Jana kwenye nyama choma aliyoandaa kwa Wakuu wa Mashirika Mjini Arusha, anasema alipokuwa RC Dar, wakati yeye yupo amepumzika ndani, Dereva wake alikuwa anakuja kuchukua gari kisha kuweka namba za RC Dar na bendera kisha kwenda kwa matajiri kuomba/ kuchukua fedha kwa jina lake.
My Take:
Huyu...
Arusha leo katika hafla ya kufahamiana kwa sekta binafafsi.
---
Maandalizi ya hafla fupi iliyoandaliwa na Mkuu wa Mkoa wa Arusha Christian Makonda kwa ajili ya kuwakutanisha Wakuu wa Taasisi na Mashirika yote ya Umma nchini Tanzania na wawekezaji na wafanyabiashara wa Mkoa wa Arusha.
Wakuu hao...
Meshaki Daudi (20) mkazi wa Kitongoji cha Makanisani Kata ya Lamadi, wilayani Busega Mkoani Simiyu, amefariki kwa kudaiwa kupigwa risasi na Jeshi la Polisi, lililokuwa katika oparesheni ya kudhibiti maandamano ya wananchi walioandamana katika kituo cha polisi Lamadi, yaliyokuwa yanashinikiza...
Mkoa wa Mwanza ni Mkoa wa Kimkakati, ila naona kama Mtanda "anaupoza" sana, anafanya ukuu wa mkoa wa kimangimeza, nilitarajia awe anakula "Misele" Ukerewe, Kwimba, Misungwi, Magu, nilimuona mara moja tu Sengerema akisema yule mama aliyedhulumiwa ardhi na Halmashauri wakaweka makaburi sijui...
Wakuu wakati tunavuta mashuka nimeona nipite kidogo....
Wenye nchi wameshatujua, tunapenda umbea kuliko hata uhai, wanapiga mziki ule ule ambao tumezoea kuusikia na sisi bila hiyana hao rumba tunalisakata.
Pia soma: Uteuzi: Lukuvi, Kabudi warejeshwa Baraza la Mawaziri, Ummy aondolewa Wizara ya...
Katibu wa Siasa na Uenezi mkoa wa Dar es salaam, Binamubananga amesema amezungumza na Mkuu wa Mkoa wa Arusha Paul Makonda na sasa amerejea Arusha baada ya kumaliza likizo yake.
Hii inakuja baada ya maswali mengi kuzuka mitandaoni kumuhusu mkuu huyo wa Mkoa kuwa kimya sana tofauti na watu wakiwa...
Hivi wajameni tuseme ukweli mnauonaje uwezo wa yule bwana mdago makonda. Sidhani kama anajua hata ofisini yupo kwa ajiri gani. Anachofanya huwa hakieleweki yeye ni kutafuta kiki tu basi.
Hata creativity ya maendeleo hata kidogo yeye ni kudeal na wadudu daily as if there is only one dimension in...
Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Paul Christian Makonda amesema sherehe ya harusi yoyote itakayokuwa inafanyika Mkoani Arusha na kuhusisha wasiokuwa Wakazi wa Mkoa wa Arusha, Serikali ya Mkoa chini yake itagharamia ukumbi popote ndani ya Mkoa huo ili kufanikisha harusi hiyo.
Makonda amesema hayo wakati...
Kwa Rais najua anakuwa na washauri wake wa mambo ya uchumi na siasa na ni kazi inafahamika kabisa je Kwa level ya RC Na yeye ana huyo mtu na kaajiriwa kabisa na serikali kwa kazi ya ushauri wa mkuu wa mkoa.
Hapa nasikiliza video ya Binti Tumsiime anayedaiwa kulawitiwa na aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Simiyu Dkt. Nawanda. Binti ameelezea kwa kina sakata zima la kulawitiwa, mpaka msukumo mzima wa kutaka kuzima kesi.
Binti Tumsiime ameelezea kuwa baada ya kufanyiwa kitendo kile, aliripoti kituo cha...
Kwa wale mlio wakazi wa Arusha na Manyara huko, nadhani mmeona kwamba hivi karibuni kumekuwa na shughuli nyingi zinazohusu wale wanaosemwa kuwa wawekezaji nchini toka mataifa ya Uarabuni.
Mara kadhaa Makonda ameonekana kushiriki kikamilifu katika shughuli wa "Wawekezaji" hawa. Madege makubwa...
https://www.youtube.com/live/ie3dUDq4evE
Binti aliyesadikika kulawitiwa na aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Simiyu anafunguka yote amtaja RC Mwanza.
Tumsime Mathias Mwanafunzi wa mwaka wa kwanza cha SAUT Mwanza anayedaiwa kulawitiwa na aliyekuwa mkuu wa Mkoa wa Simiyu, Yahaya Newanda anafunguka...
Juzi wakati wa mgomo wa wafanyabiashara mkuu wa mkoa wa dar es salaam ambayo ilizua maswali mengi sana kama tutawashughulikia kama serekali ilivyomshughulikia manji ni kauli ya hovyo sana kutolewa na mtu kama yeye
Nauhakika manji alivyosikia ile kauli ni kama iliyonesha kidonda ambacho kilikua...
Ukiwa Mkuu wa mkoa ukijishusha, cheo hakiondoki
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) Mohamed Mchengerwa amesema hapendezwi na wakuu wa Mikoa nchini wanaojitutumua badala ya kujishusha kwa wananchi wao ili wawatatulie kero zao.
“Ukijishusha kwa wananchi...
Huyu jamaa natamani kujua education background yake, nahisi kama hata darasa la 7 hajamaliza.
Alifikaje kuwa mkuu wa mkoa ?
Alifikaje ?
Unajua zaman mifumo ulikuwa loosely watu wamefoji sana vyeti na safisha ya JPM haikula hata 30% ya waliofoji.
Huyu jamaa hana uwezo wa kuanalyze matatizo ya...
Umeongea kwa mamlaka dhidi ya wafanyabiashara, na umenikuna sana kiongozi. Umeonyesha ujasiri mkubwa kwa wananchi unaowaongoza Dar es Salaam. Umenigusa sana pale uliposema kama nchi inapeleka jeshi kupigana Congo, vipi ishindwe kulinda Kariakoo.
Dawa yao hao wafanyabiashara wanaotumwa na...
Kama mkuu wa mkoa au wilaya anataka kuwakamata makahaba na kuweza kuwapeleka mahakamani haya makundi inaweza kuwa rahisi zaidi kwake na akaeleweka angalau kidogo.
1. Makahaba waliopewa na kutoa kazi baada ya ngono. Ukahaba wa aina hii ni rahisi zaidi kwa sababu anaweza kupata uthbitisho wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.