Tupeane fusra, leo nimeamka nimeona tupeane fusra kiroho safi kabisa, wewe kijana unaye hangaika na bahasha kila siku uchwao kutafuta ajira soma hapa.
Mkuu wa Mkoa wa Mwanza, Robert Gabriel, amewaomba wasomi wote wenye shahada waliopo mkoani humo, kufika ofisini kwake awasaidie kupata mafunzo...
Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro, Steven Kagaigai amewaagiza wataalamu wa afya mkoani humo, kupeleka huduma ya chanjo ya Uviko 19 kwenye maeneo yote ya ibada, ili kuwezesha wananchi wote kufikiwa na huduma hiyo.
Mbali na hilo amewataka watumishi wote wa Umma kuonyesha mfano kwa jamii kwa kujitokeza...
Sote tunakumbuka ya Clouds na report ya CAG kuhusu malipo zaidi ya milioni 600, kwa kisingizio cha kutangaza utalii wa ndani.
Leo, kati kati ya huduma mbovu za miundo mbinu ya bara bara, shule, na mahitaji lukuki ya hospitali za umma, kwenye mkoa wa Dar es salaam, mkuu wa mkoa yupo...
Hawa vijana wana umri,
kati ya miaka 18 na miaka 20.
Mkuu wa Mkoa amewaagiza,amewaamuru warudi mikoa walikotoka.
Swali langu ni kwamba,kwa nini.
Radia One wakubali kutangaza habari za namna hii,kwa nini wakubali kutangaza habari kwa staili hii. Mafunzo yasiyojikana ndio mafunzo gani?
----...
Mh. Mkuu wa Mkoa Shinyanga Dr. Sengati juhudi zako zakuinusulu shule ya BULUBA SEKONDARY zinahujumiwa na Mwenyekiti wa Bodi ya SHIRECU (1984) Bwana KWIYOLECHA NKILIJIWA
Tarehe 19.08. 2021 Mh. Mkuu wa Mkoa ulifika Shuleni BULUBA SEKONDARY ukawasikiliza wafanyakazi wote na wakakueleza matatizo yao...
Mkuu wa Mkoa kuagiza Wakuu wa Wilaya wawaondoe wamachinga barabarani ni kuwapa mzigo wasiouweza asilani.
Hawa wamachinga walikwisha pewa jeuri na viongozi wakuu wa taifa na tumeshuhudia waliojaribu kuwaondoa waliondoka wao!
Wewe binafsi uliwahi kuwapa muda wa kuondoka kwenye eneo la ujenzi wa...
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Amos Makalla ameingia Kariakoo kwa kutumia basi la Mwendokasi (haijulikani alikotokea) na kutoa Maagizo kwamba baada ya siku 7 njia zote za watembea kwa miguu kwenye eneo hilo ambazo zimejaa wamachinga, mama lishe, wachoma mihogo na wauza Alikasusi ziwe wazi...
Baada ya kusikia Bavicha wanafanya kongamano la Katiba mpya mkoani Mara , Mkuu wa Mkoa huo ameleta siasa za kishamba za kutangaza kuwa kesho ni siku ya usafi mkoani humo , na kwamba usafi huo utafanywa na vyombo vya ulinzi na usalama .
Hata hivyo Bavicha imetangaza kuunga mkono juhudi za usafi...
Ni aibu. Mwalimu huyu naye bila hata akili anaonekana kushadadia uwepo wa Msanii huyu mwenye Sifa mbaya ya kusambaza Video yake ya Ngono Kinyume na Maumbile.
Inasikitisha sana. Na hata ukimwona vazi alilovaa msanii huyu ni la aibu. Anasimamishwa mbele ya wanafunzi wamwangalie alivyo kama ni...
Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga Dr Philemon Senguti anakwamisha uwekezaji wa ndani
Bunge liliagiza Wakulima wa Dengu kuhuza dengu katika Soko huria ( Free Market) Nje ya Mfumo wa AMCOs lakini cha kusikitisha Mkuu wa Mkoa Senguti anawalazimisha wakulima wa dengu kuhuza dengu AMCOs kwa Tzs 900...
Mkoa wa Dar es salaam umewahi kuhudumiwa na Wakuu mbalimbali wa akiwamo Mheshimiwa Mustapha Songambele
Mzee aliyejaaliwa hekima, busara, weledi, umakini na uadilifu mkubwa
Je ni matamko gani ya kisiasa yaliyokuvutia wakati akihudumu kwa nafasi ya RC wa Dar es salaam
Mashabiki elfu 17 pekee ndio wataruhusiwa kuingia ndani ya uwanja wa Lake Tanganyika mkoani Kigoma, kushuhudia mpambano wa watani wa jadi Simba na Yanga siku ya Jumapili.
Mkuu wa mkoa wa Kigoma, Thobias Andengenye amesema wamepunguza idadi ya mashabiki kuingia ndani ya uwanja ili kuthibiti...
Mkuu wa mkoa wa Kagera, Meja Jenerali Charles Mbuge, amepiga marufuku mikusanyiko yote isiyokuwa ya lazima na kuwataka wananchi kuzingatia kanuni za afya ili kuzuia kasi ya maambukizi ya virusi vya Corona.
Meja Jenerali Mbuge amesema hatua hiyo inatokana na mkoa wa Kagera kupakana na nchi nne...
Alizuia mikusanyiko ili kuwalinda wananchi na covid na amefanikiwa kuzuia mkutano wa Chadema ambao usingezidi watu 200 lakini kaachia mechi la Pamba vs coastal watu walijaa hatari.
Usiku majira ya saa tisa, Polisi walivamia Hoteli aliyokuwa amefikia Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa na wageni wengine pamoja na wenyeji wao.
Waliochukuliwa:
1. Freeman Mbowe
2. John Pambalu
3. John Heche
4. Rose Mayemba
5. Masenya(Mwenyekiti BAVICHA Ilemela)
6. Steven Odipo
7. Dr. Rwaitama
8. Seti...
Hali ya kusikitisha, kuogofya na kuumiza, RC wa Mwanza amekataza kwa mtazamo wake mikusanyiko yote isipokua Misiba na Ibada tu ili "kupunguza kasi ya maambukizi ya Covid-19"!
Ukumbuke Chadema wamepanga kufanya kongamano la Mjadala wa Katiba Mwanza.
Kwa akili za RC mikusanyiko ya Mazishi na...
Halihitaji Maelezo , Swali langu hili limekaaje kikatiba au kisheria??
Kama si sahihi , je ni Kweli Dk Mwinyi ni Mam Samia wana nia ya kuheshimu katiba, sheria na kanuni hapa nchini?
Mods uzi una maudhui tofauti na nyuzi zilizopita japo nimezitumia kama Mfano.
Nimeweka Link ya Mijadala hiyo Miwili ili kuweka kumbukumbu sawa.
Kuna mada imetrend sana kwenye jamvi letu kuhusu Kauli ya RC wa Dodoma Mh Mtaka akipinga maagizo ya Waziri wa elimu Prof Ndalichako ya kutaka kuondolewa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.