mkuu wa wilaya

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Pre GE2025 Wananchi wa Rombo wamuombea Mkuu wa Wilaya apone

    Katika Hali ya Kutia Moyo na kuonyesha mshikamano kwa kiongozi wao, Wananchi wa Kata ya Katangara Mrere wilayani rombo Mkoani Kilimanjaro wameamua Kufanya maombi kwaajili ya kumuombea Mkuu wa wilaya ya Rombo Mwl. Raymond Mwangwala afya yake iweze kuimarika kufuatia maradhi yaliyokuwa...
  2. Kati ya Mbunge (MP) na Mkuu wa wilaya (DC) yupi ana mamlaka zaidi?

    Kwema wakuu Kama title inavyosomeka ningependa kujuzwa, kati ya Mbunge na Mkuu wa wilaya yupi ana mamlaka zaidi ya kiutawala/kiuongozi? Naelewa mbunge yupo kwenye mhimili wa bunge(legislature) na mkuu wa wilaya yupo kwenye mhimili wa serikali kuu(executive), ila yupi kati yao ana nguvu ya...
  3. Ujenzi Ofisi Mpya ya Mkuu wa Wilaya Chunya Kupangiwa Bajeti 2025/2026

    UJENZI OFISI MPYA YA MKUU WA WILAYA CHUNYA KUPANGIWA BAJETI 2025/26 Naibu Waziri, Ofisi ya Rais - TAMISEMI, Mhe. Dkt. Festo Dugange amemuelekeza Mkuu wa Mkoa wa Mbeya kuweka kwenye bajeti ya mwaka wa fedha 2025/26 maombi ya fedha kwaajili ya ujenzi wa Ofisi ya Mkuu wa Wilaya ya Chunya. Mhe...
  4. Mkuu wa Wilaya ya Kilwa, Mohamed Nyundo awaonya wafanyabiashara kufanya biashara za magendo

    Mkuu wa Wilaya ya Kilwa Mkoa wa Lindi Mhe. Mohamed Nyundo amewaasa Wafanyabiashara na Wananchi wa Kilwa kuacha kujihusisha na biashara za magendo kwani zina athari mbaya kwa jamii na uchumi wa nchi. Mhe. Nyundo ameyasema hayo leo tarehe 10.02.2025 wakati alipotembelewa na Timu ya Maafisa kutoka...
  5. T

    Mkuu wa Wilaya ya Chunya, ameagiza kuundwa kwa mfuko maalumu utakaoshughulikia majanga ya asili yanayowakumba wakulima

    Mkuu wa Wilaya ya Chunya Mkoani Mbeya Mbarak alhaj Batenga, ameagiza kuundwa kwa mfuko maalumu utakaoshughulikia majanga ya asili na moto ambao utasaidia kupunguza hasara inayawapata wakulima wa tumbaku wilayani humo. Batenga alitoa kauli hiyo alipokuwa akikabidhi gari kwa wakulima wa tumbaku...
  6. Katavi: Mganga Mkuu wa Wilaya asema wapo kwenye mchakato wa kuajiri Mhasibu wa Hospitali ya Wilaya ya Mlele

    Mganga Mkuu wa Halmashauri ya Wilaya ya Mlele, Mkoa wa Katavi, Dkt. Thadeus Makwanda ametoa ufafanuzi kuhusu hoja ya Mwanachama wa JamiiForums.com aliyeeleza kuwa Hospitali ya Wilaya ya Mlele Mkoa wa Katavi haina Mhasibu hali ambayo inaweza kusababisha upotevu wa fedha na kuwa Watumishi wasio na...
  7. Mkuu wa Wilaya ya Makete amuagiza DED kukarabati vibanda vya stendi ya Makete Mjini ndani ya mwezi mmoja

