Mkuu wa Mkoa wa Mara amezuia takriban Tshs.5 billioni zinazotolewa na mgodi wa North Mara kwa ajili ya miradi ya kijamii na hii imetokana na matumizi mabaya ya fedha zinazotolewa na mgodi wa North Mara. Binafsi nakubaliana na uamuzi wa Mkuu wa Mkoa.
Kama fedha zinatolewa na vifaa vya ujenzi...
Nakushauri vitu viwili tu muhimu sana,kwa haya yanayo endelea katika mitandao ya kijamii.
1.Mshauri mkeo wako kutojihusisha na mitandao ya kijamii kabisa...sababu kwa yanayoendelea katika mitandao yanaweza yakamletea matatizo na kumpelekea kufa kwa pressure ya hofu juu yako.
Na kama alikupendea...
Nakushauri vitu viwili tu muhimu sana,kwa haya yanayo endelea katika mitandao ya kijamii.
1.Mshauri mkeo wako kutojihusisha na mitandao ya kijamii kabisa...sababu kwa yanayoendelea katika mitandao yanaweza yakamletea matatizo na kumpelekea kufa kwa pressure ya hofu juu yako.
Na kama...
✓Ni ajabu lakini ni kweli kuwa ndugu huyu ambaye amewahi kuwa RC maarufu sana enzi zile wa mkoa wenye watu wengi zaidi Tanzania yaani DSM analalamika kuwa anawindwa na kundi la watu ili wamuue..
✓Ndugu Makonda ukiwa RC - DSM, unatuhumiwa kuongoza kundi la UGAIDI WA KIDOLA (State Sponsored...
Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga, Sophia Mjema ameagiza kuchukuliwa hatua za kisheria walimu watakaobainika kudai malipo kwa wanafunzi akisema elimu ni bure.
Amesema hayo wakati akifungua kikao cha Wadau wa elimu Mkoa wa Shinyanga, leo Alhamisi Machi 3, 2022 chenye lengo la kujadili maendeleo ya elimu...
Picha: Mkuu wa Mkoa wa Simiyu, David Kafulila mwanzoni kulia
Mkuu wa Mkoa wa Simiyu, David Kafulila ameagiza kupata maelezo ya kina juu ya hatua zilizochukuliwa na Jeshi la Polisi dhidi ya askari, Nuru Mtafya anayetuhumiwa kumpa ujauzito mwanafunzi anayejulikana kwa jina la Neema Mabula wa...
Salaam Wakuu,
Nimeshangaa na sikuamini Kusikikia Stephen Kagaigai kabadilika kawa mbabe kiasi kwamba sasa hivi anawekwa kundi moja na Wakina Sabaya, Mnyeti. Huyu Mzee kabla ya kuwa Mkuu wa Mkoa, alikuwa Katibu wa Bunge akifanya kazi na Ndugai. Au ni Msongo wa Mawazo baada ya Kutolewa Kwenye...
Mahakama ya Tanzania Sijui imekosa nguvu Kwa sababu ya chama au Kwa sababu ya serikali au Jaji mkuu ameshindwa kuwapa Imani waliopo chini yake?
Raia anaitwa na Mahakama yupo Kigamboni au Masaki anagoma kufikia mahakani Wala kutuma mwakilishi na uongozi wa Mahakama upo kimya.
Hakimu anadai...
Taarifa ya kutoonekana kwa mfanyabishara aliyekuja kubainika kuwa ameuawa ilichukua muda mrefu Sana. Ndugu kwa maelezo Yao walifuatilia suala la ndugu yao ngazi tofauti. Zipo kamati mbili ambazo ni muhimu sana kuwa na updates za matukio yanayotokea. Kamati ya Ulinzi na Usalama Wilaya Mtwara...
1. Akiri mbele ya Watanzania kuwa Yeye ni Mpumbavu ( Popoma ) na hana Mpinzani Tanzania, Afrika na Duniani.
2. Akiri kuwa kwa muda wake mfupi tu Madarakani ameua Watu wasio na Hatia kama alivyowahi Kuua aliyekuwa Rais wa Liberia Charles Taylor.
3. Akiri kuwa Yeye ni Mnafiki na siyo Mcha Mungu...
Ajali za magari ya serikali sasa zimekithiri.
Watu wanakufa kama kuku na makosa yanalundikwa kwa dereva tu.
Sasa inabidi iwepo uwajibikaji kisiasa kwa makosa ambayo inaelekea usimamizi wa sheria na kanuni za barabarani ni hafifu.
Kuua kwa mpigo watu 14 hawezi laumiwa dereva peke yake.
Mkuu wa...
Watu 14 wamefariki dunia baada ya gari ya waandishi wa habari iliyokuwa kwenye msafara wa Mkuu wa Mkoa wa Mwanza (RC), Robert Gabriel kugongana na gari ya abiria Hiace katika eneo la Nyamikoma wilaya ya Busega Mkoani Simiyu.
Mkuu wa Wilaya ya Busega (DC), Gabriel Zakaria amethibitisha kutokea...
Mkuu wa Mkoa wa Mtwara, Brigedia Jenerali Marco Gaguti ameagiza Halmashauri zote mkoani humo kukamilisha majengo 452 ya madarasa ndani ya saa 48. Madarasa hayo 452 yamejenga na fedha za Uviko-19 na yapo katika hatua ya umaliziaji.
Akizungumza Desemba 7, 2021 wakati wa kupokea vyumba vya madarsa...
Nyumba inauzwa kibaha mailimoja karibu na kwa mkuu wa mkoa nyumba ina hati ina ukubwa wa eneo la 400 sqmtrs (20×20) bei 35,000,000/= (milioni 35) mazungumzo yapo haina udalali mimi ndio mmiliki kwa mawasiliano 0765882717
Zile dalili na vurugu walizofanya machinga Mbagala Rangitatu, leo siku ya Jumanne wamedhihirisha kuwa hawako tayari kuhama, wamerudi barabarani kwa kishindo.
Hapo vip!!
Panapostahili kupokwezwa tupokeze ila nitaendelea kukosoa panapobidi tena bila kuchoka.
Baada ya kuandika kuhusiana na suala la mkoa wa Arusha kugeuka kuwa kichaka kutokana na wamachinga kuzagaa kila mahala.
Baada ya siku nne sasa Arusha yang'ara na Arusha yapendeza sasa ile hadhi...
Hapo vipi!
Binafsi sijawahi kumsikia huyu mkuu wa mkoa wa Arusha akiongelea suala la machinga.
Ila mara kwa mara wamekuwa wakisikika wakuu wa mikoa wa Dar-es-salaam ndugu Amos Makalla na Mwanza.
Ila huyu wa Arusha amerelux kama mkoa hauna wamachinga kabisa.
Kwa waliopo Arusha na ambao...
Mkuu wa Mkoa wa Mbeya, Juma Homera amemuagiza Kamanda wa Polisi mkoani humo, Urlich Matei kukamata madereva wote wanaokiuka sheria za usalama barabarani bila kujali iwapo ni madereva wa magari ya Serikali au la.
Homera ametoa kauli hiyo leo Jumatatu Novemba 25, 2021 alipoongoza mamia ya wakazi...
Biashara United inakabiliwa na changamoto ya nauli kwenda kwenye mechi ya marudiano na hata pesa za waamuzi ilikuwa changamoto, Yule mkuu wa mkoa Yuko wapi au anahaidi mechi ya Simba
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.