Habari zenu wanaJF wenzangu,
Wakubwa leo sina mengi ya kuelezea, ila ukweli ni kwamba mkuu wa wilaya yetu ya Kinondoni aliepo ofisini sasa hafai hata robo kuongoza wilaya yetu.
Kila mtu anafahamu kwamba wilaya ya Kinondoni ndio wilaya inayoongoza kuwa na wasomi wengi nchini, ndio wilaya...
Wakuu,
Ni bandiko la pendekezo kwa serikali ya Tanzania kwamba kwa kuwa mji mkongwe wa Mikindani, Mtwara una historia ya kuvutia sana kwa vizazi vya sasa na vijavyo napendekeza makao makuu ya mkuu wa wilaya ya Mtwara yahamishiwe pembeni ya mji huo mkongwe ili kushamirisha shughuli za kiuchumi...
Taarifa kutoka kwenye Oparesheni 255, ambayo iko Shinyanga zinaeleza kwamba, Mbunge wa Viti Maalum na Mkuu wa Wilaya wa zamani wa Meatu amehamia CHADEMA.
Usajili huo Mpya umefanyika katika Mkutano Mkubwa wa hadhara uliofanyika Meatu .
TOA MAONI YAKO
Msabaha sijamuonea huruma.
Alikataa kuwapa hela Wanakijiji wa Lyowa na akataka Shule ijengwe Muungano huko Mtwara kwa hela alizoleta Samia Suluhu.
Kwanza aliwapa masharti Wananchi wajenge wenyewe Madara matano ili kuwapima kama wanahitaji kweli shule. Wananchi wakachangishana wakajenga...
Ndugu yetu Pascal Mayalla amesugua benchi sana. Na kama kutumia uwezo wake kuwashawishi viongozi, ametumia wote.
Ni muda mwafaka sasa wa mwana JF mwenzetu kuukwapua ukuu wa wilaya ya mtwara. Bwana Pascal Mayalla anayohaiba ya kuwa mkuu wa wilaya na anaijua miiko ya uongozi.
Napaza sauti yangu...
Hii nimeiona ITV habari. Mama kakasirika mkuu wa wilaya kufanya uzembe kwa wananchi kurudisha kadi za chama kisa Mtwara wengi ni upinzani.
My Take: Tuendelee kupambana!
=========
Rais Samia Suluhu Hassan ametangaza kumuondoa kazini Hanafi Hassan Msabaha wakati akifunga mafunzo ya uongozi kwa...
Mkuu wa Wilaya ya Mjini Unguja, Zanzibar, Rashid Simai Msaraka amefanya ziara ya kushtukiza katika Shule ya Sekondari ya Forodhani kwa lengo la kufanya msako wa Wanafunzi wanaotumia shisha zinazotumia umeme pamoja na simu.
DC huyo amefika Shuleni na kuamuru Wanafunzi wote washushwe parade na...
Fuatilia yanayojiri kwenye Kikao cha Wajumbe wa Tume ya Haki Jinai, Mkurugenzi wa Mawasiliano ya Rais na Wahariri wa vyombo vya habari, leo Julai 20, 2024.
Kikao hiki kinafanyika Ikulu ya Dar es Salaam.
Tume ya Kuangalia Jinsi ya Kuboresha taasisi za Haki Jinai nchini inaongozwa na...
Jana ktk taarifa ya habari ya jioni Channel Ten kiongozi wa mwenge wa uhuru kitaifa alilalamika kuwa mkurugenzi mtendaji wa wilaya ya Rorya alionesha dharau kwa mwenge wa uhuru, hakutaka kutoa ushirikiano wowote ikiwa ni pamoja na kukata kutoa documents kuhusu miradi mbalimbali iliyoko ktkt...
Mkuu wa Wilaya ya Arusha, Felician Mtehengerwa, amesema hali ya ushoga katika jiji la Arusha ni mbaya kwa sababu inakadiriwa zaidi ya vijana 400 wanajihusisha na vitendo hivyo na kuwataka madiwani kuvikemea katika maeneo yao.
