Aliyekuwa Mkuu wa Walinzi wa Rais Paul Kagame, afariki akiwa gerezani

Richer

JF-Expert Member
Joined
Jun 9, 2025
Posts
2,318
Reaction score
4,079
Aliyekuwa mkuu wa walinzi wa Rais Paul Kagame, Tom Byabagamba, amefariki dunia akiwa gerezani.

Byabagamba, mwenye umri wa miaka 59, ambaye pia, alikuwa ni mlinzi binafsi wa kiongozi huyo, alikamatwa mwaka 2014 na kuhukumiwa miaka 21 jela kwa kueneza taarifa za uongo na kuchafua taswira ya serikali ya Rwanda.

Hata hivyo kifungo hicho kilipunguzwa hadi miaka 15 baada ya kukata rufaa.

1787820552684.png

=============

Tom Byabagamba, a former commander of President Paul Kagame’s elite presidential guard who later was convicted of inciting insurrection, has died in prison after spending a dozen years behind bars, his brother said. He was 59.

Byabagamba, who held the rank of colonel before he was stripped of it, was the brother of former presidential adviser and now-exiled dissident David Himbara, who announced Byabagamba’s death Tuesday in a statement on X.

Rwandan authorities detained Byabagamba in August 2014 along with another officer, Brig. Frank Rusagara. In 2016, the Military High Court sentenced them to several years in prison over charges including inciting insurrection and tarnishing the government’s image. Rusagara died in prison last year.

Many critics saw the trial as flawed, and Human Rights Watch said the case followed a pattern of silencing government critics at home and abroad.

Source: AP NEWS
 
Hii mifumo yetu ya Afrika ukishawekwa ndani kwa makosa ya kisiasa, your chances of survival are almost zero. Ni suala la muda tu kabla hujapigiwa mahesabu magumu na watu wasiojulikana au mfumo wa dola ili wakupoteze mazima!
 
Aliyekuwa mkuu wa walinzi wa Rais Paul Kagame, Tom Byabagamba, amefariki dunia akiwa gerezani.

Byabagamba, mwenye umri wa miaka 59, ambaye pia, alikuwa ni mlinzi binafsi wa kiongozi huyo, alikamatwa mwaka 2014 na kuhukumiwa miaka 21 jela kwa kueneza taarifa za uongo na kuchafua taswira ya serikali ya Rwanda.

Hata hivyo kifungo hicho kilipunguzwa hadi miaka 15 baada ya kukata rufaa.

=============

Tom Byabagamba, a former commander of President Paul Kagame’s elite presidential guard who later was convicted of inciting insurrection, has died in prison after spending a dozen years behind bars, his brother said. He was 59.

Byabagamba, who held the rank of colonel before he was stripped of it, was the brother of former presidential adviser and now-exiled dissident David Himbara, who announced Byabagamba’s death Tuesday in a statement on X.

Rwandan authorities detained Byabagamba in August 2014 along with another officer, Brig. Frank Rusagara. In 2016, the Military High Court sentenced them to several years in prison over charges including inciting insurrection and tarnishing the government’s image. Rusagara died in prison last year.

Many critics saw the trial as flawed, and Human Rights Watch said the case followed a pattern of silencing government critics at home and abroad.

Source: AP NEWS
Noma Sana ma kanali na ma brigadia wanakula Mvua za Mawe kama kawa Tu.

Usicheze na dola
 
Back
Top Bottom