Dar: NEMC na Ofisi ya Mkuu wa Mkoa, Wafanya Usafi Ilala
Baraza la Taifa la Hifadhi na Usimamizi wa Mazingira (NEMC) limeshiriki katika zoezi la kufanya usafi wa Mazingira lililofanyika katika Wilaya ya Ilala.
NEMC imeshiriki zoezi hilo ikiwa ni kuunga mkono juhudi za Mkuu wa Mkoa wa Dar es...
Elimu ya uongozi ni muhimu sana, separation of power wengi inawapiga chenga, Muhimu tujue. Nchi yoyote ya kidemokrasia bunge ndo lenye nguvu ndio mana Rais anaweza kutolewa na bunge kama watapiga vote of no confidence.
Sasa inakuwaje mkuu wa mkoa ambae kimsingi ni mdogo kwa mbunge aanze...
Kiungozi nani mkubwa kati ya Mbunge na Mkuu wa Mkoa?
Mbunge na Mkuu wa Wilaya? Nani ana ukuu kati yao. Uki refer kwa kilichotokea kwa Makonda dhidi ya Gambo. Je nani yupo sahihi na kwa nini.
Je Waziri akiwa katikati yao nani ana sauti au mkubwa kati yake na Mkuu wa Mkoa, bahati mbaya sikusoma...
Mkuu wa Mkoa wa Arusha Mhe. Paul Christian Makonda akiambatana na Waziri wa Ujenzi Mhe. Abdallah Ulega wakati wa ukaguzi wa ujenzi wa barabara ya kiwango cha Lami ya Mianzini-Olemringaringa amemtaka Mbunge wa Arusha Mjini Mhe. Mrisho Gambo kuwa anahudhuria vikao mbalimbali vya maendeleo ndani ya...
Watu wa Dar mko wapi?
Akizungumza hivi karibuni, Mkuu wa Mkoa wa Dar Es Salaam, Albert Chalamila amezungumzia namna ambavyo watu wengi wa Dar wanapenda na kutaka kumiliki ardhi.
Chalamila amesema kuwa kiuhalisia sio kila mtu anaweza kumiliki ardhi na badala yake kuwe na utaratibu wa watu...
Taarifa hii iende moja kwa moja kwa mamlaka ya Maji safi na maji taka mkoa wa Dar-es-salaam, DAWASA na wadau wote wa mazingira na Afya kwa ujumla.
Hali ya mtaa wa tabora na uhuru ni mbovu sana kutokana na chemba ya maji taka kuziba na kutiririsha maji taka yenye kinyesi barabarani ambapo...
Wakuu,
Vijana wa Tanga mna salamu zenu huko kutoka kwa RC wenu.
===========================================
Mkuu wa Mkoa wa Tanga Mhe Balozi Dkt Batilda Burian amesema Halmashauri ya Jiji la Tanga bado kuna Changamoto ya Vijana wenye Umri kati ya Miaka 15-35 ambao wanataka kulelewa na Mama...
Wakuu,
Aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Simiyu, Dkt. Yahaya Nawanda ameachiwa huru baada ya kushinda kesi aliyokuwa akituhumiwa ya kumlawiti Mwanafunzi wa Chuo iliyokuwa ikieneshwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi.
Dkt. Nawanda alifikishwa Mahakamani kwa mara ya kwanza Julai 9, 2024 na kusomewa...
Leo Novemba 27,2024 Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Kanali Ahmed Abbas akiwa ameongozana Mkewe Bi.Riziki kwa pamoja wameungana na Watazania Wengine kushiriki katika zoezi la kupiga kura za Uchaguzi wa Serikali za Mitaa katika kituo Ofisi ya Kata Namba Moja kilichopo Mtaa wa Mahenge Manispaa ya Songea ...
Mkuu wa mkoa wa Simiyu Kenani Kihongosi amewaasa wakazi wa mkoa huo kuendelea kujitokeza kwa wingi katika vituo vya kupigia kura katika mitaa yao ili kuchagua viongozi watakaowaongoza katika mitaa yao.
Akizungumza baada ya kupiga kura katika mtaa wa Sesele uliopo kata ya Nyakabindi wilayani...
Ikiwa ni siku iliyosubiriwa na watanzania kutekeleza demokrasia yao ya hatima ya Fyucha ya Kitaa, mkuu wa mkoa wa Tanga Batilda Buriani amewataka wananchi kuondoka eneo la kupiga kura mara baada ya kukamilisha haki yao ya kupiga kura.
Wakuu,
Mkuu wa mkoa wa Dodoma, Rosemary Senyamule amesema kuwa hatua zitachukuliwa dhidi ya mwananchi yeyote atakayeonesha viashiria vya uvunjifu wa amani kuelekea uchaguzi wa serikali za Mitaa utakaofanyika kesho Novemba 27, 2024 nchini.
"Siku ya kesho ya kupiga kura kila mtu atunze amani...
Mkuu wa mkoa wa kwanza alituhumiwa tukio la unyanyasaji kingono lililomhusisha RC Simiyu. Mamlaka kwa makusudi zikamwacha ofisini
Sasa hivi viongozi wa Simba wamelalamika hadharani kwamba amekwenda kukamata viongozi wao akiwa na polisi na kuelekeza wawekwe ndani. Wakati akifanya haya yeye...
RC Mtanda piga kazi usiyumbishwe na maneno ya wakosaji sisi ambao tunakufahamu tunajua wewe sio mtu wa maneno ni mtu wa vitendo kwanza haupendi uonevu wewe unajali kuwaletea maendeleo wananchi tu ona sasa Mwanza ulivyobadilika baada ya kuingia wewe kuwa mkuu wa mkoa endelea kupiga kazi mkuu sie...
Kufuatia sakata lililotokea Mwanza, na Uongozi wa klabu ya Simba kutoa taarifa ya kulaani vikali vitendo visivyo vya kiungwana vilivyodaiwa kufanywa na viongozi wa timu ya Pamba Jiji FC kwa kushirikiana na Mkuu wa Mkoa wa Mwanza, Said Mtanda, pamoja na maafisa wa polisi.
Soma, Pia:
+ Vurugu...
Najaribu kufikiria sana kwanini RC uliamua kufanya haya uliyoyafanya, wewe ni wa kwenda uwanjani kweli na masilaha ya moto? Wewe kazi yako c kuagiza tu kwa RPC ss iweje ubebe magari ya umma na masilaha kwenda kukabiliana na wachezaji na viongozi ambao hawana hatia?
Hihi kweli RC wangap...
Viongozi wa Simba mmeonesha ni jinsi Gani mlivyo watu wa matukio na madeko
Hamjui kuwa mkuu wa mkoa ndo Rais wa mkoa katika mkoa wake
Utamzuiaje mkuu wa mkoa kuingia uwanjani ulio ndani ya mkoa wake kama sio dharau Kwa mamlaka
Mmekaribishwa vizuri Mwanza, Sasa mnazua taharuki na kujifanya mko...
Hapo vip!
Unajua kujitoa ufahamu kwa kiongozi au uongozi yeyote kwa kuichukia Simba na kufanya vitendo vya chuki na vyakibaguzi ni kuichonganisha na kupanda mbegu za chuki baina ya uongozi wa awamu husika na mashabiki wa Simba ambao ni zaidi ya millioni 40.
Niwambie viongozi wanapo iyona...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.