    Mkuu wa wilaya ya Makete mkoani Njombe Kissa Kasongwa amemuagiza Mkurugenzi mtendaji wa halmashauri hiyo ndani ya mwezi mmoja kufanya ukarabati wa vibanda vya wafanyabiashara wa stendi ya mabasi Makete mjini pamoja na kuifanya ipitike vizuri wakati wa mvua na jua. Mkuu huyo wa Wilaya ametoa...
  8. DC wa Songea: Mtumishi wa Umma amejitambulisha kuwa yeye ndiye Mkuu wa Wilaya, akachukua Rushwa

    RUVUMA: Mkuu wa Wilaya, Kapenjama Ndile amesema uwepo wa mifugo mingi kupita kiasi umekuwa ukiathiri kilimo na kuathiri mazingira Wilayani hapo na kuwa hali hiyo inachangiwa na rushwa inayosababisha uingizwaji wa mifugo kinyemela Ameeleza hali hiyo inatokana na kukithiri kwa Rushwa ambayo pia...
  9. Ajifanya Mkuu wa Wilaya na kutapeli viwanja Homboza, Kisarawe

    Mtu mmoja (jina limehifadhiwa) anadaiwa kufoji nyaraka na kujifanya mwakilishi wa mmoja wa Wakuu wa Wilaya waliowahi kuongoza Wilaya ya Kisarawe, akidai kuuza viwanja kwa niaba ya mkuu huyo wa wilaya aliyepita. Tuhuma hizi zilibainishwa na Mkuu wa Wilaya ya Kisarawe, Petro Magoti, wakati...
  10. TANZIA Mkuu wa Wilaya ya Mbozi Mkoani Songwe, Esther Mahawe afariki Dunia

    Mkuu wa Wilaya ya Mbozi Mkoani Songwe Esther Mahawe amefariki Dunia katika Hospitali ya KCMC Mkoani Kilimanjaro kwa mujibu ya taarifa za awali zilizotolewa na ndugu wake wa karibu. RAIS SAMIA ATOA POLE Nimepokea kwa masikitiko taarifa za kifo cha Mkuu wa Wilaya ya Mbozi, Mkoa wa Songwe, Bi...
  11. LGE2024 Mkuu wa Wilaya ya Tanganyika aonya viongozi wa Serikali Za Mitaa kutojihusisha na uuzaji wa ardhi

    Wakuu, Mkuu wa wilaya ya Tanganyika mkoani Katavi, Onesmo Buswelu amewataka viongozi wa Serikali za vijiji na vitongoji kutojihusisha na uuzaji wa ardhi katika maeneo yao. Hayo yamejiri katika kikao cha halmashauri kuu ya chama cha mapinduzi (CCM) katika wilaya hiyo ambapo mbunge wa jimbo la...
  12. Mkuu wa wilaya ya Mpwapwa Dkt. Sophia: Jeshi la polisi lipo karibu na wananchi

    Mkuu wa wilaya ya Mpwapwa Dkt. Sophia Mfaume akiongea kwa uchungu katika msiba wa Askari Polisi waliopoteza maisha katika majibizano ya risasi na majambazi wilayani humo. Soma Pia: Dodoma: Majibizano ya Risasi Kati ya Polisi na Mtuhumiwa yaua askari Polisi Wawili na Mtuhumiwa mwenyewe! Dkt...
  13. Mkuu wa Wilaya ya Dodoma: Viongozi wa Serikali za Mitaa msiwe mawakala wa kuuza viwanja vya wananchi

    Wakuu, Kumbe viongozi wa CCM upande wa serikali za mitaa walikuwa wanauza kiholela viwanja vya wananchi na mlikuwa hamsemi? Naona CCM sasa wameanza kujiumbua wenyewe hadharani kwa kusema mambo ya hovyo ambayo walikuwa wanayafanya kipindi wako kwenye uongozi. =========================== Mkuu...
  14. DOKEZO Siasa Zetu: Watoto wa wanachama wa CHADEMA wasimamishwa Shule Nkasi kwa maelekezo ya Mkuu wa Wilaya na amri ya mwalimu Mkuu

