapendeza zaidi akiwa Mkuu wa Mkoa wa Pwani, awe karibu na rafiki yake Ridhwani. Ikishindakana Pwani basi hata Mkoa mmoja wa Kanda ya Ziwa awe karibu na nyumbani na karibu na nyumba ya...
Bado haijafahamika kisa cha Mh Chalamila kuanza kujieleza kwa kiwango kikubwa kiasi hiki , huku akiwa hajaulizwa na mtu yeyote .
Je anasukumwa na hofu ya upepo mpya unaovuma ?
Wajuzi watuambie hili la mchanga lina maana gani😥😥😥😥😥
Aendelee kulala salama Maalim Seif Sharif Hamad
===
Katika hali ya kustaajabisha inadaiwa kumeibuka watu ambao wanachukua mchanga katika kaburi la Hayati Maalim Seif. Baadhi ya wakazi wameeleza kuwa mchanga huo unachukuliwa kwa imani...
Naandika kwa masikitiko sana, Mimi ni mwenyeji wa Singida ila kishughuli naishi Dar es salaam najishughulisha na shughuli za ulinzi binafsi (bodyguard) hivyo huwa tunazunguka na wateja wangu sehemu mbalimbali (wanamuziki, wafanyabiashara, wanamichezo, wanasiasa nk).
Moja ya sehemu...
RC Mbeya, Albert Chalamila akiwa Kanisa la KKKT Dayosisi ya Konde kwenye Uzinduzi wa Ofisi Kuu ya Dayosisi na Kanisa Kuu amenena haya kuhusu hospitali mkoani humo kujaa wagonjwa
“Wapo Watu wanatishia Watu wanasema Mahospitalini huko kumejaa sana wagonjwa, Serikali ijenge Vituo vya Afya kwa...
Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro, Anna Mghwira amesema misiba mingi iliyopo mkoani humo inatoka maeneo mengine na si kweli kuwa watu wanafariki dunia kutokana na ugonjwa wa Covid 19 unaosababishwa na virusi vya corona.
Amesema Mkoa huo upo salama na kuwataka wananchi kupuuza taarifa hizo kwa kuwa...
Kama ilivyokuwa kwa mkoa wa California mnamo mwaka jana sasa mambo si mambo viunga vya Texas ambapo mahitaji ya nishati ya umeme yamezidi ugavi, na miundombinu imeelemewa.
Watu wapatao milioni mbili wako gizani. Viongozi wa kisiasa na kijamii wamewaomba wakazi wa baadhi ya viunga vya mkoa huo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.