Bunge la Tanzania halina mamlaka hata ya kumuita na kumujoji mkuu wa wilaya na wakimuita haendi na hawana cha kumfanya.
Hili ni bunge la wapiga makofi na wakitoka hapo zile Posho zao wananunua Bati na mifuko ya cement wanaenda kuhadaa wajinga jimboni mwao.
Sasa angalia ni tunahitaji miaka...
bunge
bunge la tanzania
ccm
hata
hii
kanda
kanda ya ziwa
kenya
miaka
miaka 100
mkubwa
mkuumkuuwawilaya
mtaji
sana
siasa
siasa za kenya
tanzania
tatizo
umasikini
wilaya
ziwa
Mganga Mkuu Halmashauri Ya Wilaya Meatu , Mahela Godfrey Njile akitoa Elimu ya kipindupindu Kwa lugha ya KISUKUMA katika kata ya Mbugayabang'hya.
Pia soma:
~ Kihongosi: Baadhi ya Mila na Tamaduni zinachangia Kipindupindu Simiyu
~ Kipindupindu Simiyu kimeshamiri, kinaua ni hatari! Mbona...
Nchi yetu, na hasa Jeshi la Polisi, kwa vitendo vyake, linadhihirisha kuwa halipo kwaajili ya kuutumikia umma, halipo kwaajili ya kusimamia sheria, wala kulinda haki za msingi za raia na binadamu kwa ujumla.
Nchi hii kumekuwa na matukio ya kishetani kabisa, matukio ya kuteka, kutesa na kuua...
Kawaida, chama cha siasa kilichopo madarakani kwa kuchaguliwa ki-demokrasia, hakipaswi kuondolewa madarakani kwa nguvu. Uhalali wa kuiondoa serikali madarakani unapaswa uwe kupitia sanduku la kura katika uchaguzi wa kidemokrasia, na kama kuna ukiukwaji wa haki za uchaguzi, mfumo wa sheria wa...
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, amefanya uteuzi na uhamisho wa viongozi mbalimbali. Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Dkt. Moses Kusiluka, viongozi walioteuliwa na kuhamishwa vituo vya kazi ni...
Hii imetokea huko Mbulu mkoani Manyara hii leo baada ya mkuu wa Wilaya hiyo kugoma kuingia kwenye mkutano wa Baraza la Madiwani kwa sababu Madiwani wameimba Wimbo wa Taifa kabla hajaingia.
Kazi kwelikweli nchi hii mambo ni mengi. Hapo tayari ni mgogoro wa DC na DED na madiwani wake. Kisa ni...
Mkuu wa Wilaya ya Busega Mkoani Simiyu, Faiza Salim ameta pole kwa familia ya Mzee Daudi ambayo imempoteza mtoto wao, Meshaki Daudi aliyefariki kwa kupigwa risasi wakati wa Maadamano yalitotokea maeneo ya Lamadi, Agosti 21, 2024 Mkoani Simiyu.
Akizungumzia maandamano yaliyotokea Lamadi, Mkuu wa Wilaya ya Busega Mkoani Simiyu, Faiza Salim amesema athari zilizotokea baadhi ya Viongozi kushambuliwa kwa kupigwa mawe akiwemo yeye (Faiza).
Amesema kwa muda wa miezi minne aliyokuwa katika nafasi hiyo hajapata taarifa ya Watoto kupotea...
Kama hii line up ikitiki, nadhani Kisarawe itatosha kutengeneza content wanazopenda watanzania, ila mpaka karata za kisiasa ziende sawa, wote tuseme ameen.
Sasa ole wenu watumishi msiojua kubana cheko zenu vikaoni
Amani iwe nanyi.
Hivi karibuni, Mkuu wa Wilaya ya Kisarawe amezua taharuki na sintofahamu kwa Waislamu wa Wilaya ya Kisarawe na Tanzania kwa ujumla baada ya kuvamia msikiti huko Kiluvya na kufungia kituo cha kuhifadhisha Quran. Alitoa amri kuwa wanafunzi warudi makwao na akasema kuwa kitendo...
Sijui hata jina lake ila ndani ya siku chache ametoa pasi mkaa au boko za kutilia shaka uwezo wake.
Alianza na kamata kamata ya machangudoa pale riverside, kesi iko mahakamani, anaitia Serikali hasara maana kesi za ukahaba ni kama za uchawi, hazina ushahidi wa moja kwa moja,mwisho wa siku...
Baada ya andiko la Mwandishi wa Habari wa The Guardian kudaiwa kushambuliwa na Walimu, THRDC imetoa tamko, kusoma ilivyokuwa bofya hapa ~ Mwandishi wa Habari wa The Guardian anadai amepigwa na Walimu baada ya kupiga picha Wanafunzi wakisoma chini ya miti.
TAARIFA YA KUKAMATWA KWA MWANDISHI...
Ni Msando na Lemma.
Hii ni hatua ya kupongezwa kwa Godbless Lemma, amekiri kwamba siasa sio uadui. Hii pia aliisema Mbowe alipokuwa katika kikao Arusha ambapo alihimiza 4R za Samia za kusameheana na kushirikiana.
Mtu pekee ambaye anaendesha siasa za chuki ndani ya Chadema ni makamu, ambapo...
MTATIRO ALIFUNGA KANISA LINALOKATAZA KINA MAMA WASIENDE KUJIFUNGULIA KLINIKI
Mkuu wa Wilaya ya Shinyanga, Wakili Julius Mtatiro, amelifunga kanisa la CHURCH OF GOD lililoko kijiji cha Mendo, Tarafa ya Itwangi, Wilaya ya Shinyanga ili kupisha uchunguzi maalum.
Akiambatana na Kamati ya Usalama...
Wanawake 36 wa Ubungo waliokamatwa na Mkuu wa wilaya hiyo wakidaiwa Kuwa ni makahaba na kuwekwa lupango siku 5 sasa watamfikisha mahakamani Mkuu huyo wa Wilaya
Wakili Madeleka amesema Wateja wake 36 watamdai Mkuu wa Wilaya ya Ubungo fidia ya TSH 36 billion Kwa kuwadhalilisha
Ameandika Wakili...
Mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam bwana Albert chalamila juzi alikiri mbele ya Rais Samia siku ya upokeaji wa taarifa ya haki jinai nchini kuwa sasa ameacha ujinga na kuruka ruka kuwabughuzi wananchi bali atazingatia sheria, taratibu na kanuni za nchi.
Albert Chalamila mbele ya Rais Samia...
Nimeona mtandaoni watu wengi wakiwamo wanasheria na wanaharakati wakitetea makahaba waliokamatwa na mkuu wa wilaya ya Ubungo
Ukahaba ni kinyume na maadili yetu watanzani na umekatazwa kwenye vitabu vyote vya dini
Sasa unapokuta mtetezi wa hao watu wanaofanya vitendo viovu unajiuliza dunia...
Wasalaam!
Baada ya Mkuu wa wilaya ya ubungo kuendesha zoezi la kukamata watu wanojiuza na wanao daiwa kununua makahaba wilayani humo!
Baadhi yao wamedai kufatwa nyumba za kulala wageni na kwenye vyumba vyao na kukamatwa wakituhumiwa kufanya biashara ya ukahaba uku wakidai kuwa wamesingiziwa na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.