Mkuu wa Wilaya ya Musoma amemuweka ndani Polisi Afisa Elimu wa Wilaya ya Musoma Mwl Kalugendo kwa uonevu ati kwa sababu Afisa Elimu huyo alichelewa kuhudhuria Kikao chake cha Chama kilichopangwa kupokea taarifa ya Maendeleo ya Wilaya ya Musoma.
Mkuu huyu wa Wilaya anaenda kinyume na Maelekezo...
Mkuu wa wilaya ya Monduli Mkoa wa Arusha ,Frank Mwaisumbe amemsimamisha kazi mwenyekiti wa Kijiji cha Engaroji ,Ngarama Mapema Kwa tuhuma mbalimbali ikiwemo kuhamasisha wananchi kushambulia Kwa mawe msafara wake na kuvunja vioo vya magari likiwemo gari lake la ofisini.
Akitoa ufafanuzi Mbele ya...
Katika pitapita zangu, nikajikuta wilaya ya Newala, nikiwa katika kijiwe kimoja cha bodaboda nikakuta kuna story ya mwaka juzi ambapo mkuu wa wilaya ya hapo ambaye kwasasa yuko wilaya ya Mbinga alimweka ndani kijana mmoja mwendesha bodaboda baada ya kijana huyo kumpigia simu na kuonesha...
Anaandika mwandishi wa habari wa wapo Radio.
Hapo wakati Tuna chati na Dc . Kama Alikuwa Hataki mimi niende katika Ziara yake Ni Vema Angesema kwamba Sitaki Mwandishi Namimi nisingepoteza Muda wangu .
Maana kwa Majibu hayo niliamini kuwa Alikuwa Tayari mimi niwe nae katika ziara...
Ludigija ni mzaliwa wa Chato, pale Chato ndio kwao na nduguye Leah Ludigija ni maarufu kwa biashara ya magodoro.
Rais na Waziri Mkuu wametoa agizo machinga wasibomolewe bila utaratibu, Mkuu huyu wa wilaya ambaye ni mwenyekiti wa kamati ya usalama ameendesha bomoa bomoa hiyo.
Je, huyu ni...
Mkuu wa wilaya ni kiongozi mkuu wa serikali katika wilaya na jukumu lake la kiutawala ni kuhakikisha mifumo ya utawala katika eneo lake inafanya kazi vizuri na kwa ufanisi.Kiongozi huyu huteuliwa na Rais na ndiye mwakilishi wa Rais katika wilaya.
Baadhi ya majukumu yake ni; kusimamia shughuli...
Mkuu wa wilaya ya Nkasi Mkoani Rukwa Peter Lijualikali amekamata risasi zaidi ya 1500 ambazo zimevuliwa na wavuvi wa kijiji Cha korongwe kata ya korongwe wilayani humo. Lijualikali amesema tayari kamati ya ulinzi na usalama inafanyia kazi swala hilo ili kutambua nani aliziweka risasi hizo katika...
Mkuu wa wilaya Songwe alianza kazi yake vizuri pindi alipofika wilaya ya Songwe ya kuwarudisha watoro sugu mashuleni. Jamii inayoishi katika wilaya ya Songwe wengi ni wachimbaji madini na wafugaji. Kwahiyo jamii hii watoto wa huko hawapendi shule. Mkuu wa wilaya akaja na mkakati kabambe wa...
Mkuu wa Wilaya ya Busega Mhe. Gabriel Zakaria amezindua rasmi zoezi la chanjo ya UVIKO 19 (COVID 19) Wilayani Busega, uzinduzi uliofanyika Hospitali ya Wilaya ya Busega, huku akiwataka wananchi kupuuza maneno na taarifa za kizushi zinazoendelea kusambaa kwenye baadhi ya Mitandao kuhusu chanjo...
Hii ni bodi ya Wataalamu Manunuzi na Ugavi. Imeshindwa kutoa matokeo ya mitihani ya watahiniwa tangu mwaka jana mpaka jana. Ikiwa ni mitihani ya vikao vitatu mfululizo yaani Agosti na November 2020 na Juni 2021.