    Tunapeleka taifa letu wapi? Seriously, nimekutana na hii habari kwenye vyanzo mbali mbali vya mitandao ya kijamii vimenihuzinisha sana .. Nimejaribu kuvaa viatu vya hao watoto... Habari yenyewe ni hii👇 WATOTO AMBAO WAZAZI WAO NI WANACHAMA WA CHADEMA WASIMAMISHWA SHULE Mwalimu Mkuu (REGIUS...
  15. LGE2024 Mkuu wa Wilaya ya Rungwe, Jaffar Haniu ashiriki kupiga Kura katika Mji Mdogo Tukuyu

    Mkuu wa Wilaya ya Rungwe, Jaffar Haniu amepiga kura leo Novemba 27, 2024 katika Kituo cha Shule ya Msingi Madaraka ikiwa ni haki yake Kikatiba Kumchagua Mwenyekiti wa Kitongoji katika Mamlaka ya Mji Mdogo Tukuyu. Jumla ya Wakazi 147,118 wanatarajia kupiga kura katika Vituo 529 ndani ya Vijiji...
  16. LGE2024 Mkuu Wa Wilaya Ya Ilala Edward Mpogolo apiga kura kuchagua mwenyekiti wa mtaa na wajumbe

    Mkuu wa Wilaya ya Ilala Edward Mpogolo amewasili na kutimiza Haki yake ya Msingi ya Kikatiba ya Kupiga Kura katika Uchaguzi wa Serikali za Mitaa ambao Leo Novemba 27, 2024 unafanyika Tanzania Bara. DC Mpogolo amepiga kura yake katika Mtaa wa Karume uliopo Kata ya Ilala, akiwa hapo amewahimiza...
  17. Mkuu wa Wilaya ya Muheza ampigia magoti Waziri wa Maji kuomba Maji wilayani kwake

    Siasa za Tanzania. DC wa Muheza, Bi Zainab akiwa amempigia magoti waziri wa maji Jumaa Aweso kuomba maji wilayani Muheza. Accountability imefikia huku
  18. Mwananchi Arusha adai ametukanwa na kuchapwa makofi na Mkuu wa Wilaya ya Moshi, DC asema "aende Mahakamani"

    Mwanamke anayefahamika kwa jina la Getrude Shio mkazi wa Marangu mkoani Kilimanjaro, amedai kuwa amepigwa kofi na mkuu wa wilaya ya Moshi ndugu James Kaji ikiwa ni baada ya kukataa kutoa cheti cha kifo cha mama yake mzazi akiwa ndani ya ofisi ya mkuu wa wilaya hiyo. Getrude akizungumza na GADI...
  19. Dada Poa waliodhibitiwa na Mkuu wa Wilaya ya Ubungo walitokomea wapi?

    Hivi umewahi kujiuliza mahali walipokimbilia wale dada poa (vipozeo) baada ya kudhibitiwa na mkuu wa wilaya ya Ubungo? Wako wapi? Ama wanafanya nini kwa wakati huu? Walijiajiri ama kuajiriwa wapi? Hii inastaajabisha sana! Hata Dinosours hawaku-perish kirahisi hivi kutoka kwenye uso wa dunia...
  20. LGE2024 Mkuu wa Wilaya ya Chamwino awapa kazi maalum Wenyeviti CCM / Mabalozi kuhusu uandikishaji

    Kwa sasa ndio nimeelewa kwanini cheo cha Mkuu Wilaya kinapigwa vita na akitakiwi kuwepo kabisa ni cheo cha kichawa kinachoingiza hasara tu ya kodi za wananchi. Siku ya jana Alhamisi tarehe 17, 2024, Mkuu wa Wilaya ya Chamwino, Janet Mayanja ameitisha mkutano wa Wenyeviti wa CCM Kata na...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…