Aidha, amesema kuanzia hivi sasa nyumba za starehe zikiwemo baa na...
Kuelekea kilele cha kumbukumbu ya miaka 59 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar hapo jumatano tarehe 26.04.2023, Mkuu wa wilaya ya Rungwe Mhe. Jaffar Haniu amezindua rasmi zahanati ya Isyonje iliyopo kata ya Isongole.
Pamoja na uzinduzi wa zahanati hiyo pia ameongoza wakazi wa kijiji hicho...
Wakazi wa Wilaya ya Rorya Mkoa wa Mara wametakiwa kuchangamkia fursa za kiuchumi zinazotokana na uwepo wa Ziwa Victoria unaouzunguka wilaya hiyo kwa asilimia 77.
Akizundua tawi la Benki ya CRDB eneo la mji mdogo wa Shirati leo Jumatano Aprili 5, 2023, Mkuu wa Wilaya ya Rorya, Juma Chikoka...
Kichwa cha habari cha jitosheleza.
Wananchi wa Makole D center halmashaur ya jiji walihamishwa kupisha mradi wa stendi ndogo na kituo cha biashara ndogo ndogo za ujasiliamali.
Mwanzo walitakiwa kufidiwa kwa malipo ya hela ila halmashauri wakasema fungu lililotengwa lilichukuliwa tena na...
Ni miongoni mwa wakuu wa wilaya wa hovyo kuwahi kutokea. Jamaa.alikuwa account airport baada ya kikwete na kundi lake kuingia akateuliwa nilifanikiwa kufanya nae Kazi akiwa mkuu wa wilaya mahali fulan.
Huyu alikuwq DC Mpumbavu kuliko, aligombania mpaka wanawake bar, akiulizwa anajificha kwenye...
MKUU WA WILAYA (DC) NA WAKUU WA SHULE ZA SEKONDARI WANENA KUHUSU UMUHIMU WA MFUKO WA JIMBO
Jana, Ijumaa, 24.3.2023, Wakuu wa Shule za Sekondari za Musoma Vijjini, na Bodi zao, walianza kuchukua vifaa vya ujenzi vilivyonunuliwa kwa kutumia Fedha za Mfuko wa Jimbo.
*Manunuzi yalifanywa na...
Mkuu wa Wilaya ya Rungwe, Jaffar Haniu amekabidhi jumla ya pikipiki 61 kwa Maafisa Ugani katika Halmashauri ya Wilaya ya Rungwe ikiwa ni hatua muhimu ya kuboresha na kuongeza tija katika sekta ya kilimo.
Akikabidhi pikipiki hizo, leo Machi 7, 2023, Haniu amewagiza wataalamu hao wa kilimo kwenda...
Nyumba hii imekuwa ikitumiwa na wakuu wa wilaya wote waliopita.
Inashangaza Deudedith Katwale baada ya kuteuliwa ameikataa.
Sasa serikali inalipa pesa nyingi kila Mwezi.
Kama ni ishu ya seng'enge bora aweke ahamie huko.
N:B nimepigiwa simu na mtu anaeishi Chato.
Februari 24, 2023 Mkuu wa Wilaya ya Ludewa Victoria Mwanziva akiambatana na uongozi wa Halmashauri ya Wilaya ya Ludewa ameshiriki zoezi la ugawaji wa pikipiki kwa Maafisa Watendaji wa Kata nane ambazo zimetolewa na Rais Samia Suluhu Hassan.
Wakati wa zoezi hilo Mkuu wa Wilaya amemshukuru Rais...
Taarifa zaidi badae,
Kuna mtu yupo Kahama kanitaarifu kuwa Kuna ndege imeanguka, ambulance na fire zinakimbia eneo la tukio.
---
UPDATES;
Ndege aina ya Garet 5Q KTM ikiwa na abiria 42 imeanguka nje kidogo ya uwanja wa ndege wa Kahama wakati ikijaribu kutua kwa dharura huku watu 10 wanasadikiwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.