Nimeona uchapakazi wako japo unaonekana una uchovu fulani (lakini ni wa baraka)
Unapambana kweli kweli hongera sana kwa uchapa kazi. Mabilioni yamemwagwa Temeke
DC wa Temeke Jokate Mwegelo akiwa na waziri Bashungwa kwenye kuchapa kazi
Mabadiliko ni muhimu. Hongera sana
Pascal Mayalla aone...
MTATIRO AAPISHWA KUWA WAKILI
Katika sherehe za 66 za kupokea Mawakili wapya leo, Mkuu wa Wilaya ya Tunduru Mhe. Julius S. Mtatiro Esq. ni miongoni mwa mawakili wapya 335 walioapishwa na Jaji Mkuu wa Tanzania Profesa Ibrahim Juma kuwa Mawakili wa Mahakama Kuu ya Tanzania na Mahakama zilizopo...
SIRI IMEFICHUKA! Kumbe vile vibanda vya wajasiriamali (Wamachinga) katika Soko Kuu la Chifu Kingalu vilivyojengwa na Mkuu wa Wilaya ya Morogoro, Albert Msando kwa kushirikiana na benki fulani, vimegeuzwa mradi wa kupigia pesa na kuiibia serikali? Hatari sana.
Itakumbukwa kuwa DC Msando alisema...
Mkuu wa Wilaya ya Korogwe, Basila Mwanukuzi amelazwa katika Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Tanga, Bombo baada ya kupata ajali ya gari katika Barabara ya Tanga- Segera eneo la Hale Wilayani Korogwe.
Kaimu RPC wa Tanga, David Mwasimbo amethibitisha kutokea kwa ajali hiyo "Ajali imetokea usiku wa...
Serikali ya Wilaya ya Mufindi mkoani Iringa imewataka vijana kupitia mradi wa Youth Agency Mufindi (YAM) kuunda vikundi vya kiuchumi ili kunufaika na mikopo isiyo na riba toka Halmashauri badala ya kukaa vijiweni bila kazi.
Rai hiyo ilitolewa jana Machi 9, 2022 na Mkuu wa Wilaya ya Mufindi...
Nianze kwa kumpongeza mama Samia kwa kuona mbali lakini aliona umuhimu wa kuipa kipaumbele elimu na afya hizo ndizo nguzo muhimu kwa ustawi wa maisha ya mwanadamu yeyote chini ya jua, lakini pia kimtazamo Rais angependa kuona kile alichokipanga kwa wananchi wake kinatimia na kuonekana machoni...
Kutokana na athari za mvua zile za mwanzo za mwezi Desemba mwaka jana daraja lililopo eneo la Mwanzo Kata ya kifuru-Kinyerezi lilikatika na kuharibiwa vibaya na hivyo kuleta changamoto kubwa kwa wakazi wa maeneo hayo.
Mkuu wa wilaya ya Ilala alifika kwenye Desemba 17 kujionea athari na kuahidi...
MKUU WA WILAYA TEMEKE AKABIDHIWA MADARASA 157 YA SHULE ZA SEKONDARI
Mkuu wa Wilaya ya Temeke Mheshimiwa Jokate Mwegelo ameshiriki katika hafla ya makabidhiano ya Madarasa mapya 157 yaliyojengwa katika Shule 24 za Sekondari iliyofanyika leo Januari 03, 2022 katika Shule mpya ya Sekondari Dovya...
Kumetokea na sintofahamu baada ya ya hati JPM kuaga dunia, Mkuu wa Wilaya ya Dodoma ametangaza kuondoa makazi ya watu zaidi ya elfu 10 kata ya Kizota na bila kujali hawanchi wataenda wapi wala kuishi wapi bali wanajali kupata pesa. Wananchi wameuliza sababu za kubomoa makazi.
