Simulizi; MLANGO WA 77 "DOOR 77"
Mtunzi; Robert Heriel
Taikon Publishers
0693322300
EPISODE 01.
Mvumo wa sauti za chura uliendelea kuvuma kama kwaya ya Akapella huku masalia ya matone ya mvua yakiendelea kudondoka kidogokidogo mithili ya nyuzi nyembamba za pamba, yajulikanayo kama Manyunyu...
Kwema Wakuu!
Ikiwa kazi unayoifanya haijawahi kukuletea Polisi, au haijawahi kukupeleka kwenye vyombo vya kisheria ujue hiyo kazi haiwezi kukufanya kuwa Tajiri.
Utajiri na uvunjifu wa sheria ni pande mbili za sarafu moja.
Huwezi kuwa tajiri bila kuivunja sheria ya nchi, mahali popote Katika...
Nauza mlango wa Kioo (Aluminium) mahususi kwa kupachikwa kwenye fremu ya biasharaSize: Futi 7 kwa futi 7.
Umetumika kwenye frame ya bucha kwa muda mfupi wa miezi 3 tu, bei ni TZS. 300,000 Tu. Unaofaa kwa matumizi ya frem ya biashara kama salon, butcher n.k
Napatikana Dar es salaam, Bunju B...
Kuna wengi wanaolalamika kwamba walipatwa kuumizwa na utawala wa magufuli. Kuumizwa huko kunahusishwa kibinafsi na utawala wa Magufuli, ikimaanisha walipitia waliyoyapitia tu kwa kuwa Magufuli alikuwa rais.
Wanaolalamika sio wapinzani pekee bali pia wako wanachama wa chama cha mapinduzi ambao...
Nataka kununua fridge ya mlango mmoja kwa ajili ya matumizi ya nyumbani.Nimeona fridge za kampuni zifuatazo;
1.Mr Uk
2.Boss na
3.Hisense.
Hisense compressor yake iko nje na haina bulb kwa ndani.
Mwenye ufahamu na hizi fridge naomba ushauri nichukue ipi?
Kuna nyumba nyingi sana nilizowahi kutembelea, unakuta unakaribishwa ndani kwa kupitia mlango wa jikoni, na ule wa sebuleni unakuta haujawahi kutumika tangu nyumba ijengwe.
Hii husababishwa na nini, chanzo au lengo la tabia hii, ni nini?
Rais SSH amekuwa rais wa viwango tangu aingie madarakani 2021, Bahati mbaya ameangukia kwenye kundi lenye uroho wa Madaraka na Wapiga dili wa tangu kale.
Bahati mbaya SSH amekuwa akiamini ndio kundi lenye kumshauri vizuri,kumbe ni kundi lenye Maslahi binafsi haliamini Kama Samia anaweza...
Wakuu hivi huu mfumo umekaa kitaalamu au ni mazoea tu, sink kuelekezwa upande wa mlango. Vyoo vingi hujengwa hivyo na kuna watu sio wastaarabu akimaliza haja hamwagi maji kuondoa mikojo kwenye floor.
Hii kitu inafanya mazingira ya choo kuwa mabaya kwa mtumiaji mwingine kuanza kukanyaga mikojo...
Tumezoea milango mingi inafungukia ndani. Sasa nikapita sehemu nikaona mjadala. Wanasema ukifungukia nje hata mtu hawezi kuupiga teke ukafunguka kirahisi. Pia wanasema kuna space inaongezeka ndani.
Naangalia faida za kufungukia ndani sizioni, ila naona tu muonekano unakuwa mzuri. Nini maoni yako?
Niliufunga na funguo nikaacha kwenye kitasa, sasa wakati nikiendelea na shughuli zangu nikaona mlango unafunguka wenyewe taratibu sana, nimeogopa kwani ni mara ya kwanza kunitokea hili. Nimejaribu kuufunga na kuufungua umefunguka kwa kasi sana. Sio siri Nina hofu muda huu, moyo unaenda mbio...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.