mlango

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Nyendo

    Je, lifti ikizidiwa uzito inafunga mlango?

    Wajuzi wa mambo naomba kupata ufahamu kidogo, kutokana na suala la lifti kuporomoka Millennium Towers nimeona baadhi ya wadau wakisema lift ikizidisha uzito haifungi wengine wakidai inatoa maelekezo kuwa watu wamezidi na kuwataka kupungua. Je, ni kweli wanaodai hivyo wako sawa? Na kama wako...
  2. John Haramba

    Simulizi Maalum za IKULU (Mwinyi, Kikwete, Mama Maria Nyerere...)

    Abdalla Mohamed Tambaza akielezea simulizi kutoka kwa Familia iliyotoa ardhi kujenga Ikulu ya Magogoni, Dar es Salaam. Simulizi kutoka kwa Rais Mstaafu wa Awamu ya Pili, Ali Hassan Mwinyi Simulizi kutoka kwa Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete, Rais Mstaafu wa Awamu ya Nne Abdalla Mohamed Tambaza...
  3. B

    Marekani: Apigwa risasi baada ya kugonga mlango usio sahihi

    Maandamano yalizuka katika Jiji la Kansas, Missouri, mwishoni mwa juma baada ya mwenye nyumba kumpiga risasi mbili kijana mweusi ambaye aligonga kengele ya mlango wao kimakosa. Ralph Yarl mwenye umri wa miaka 16, alitumwa na wazazi wake kuwachukua kaka zake kutoka katika nyumba ya rafiki yao...
  4. Internet-Money

    Punyeto ni mlango wa Roho chafu

    Kila unapopiga punyeto unazidisha idadi ya pepo wa chafu ndani yako. Moja ya roho chafu inayojulikana zaidi inaitwa Leviathan , na huyu huwa ina waingia wanaume/wanawake. Kwa wapiga punyeto kama ushaanza kujihisi weak Basi hii roho imeshakuvaa. Kuanza ku-act ulelegelege ni moja kati ya...
  5. Ngurukia

    Msaada fundi wa mlango wa Porte Automatic

    Waungwana heri ya pasaka na mfungo mwema kwa kila muhusika. Kwa anaemjua fundi wa mlango wa porte ambao umeacha kujifungua automatically. Awe dar tafadhali. Shukran za dhati za awali. Cc: Extrovert
  6. HIMARS

    Rais Kagame katupa taulo, shujaa wa Hotel Rwanda, Paul Rusesabagina kuachiliwa huru

    Welcome today’s release of Paul Rusesabagina. Thankful to know Paul will be rejoining his family soon. Grateful to the Rwandan Government for making reunion possible. Also appreciate assistance by Government of Qatar. Kazi kwenu ----- Paul Rusesabagina aliingizwa kwenye 18 za mtu mrefu, kisiki...
  7. L

    Kufungua mlango kwa China kuleta fursa zaidi kwa dunia

    Katika Mikutano Miwili Mikubwa ya China iliyomalizika hivi karibuni, China, kwa mara nyingine, imesisitiza kuwa itahimiza ufunguaji mlango wa hali ya juu. Ikiwa ni nchi ya pili kwa ukubwa wa uchumi duniani, nia thabiti ya kufungua mlango zaidi ya China bila shaka italeta fursa kubwa kwa dunia...
  8. Webabu

    Mlango umefungwa hakujawahi kuwepo na safari ya mwezini

    Mwenyezi ni Mkubwa na daima uwongo hauwezi kukaa juu ya ukweli, Gwiji mkuu wa teknolojia na safari za anga anayejitegema Ellon Musk ambaye pia ni mmiliki wa satelite za space X ameufunga mlango huo baada ya kusema safari ya kwenda mwezini mwaka 1969 ilikuwa ni kitu kisicho cha kawaida na ni kama...
  9. Q

    Mwigulu anasema hakuna Mtanzania atagongewa mlango alipe Deni la Taifa, kwani tozo maana yake nini?

    Mimi ni layman wa uchumi lakini alichoongea leo Mwigulu Nchemba katika kipindi cha 360 Clouds TV ni Doctorial Rubbish, amesema, "Hakuna siku Mtanzania atakwenda kugongewa mlango kwamba sasa atoe mbuzi alipe Deni la Taifa. Na hakuna siku Mtanzania ataambiwa alipe Deni la Taifa atoe mchango...
  10. comte

    Zitto sawa wahudumu walifungua mlango, je waliwapa abiria wao maboya?

    Kwa wanaijua na waliowahi kusafari na ndege watakubaliana na ukweli kuwa milango ya ndege inaweza kufunguliwa na mtu akiwa ama nje ya ndege au ndani ya ndege. Wahudumu wa ndege wamefundishwa kufanya kazi hiyo wakati wa kawaida, dharura na hatari. Kumekuwa na mabishano yasiyo na tija na...
  11. GENTAMYCINE

    Waziri Mkuu Majaliwa, Wahudumu wa Ndege ya Precision Air wanasema Wao ndiyo Walifungua Mlango. Huyu Muokoaji ‘Majaliwa’ aliufungua upi?

