Nimejulishwa kuwa kuanzia sasa ( Awamu ya Mama japo ya Hayati ilijaribu ila ikatoweka ghafla ) ni kwamba ni Makamu wa Rais, Waziri Mkuu, Mawaziri, Mabalozi, Wakuu wa Idara Nyeti na Wakuu wa Mikoa tu ndiyo watakuwa wanaapishwa na Rais akiwa mbele yao.
Kuanzia Wakuu wa Wilaya, DED na DAS sasa...
Wadau naomba kujua yafuatayo juu ya sifa za kuteuliwa Ukuu wa Wilaya na KAZI za MKUU wa WILAYA.
1. Elimu
2. Umri
3. Ujuzi
4. Itikadi
5. Uzoefu
Ili tusiwalaumu walioteuliwa kumbe wanasifa sahihi.
Pia je, kama sio Watumishi Taarifa zao zinapatikana Wapi maana hawana MAFAILI.
====
Habari wakuu,
Kwa Maoni yangu Mimi Kama Mtanzania naona Jokate Mwegelo hakustahili kuhamishwa Kisarawe bali aliatakiwa apandishwe cheo na kuwa Mkuu wa Mkoa wa Pwani au eneo Jingine has a remote areas.
Kwa sababu moja Kuu, Jokate ni Mbunifu sana na kwa nafasi take kwanza kama Mtu maarufu mwebye...
Kipekee nampa Pongezi Heri James kwa kuteuliwa kuwa DC wa Wilaya ya Ubungo.
Wananchi wa Ubungo wana imani kubwa na wewe haswa kwa uzoefu ulio nao na maono uliyo nao, ulifanya kazi kubwa ulipokuwa Mwenyekiti wa UVCCM.
Wilaya ya Ubungo ni Miongoni mwa wilaya mpya katika Jiji la DSM na Makao yake...
Nakupongeza nikiwa kama mkazi wa Morogoro mjini na nikiwa kama mdau wa mitandaoni na mpenda habari nimekujulia huko kwenye kazu yako ya uwakili.
Naomba ukifika pitia ilani ya chama na angalia vinavyohitajika.
Naomba ukae na meneja wa TARURA nae mgeni, DED atakayeteuliwa, RC mgeni, TANROAD na...
Ikumbukwe kwamba Kabla ya Heri James kuwa Mwenyekiti wa UVCCM nafasi hiyo ilishikwa na Hamad Masauni, japo baadaye aling'olewa kwa kashfa ya kufoji umri, baada yake akaja Sadifa, ambaye rekodi yake ya lugha chafu sidhani kama itakuja kuvunjwa. Hawa wote walitoka Zanzibar.
Sasa swali langu ni...
Rais Samia Suluhu Hassan leo ameachia mkeka wa Wakuu wa Wilaya mbalimbali uliosheheni vijana. Baadhi ya Wakuu wa Wilaya wapya ni pamoja na aliyekuwa Katibu Mkuu wa CHADEMA, Dkt. Vincent Mashinji, pia yupo Joshua Nassari na Wakili Albert Msando. Wengine ni Mwenyekiti wa UVCCM Kherry James...
Aliyekua DC wa Hai Lengai Ole Sabaya pamoja na wenzake leo wamefikishwa tena kwenye Mahakama ya Wilaya iliyopo Sekei Arusha, ili kujibu tuhuma zinazowakabili, Sabaya na wenzake wanakabiliwa na mashtaka matano.
Itakumbukwa June 04,2021 Sabaya na wenzake walifikishwa Mahakamani hapo ambapo...
arusha
bongo
bongo movie
hai
jana
kesi
kilimanjaro
kuhusu
kusikiliza
kutoka
mahakama
mahakamani
mikoa
mkuuwawilaya
movie
ole sabaya
sabaya
vichekesho
wananchi
wapi
Heshima sana wanajamvi,
Mkuu wa Wilaya ya Arusha Mjini ni kijana mdogo lakini mwenye mbwembwe nyingi na vituko vya ujana uliopitiliza. Katika siku za karibuni amekuwa na tabia ya kusindikizwa na gari la Polisi ikiambatana na ving'ora vingi pengine ungefikiri kuna mgonjwa wa COVID 19 anakimbizwa...
Nimemsikia Rais wetu mama Samia akitueleza vijana kuwa mkeka wa wakuu wa wilaya uko mbioni kutolewa na ameeleza wazi dhamira yake ya kuwaamini vijana.
Nikiwa kama mwenyeji wa wilaya ya Hai kijiji cha mbatakero kitongoji cha mlimafaru, naamini kabisa ninayo haki kama walivyonayo wengine ya...
Rais Samia kawatumbua kwa kuwashambulia Machinga mtaani mkoani Morogoro.
Aliyetumbuliwa ni Bakari Msulwa Mkuu wa wa Wilaya ya Morogoro na Sheilla Lukuba Mkurugenzi Morogoro. NI kutokana na Mgambo kuwapiga Machinga.
Pia amesisitiza ajira zote zinazokuja za Ma-DC zijazo zitakuwa za vijana.
Mwaka jana mwishoni mfanyabiashara na mbunifu wa mavazi Jeffery Mmbungu maarufu kama @Speshoz alifungua kiwanda cha vinywaji vikali, wilaya ya Hai mkoani Kilimanjaro. Kiwanda hicho kinaitwa Daren Fabrics Industries Ltd kinazalisha kinywaji chenye jina Faru John.
Mwezi February mwaka huu...
Salaam Wakuu,
Natumia nafasi hii kumpongeza Mkuu wa Wilaya ya Kisarawe Jokate Mwegelo kwa kuipaisha Kisarawe, Kielimu na Kiuchumi.
Wakati anateuliwa nilimbeza sana na kumuona kama kapendelewa. Wengine Walidiliki kusema kwamba ni Nyumba ndogo ya mtu fulani ndo maana kateuliwa. Ila kafanya kazi...
Habarini wadau,
Serikali ya awamu ya tano pamoja na serikali ya awamu ya sita imekuwa ikisisitiza sana kwenye viwanda, kuongeza ajira pamoja na kusisitiza sana watu kujituma kufanya kazi na kujipatia vipato vyao vya kila siku.
Lakini kwa research yangu ndogo biashara nyingi ambazo zimeonesha...
Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amemsimamisha kazi Mkuu wa Wilaya ya Hai, Lengai Ole Sabaya ili kupisha uchunguzi wa tuhuma mbalimbali zinazomkabili kuanzia leo, Mei 13, 2021
Aidha, Rais Samia amefanya teuzi za Viongozi mbalimbali ambao uteuzi wao unaanza leo.
Pia soma:
Mtozi Alloyce...
Heshima kwenu wakuu,
Nimekua shahidi wa michango mizuri humu inavyo fika sehemu husika na kusaidia watu mbalimbali. Niende moja kwa moja kwenye mada.
Nina mzee wangu amestaafu kazi serikalini takribani miaka kadhaa iliyopita (zaidi ya kumi). Alikua Mkuu wa Wilaya (Wilaya tofauti tofauti kwa...
Jamani naomba msaada maana mara kwa Mara nasikia uteuzi wa wakuu wa mkoa na wilaya. Kibaya zaidi nipale ninapo sikia mkuu wamkoa Fulani amestaafu nafasi yake amechukua kanali mstaafu inamaana hakuna watu wengine na kwanini sijawahi kusiakia RPC mstaafu kawa mkuu wa mkoa.
Natafuta kazi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.