Aliyekuwa mkuu wa walinzi wa Rais Paul Kagame, Tom Byabagamba, amefariki dunia akiwa gerezani.
Byabagamba, mwenye umri wa miaka 59, ambaye pia, alikuwa ni mlinzi binafsi wa kiongozi huyo, alikamatwa mwaka 2014 na kuhukumiwa miaka 21 jela kwa kueneza taarifa za uongo na kuchafua taswira ya...