Mkuu wa Wilaya ya Rungwe, Jaffar Haniu akiongozana na Kamati ya Ulinzi na Usalama amefanya ziara fupi tarehe 02.2.2023 katika Hospitali ya Wilaya Tukuyu (Makandana) na kujionesha shughuli za utoaji wa huduma ya matibabu zinavyoendekea sambamba na kuzungumza na wagonjwa.
Akiwa katika wodi...
Amri za wakuu wa wilaya za kuwaweka watu mahabusu kwa saa 48 zimeanza kuwaingiza matatani, baada ya aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Siha, Onesmo Buswelu, kuamriwa kulipa fidia ya Sh10 milioni na Serikali ikiamriwa kulipa Sh90 milioni.
Amri hiyo ilitolewa juzi na Jaji wa Mahakama Kuu ya Tanzania...
Mkuu wa Wilaya ya Ludewa Victoria Charles Mwanziva tarehe 30 Januari 2023 amewasili rasmi Ludewa.
Victoria Charles Mwanziva alipokelewa kwa kishindo na Viongozi, Skauti wa Shule ya Sekondari Chief Kidulile na Wananchi mbalimbali wa Wilaya ya Ludewa.
Aidha, Mhe Victoria Charles Mwanziva...
Mambo yamekuwa mambo. Wewe ni mtumishi wa taasisi fulani unalipwa mshahara wa Tsh.Mil.7.8
Unateuliwa kuwa DC ili upate mshahara wa Tshs mil.3 na shangingi
Je, utakubali teuzi au utakataa?
Mkuu wa Wilaya ya Ludewa Mhe. Victoria Charles Mwanziva amekula kiapo cha uongozi kwa nafasi ya Mkuu wa Wilaya mbele ya Mkuu wa Mkoa wa Njombe Mhe. Anthony Mtaka leo tarehe 30 Januari, 2023 katika ukumbi wa Halmashauri ya Mji wa Njombe.
Mhe. Victoria Charles Mwanziva aliteuliwa na Rais wa...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan amefanya uteuzi wa Wakuu wa Wilaya Wapya 37, kuwahamisha vituo vya Kazi Wakuu wa Wilaya 48 na wengine 55 kubakia kwenye vituo vyao.
Kati ya Wakuu wa Wilaya hao 140, Wanawake ni 40 na Wanaume ni 100 ambao ni kama ifuatavyo:
A)...
Hii inaonyesha kuwa huenda katika Media zingine (ukiachana na TBC) huwezi kumpata Kiongozi mahiri au hawajaiva Kimaadili hivyo hawastahili kuteuliwa kuwa Wakuu wa Wilaya.
Sijafahamu lengo la SSH kumpeleka Katwale kuwa mkuu wa wilaya ya Chato.
Huyu ndugu ni mtaratibu, mpole, na aliwahi kufanya kazi NEMC kama mwanasheria, akajijenga kisiasa, akakubalika kweli kweli, ila Jiwe akawa anamtaka Kalemani ambaye alikuwa dhaifu kisiasa.
Ikasukwa zengwe, akapita Kalemani...
Waandishi wa habari Mkoani Shinyanga wameomba mamlaka zinazohusika kuingilia kati vitisho vinavyotolewa na Mkuu wa Wilaya ya Kahama, Festo Kiswaga.
Malalamiko ya waandishi wa habari ni juu ya hali ya ulinzi na usalama wao katika shughuli zao pindi wanapoandika habari za changamoto zilizopo...
Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) imewafikisha Mahakamani Mkuu wa Wilaya ya Mbarali mkoani Mbeya, Ruben Mfune na Katibu Tawala Msaidizi wa Fedha mkoani Kilimanjaro, Juma Masatu kwa tuhuma za uhujumu uchumi na kuisababishia Serikali hasara ya Sh51 milioni.
Wawili hao walidaiwa...
Yaani, mambo mengine unashindwa ucheke au ukae kimya.
Angalia umri na majukumu, na hadhi, halafu anaenda club ku-rap. Maneno haya aliyasema akifanya intavyuu na Dar24
Nadhani hawa viongozi wawe wanapewa strict code of conduct
Merhaba!
Wakuu Kuna vitu kwenye hii nchi vinakera na kuchukiza sana na kuumiza inakuaje mkuu wa wilaya moja nchini ya songwe eti bado yuko kazini mpaka sasa japokuwa ana tuhuma nyingi mojawapo ni kufanya ukatili wa kijinsia kumpiga mwanamke au msichana na kumjeruhi still mpaka sasa yuko ofisini...
1.Summary
Katika ngazi ya wilaya, kuna viongozi wanne wazito. Mkuu wa wilaya, mkurugenzi na mwenyekiti wa halmashauri na Mbunge. Na mara nyingi Kumekuwa na Mikanganyiko ya kutofautisha nafasi hizi na umuhimu wa kila mmoja katika nafasi yake.
Daima swali linakuwa ni nani kati yao mwenye...
Kupigwa na kujeruhiwa kwa Msichana Songwe:
Tunataka Mkuu wa Wilaya awajibishwe haraka!
Utangulizi
Chama cha ACT Wazalendo kupitia kwa Msemaji wa Ustawi na Maendeleo ya Jamii, tumepokea kwa masikitiko makubwa kitendo cha Mkuu wa Wilaya wa Songwe Ndg. Simon Peter Simalenga kumshambulia binti...
Mkuu wa Wilaya ya Mlele mkoani Katavi, Filbarto Sanga, amesema kuwa mkulima yeyote atakayebainika kukabiliwa na njaa atapelekwa mahakamani kutokana na kushindwa kufuata maagizo ya kuhifadhi chakula waliyopewa wakati wa msimu wa mavuno.
Akizungumza na wananchi wakati wa uzinduzi wa msimu wa...
DC JERRY MURO ASHINDA KWA KISHINDO KUWA MJUMBE WA MKUTANO MKUU CCM- TAIFA.
Mkuu wa Wilaya ya Ikungi Mkoani Singida Mhe. Jerry Cornel Muro anawashukuru sana Wajumbe wa Mkutano Mkuu wa CCM Wilaya ya Ikungi kwa kumchagua kwa kishindo cha kura 648 kuwa Mjumbe wa Mkutano Mkuu wa CCM Taifa...
Kupitia account yake ya Twitter, Heche anasema mkuu wa wilaya ya Nyamgana, Mwanza kaamrisha wazazi wenye watoto shule za Mongela na mlimani kulipa tshs 10,000 kila mmoja kwa ajili ya ujenzi wa madarasa.
Tuseme tu ukweli kama nchi tushafeli ni propaganda kutwa na kufanyana wajinga tu.
Haya huyo...
MAWAZO YA HUYU DADA kama akiteuliwa kuwa MKUU WA WILAYA
Mkuu wa wilaya ni kiongozi mkuu wa serikali katika wilaya na jukumu lake la kiutawala ni kuhakikisha mifumo ya utawala katika eneo lake inafanya kazi vizuri na kwa ufanisi.Kiongozi huyu huteuliwa na Rais na ndiye mwakilishi wa Rais katika...
Katibu wa Mbunge wa Hai Irine Lema amekanusha uzushi unaozunguka kwenye mitandao kuwa mkuu wa wilaya ya Hai amemnyanganya ofisi mbunge wa hai Mhe. Freeman Mbowe amesema kuwa ofisi ipo Bomang'ombe na imejengwa kwa garama za Mbunge na haiko halmashauri kama inavyopotoshwa
Huu ni Mwonekano wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.