Pia, soma: Rais Samia Suluhu Hassan afanya uteuzi wake wa kwanza Ikulu. Gerson Msigwa atolewa Ikulu, Dotto James ahamishwa. TPA, TCRA na TRA zapata wakuu wapya
Wana JF
Kama ulikuwa hujui watu waliokuwa wanaaminika kwa misimamo dhabiti ni watu wa kigoma, hawa jamaa huko nyuma walikuwa vyuma sana kupinga uthalimu wowote ule uliokuwa unafanywa na serikali, walikuwa wakali wa hoja, waliaminika sana Kupita maelezo, ugonjwa wa usaliti ulioanzishwa na Dr...
Wenyewe wanasemaje?
Habari za leo Friends of Bukoba.
Hii hapa ni video ya watetezi wa Mkoa wa Kagera zidi ya hujuma za Mkoa wa Chato.
Tunawashukuru wote walioshiriki ikiwa ni pamoja na:
(1) Mh. Bernedetha Mushashu (Mbunge viti maalum)
(2) Mh. Charles Mwijage (Muleba Kaskazini)
(3) Mh...
Mkuu wa wilaya ya Morogoro Mhe. Albert Msando amepongezwa kwa utendaji kazi wake kuwa kwa kipindi kifupi umeleta mabadiliko mazuri kiutawala na hasa katika kuwaletea maendeleo wananchi na wakazi wa wilaya ya Morogoro Mjini.
Hayo yamezungumzwa na Waheshimiwa Madiwani katika kikao Cha Baraza la...
Wafanyabiashara wadogo katika soko jipya la Mbezi Beda Ubungo wamemlaumu mkuu wao wa wilaya Kheri James kwa kuwarejesha baadhi ya wafanyaniashara maeneo yasiyo rasmi.
Wamedai kila wakimfata DC James ofisini kwake anawaambia wakaanxie kwanza kwa mchungaji kabla ya kwenda kwa askofu akimaanisha...
MKUU WA WILAYA WA TEMEKE MHE JOKATE MWEGELO AJA NA TEMEKE GULIO - SOKO LA MAKANGARAWE LAKAMILIKA
Rasmi sasa Tarehe 19/11/2021 ndani ya Soko Letu La Makangarawe WanaTemeke tunaenda kuandika Historia kwa namna ambavyo wafanyabiashara wadogo wadogo walivyoitikia wito wa kuhama maeneo yote yasiyo...
Mkuu wa wilaya ya Tanga Hashim Mgandilwa ameviagiza vyombo vya ulinzi na usalama kuhakikisha biashara ya madanguro maarufu kama madada poa inakoma mara moja Jijini humo.
DC Mganndilwa alitoa agizo hilo wakati wa kikao cha cha baraza la madiwani wa halamashauri ya jiji la Tanga ambapo aliyataja...
Kwa miaka sasa wakazi wa Charambe Mbagala maji tunayopewa na Dawasa ni hatari kwa matumizi kwani yana kemikali.
Maji haya yenye rangi ukifulia nguo nyeusi huacha rangi nyeupe kwenye nguo yakaukapo, na ukiyamwaga kwenye mchanga huchukua muda mrefu sana kukauka na yakikauka huacha rangi ya njano...
DC JOKATE ATIMIZA AHADI KWA WAFANYABIASHARA MAKANGARAWE
Leo Oktoba 20,2021 Mkuu wa wilaya wa Temeke kupitia mwakilishi wake kaimu Afisa Tarafa Mbagala Bi. Theodora Malata ametembelea soko la Makangarawe na kutimiza ahadi ya kuchangia biashara ya kila mfanyabiashara ndogo ndogo sokoni hapo kama...
Mkuu wa Wilaya ya Singida Mhandisi Paskas Muragili amesema wazazi wote ambao hawatawapeleka watoto wa kike shule watachukuliwa hatua.
Akizungumza kwenye hafla ya kilele cha Maadhimisho ya Siku ya Mtoto wa Kike Duniani yaliyofanyika kiwilaya katika mji mdogo wa Ilongero wilayani Singida, amesema...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.