    "Sisi ndiyo tulifungua Mlango wa Ndege kisha tukawaona Wavuvi na Mitumbwi yao wanakuja na kuanza Kushirikiana nao katika Kuokoa Abiria na baadae nasi pia Kuokolewa" Wahudumu wa Ndege ya Precision Air iliyotumbukia tarehe 6 Novemba Ziwa Victoria Bukoba Mkoani Kagera. "Huyu Kijana tena Wajina...
  12. Expensive life

    Huu mlango wa Emergency wa ndege unaozungumzwa ndio upi wajuzi naomba mnijuze

    Kumekuwa na sinto fahamu mitandaoni kila mmoja akiongea lake ikiwemo manusura wa ajali ya ndege iliyotokea mkoani Kagera. Ni kweli ukisikikiza maoni ya watu kwa makini unaona kuna hoja hapa ya kujadili, je mlango wa Emergency wa ndege ni upi hapa, muokoaji alitumia dhana gani kuufungua? Au...
  13. Congo

    Mlango wa ndege unaweza kufunguliwa kwa nje?

    Naomba kuuliza kwa wenye uelewa. Hivi mlango wa ndege unaweza kufunguliwa kwa nje? Wajuzi wa mambo ya ndege tafadhali.
  14. G Sam

    Nikikutana na Majaliwa aliyejinadi kufungua mlango wa ndege ya Precision namcharaza viboko kweli kweli! Watanzania ifikie pahala tutumie akili

    Naam, imefikia pahala watanzania tunajitumbukiza kwenye vijistori vya hovyo hovyo na kuvinadi pasipo kufanya utafiti wa kina. Hili mimi naliona kama tatizo kubwa sana kwetu kama watanzania. Hivi karibuni ameibuka kijana mmoja ambaye alidai kuwa alifungua mlango wa ndege iliyopata ajali huko...
  15. R

    Mlango wa abiria kwenye ill fated ndege ya Precision uko sehemu gani? Mbele au nyuma?

    Kama uko mbele ina maana ulikuwa submerged under water, sasa majaliwa aliuvunja vipi? Kumbuka kuna pressing force ya maji all over the plane with substantial pressure/force?. Akiufungua tu maji yana rush insid, kumbuka kuna obstacles za viti vilivyong'oka na msongamano wa abiria , commotion kila...
  16. P

    Ukweli kuhusu aliyefungua mlango wa ndege ya Precision Air iliyopata ajali mjini Bukoba

    Nimeona wahanga wengi wakisema walifunguliwa na wasaidizi, Hilo likapelekea niweze kuhusu uwezekano wa kasia kuvunja mlango. Kumbuka mlango unafungwa kutoka nje. Hivyo resistance ni kubwa kama unagongwa kwa nje. NB: Sitaki kubeza jitihada za Majaliwa bali kama binadamu mwenye akili timamu...
  17. J

    Rais Samia: Kijana aliyeongoza Uokoaji atafutiwe nafasi Jeshi la uokozi

    Ni agizo kutoka kwa Rais Samia, Amiri Jeshi Mkuu, ameagiza Waziri wa Mambo ya Ndani Masauni kuanza mchakato wa ajira ya huyo kijana mara moja. Kijana huyu ndiyo alizamia na kwenda kufungua mlango wa ndege na hatimaye abiria 24 wa Precision Air iliyozama kuokolewa. Source: TBC ====== Waziri...
  18. Sildenafil Citrate

    Wizara ya Afya kuzindua Chanjo ya Saratani ya mlango wa kizazi Nov 26, 2022

    Waziri wa Afya Mhe. Ummy Mwalimu amesema Novemba 26, 2022 watazindua upya utoaji wa chanjo ya Saratani ya Mlango wa kizazi nchini kwa wasichana ili kuwakinga dhidi ya aina hii ya saratani. “Tulianzisha sisi chanjo ya kuzuia saratani ya mlango wa kizazi kwa wasichana (HPV vaccine), ikaanza...
  19. A

    Uongozi wa uto waazimia kumuonyesha mlango wa kutokea kocha wao. Wachezaji wakongomani nao kuwekwa kitimoto

    Jana baada ya uto meza kuwapindukia kwa kupigwa kimoja bila majibu na Al Hilal na hivyo kuangukia Kombe la Losers, uongozi chini ya Injinia wa mchongo wameazimia yafuatayo: 1. Kocha ajieleze na aoneshe hiyo meza aliyowaaminisha wana Yanga ataipingua Khartoum ni meza ya aina gani? 2. Kwa nini...
  20. M

    INAUZWA Mlango wa Kioo wa Aluminium wa frame(used)

    Nauza mlango wa Kioo (Aluminium) mahususi kwa kupachikwa kwenye fremu ya biasharaSize: Futi 7 kwa futi 7. Umetumika kwenye frame ya bucha kwa muda mfupi wa miezi 3 tu, bei ni TZS. 150,000 Tu. Unaofaa kwa matumizi ya frem ya biashara kama salon, butcher n.k Napatikana Dar es salaam, Bunju B...
Back
Top Bottom