Wameshindwa kwa sababu Rais hajateua mwenyekiti wa bodi ambaye kisheria yeye na...
Mkuu wa Wilaya ya Iramba Mhe. Suleiman Yusuph Mwenda ametoa zawadi kwa walimu wa shule ya Sekondari Lulumba kuchagua mbuga yoyote ya wanyama kwenda kupumzika kwa siku 3 baada ya shule hiyo kufanya vizuri sana kwenye matokeo ya kidato cha 6 na kuongoza Kiwilaya na Kimkoa na kushika nafasi ya 24...
Nawasalimu kwa jina JMT
Napenda nielekeze maoni yangu kwa DC mpya wa Gairo, mdogo wangu Jabiri M. Omari na nimzindushe kwamba wana gairo walinyanyaswa sana na yule dada. Nimepata kuzungumza na baadhi ya wananchi wa Gairo wakanieleza hili, kwamba yule dada hakuwa mstaarabu na wala hakua na...
Ningekuwa ndio mkuu wa wilaya ningetatua tatizo la ajira kwa watu wote wanaoishi wilayani kwangu.
Hizi ni hatua ambazo ningechukua.
Kwanza ningetambua idadi ya wahitimu wote wanaotokea wilayani kwangu.
Ningehakikisha kama hawana kazi za kufanya nawatafutia kampuni, taasisi na viwanda vya...
Naelekeza hili swali kama nilivyotumiwa kwa Mkuu mpya wa wilaya ya Kinondoni, Ndg Godwin Gondwe.
Waumini wa msikiti wa Kisumu, Magomeni mikumi wana mgogoro wa kikatiba kuwa Mkutano mkuu haujafanyika kwa miaka miwili sasa.
Hivi karibuni kupitia michango na jitihada zao wamejenga jengo la ghorofa...
DC JOKATE MWEGELO: TAA ZA KISASA KUWEKWA ENEO LA NJE MKABALA NA UWANJA WA BENJAMIN MKAPA TEMEKE.
MKUU wa Wilaya ya Temeke, Mhe Jokate Mwegelo ametanabaisha dhamira yake ya kubadilisha taswira ya muonekano wa eneo la mbele ya Ofisi DC iliyopo maeneo ya uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam...
Mkuu wa wilaya ya Kisarawe Mh. Nikki wa Pili jana amefanya jambo kubwa sana la kutoa hati miliki za kimila kwa ranchi 24 kwa wafugaji katika kijiji cha mafizi kwa ajili ya malisho ya mifugo 17920.
Lengo ni kuondoa migogoro ya ardhi, kuboresha huduma za mifugo, uvunaji wa bidhaa zitokanazo na...
Baada ya jana kukutana na kuzungumza na Watumishi wa Halimashauri ya Wilaya ya Songwe jana.
Leo Juni 25,2021 Mkuu wa Wilaya ya Songwe Simon Simalenga amefanya ziara kwenye Kata ya Mwambani ambayo inaundwa na Vijiji vya Iseche, Mbala na Mwambani.
Katika ziara hiyo ambayo aliambatana na...
Nimeona video mtandaoni ya DC Morogoro akiwa kalewa chakari huku anashikashika sehemu za siri za binti/mwanamke.
Inafahamika kwamba huyu DC ameoa, na aliyekuwa naye akimpapasa uchi sio mkewe.
Huyu ndio anatakiwa kusimamia kampeni dhidi ya ukimwi, mimba mashuleni,maadili katika jamii ya...
Taarifa zinasema kwamba kabla ya Uteuzi huu alikuwa Katibu mwenezi wa ccm Wilaya ya Tanga
Bado haijajulikana kama ana uzoefu mwingine wowote wala kiwango chake cha elimu
Ni Albert Msando.
Look at him. Wamekosekana kabisa watu wenye maadili na wanaojiheshimu mpaka kupelekea huyu ateuliwe?
What was he doing there? Fingering her?
What the hell is wrong with you Samia?
Do you just flip a coin when picking these people? Do you conduct any background checks on...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.