Katika Mikutano Miwili Mikubwa ya China iliyomalizika hivi karibuni, China, kwa mara nyingine, imesisitiza kuwa itahimiza ufunguaji mlango wa hali ya juu. Ikiwa ni nchi ya pili kwa ukubwa wa uchumi duniani, nia thabiti ya kufungua mlango zaidi ya China bila shaka italeta fursa kubwa kwa dunia...