mlango

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Simulizi ya Kijasusi: Mlango wa 77 "DOOR 77"

    Simulizi; MLANGO WA 77 "DOOR 77" Mtunzi; Robert Heriel Taikon Publishers 0693322300 EPISODE 01. Mvumo wa sauti za chura uliendelea kuvuma kama kwaya ya Akapella huku masalia ya matone ya mvua yakiendelea kudondoka kidogokidogo mithili ya nyuzi nyembamba za pamba, yajulikanayo kama Manyunyu...
  2. Kazi isiyoangaliana na mlango wa Jela haiwezi kukufanya kuwa Tajiri

    Kwema Wakuu! Ikiwa kazi unayoifanya haijawahi kukuletea Polisi, au haijawahi kukupeleka kwenye vyombo vya kisheria ujue hiyo kazi haiwezi kukufanya kuwa Tajiri. Utajiri na uvunjifu wa sheria ni pande mbili za sarafu moja. Huwezi kuwa tajiri bila kuivunja sheria ya nchi, mahali popote Katika...
  3. M

    INAUZWA Mlango wa Kioo wa Aluminium wa frame(used)

    Nauza mlango wa Kioo (Aluminium) mahususi kwa kupachikwa kwenye fremu ya biasharaSize: Futi 7 kwa futi 7. Umetumika kwenye frame ya bucha kwa muda mfupi wa miezi 3 tu, bei ni TZS. 300,000 Tu. Unaofaa kwa matumizi ya frem ya biashara kama salon, butcher n.k Napatikana Dar es salaam, Bunju B...
  4. T

    Wanaosherekea kifo cha Magufuli wanafukuza mwizi huku wameacha mlango wazi

    Kuna wengi wanaolalamika kwamba walipatwa kuumizwa na utawala wa magufuli. Kuumizwa huko kunahusishwa kibinafsi na utawala wa Magufuli, ikimaanisha walipitia waliyoyapitia tu kwa kuwa Magufuli alikuwa rais. Wanaolalamika sio wapinzani pekee bali pia wako wanachama wa chama cha mapinduzi ambao...
  5. M

    Mlango wa mbao vs geti la chuma

    Hivi wanaoweka mlango wa mbao na geti la chuma kwenye mlango mmoja lengo ni nini?
  6. K

    Ipi fridge nzuri ya mlango mmoja?

    Nataka kununua fridge ya mlango mmoja kwa ajili ya matumizi ya nyumbani.Nimeona fridge za kampuni zifuatazo; 1.Mr Uk 2.Boss na 3.Hisense. Hisense compressor yake iko nje na haina bulb kwa ndani. Mwenye ufahamu na hizi fridge naomba ushauri nichukue ipi?
  7. Nyumba nyingi hutumia mlango wa jikoni kuingia ndani badala ya mlango wa sebuleni, ni uchawi au ni nini?

    Kuna nyumba nyingi sana nilizowahi kutembelea, unakuta unakaribishwa ndani kwa kupitia mlango wa jikoni, na ule wa sebuleni unakuta haujawahi kutumika tangu nyumba ijengwe. Hii husababishwa na nini, chanzo au lengo la tabia hii, ni nini?
  8. Kuna Genge ndani ya CCM linajiandaa kumuondoa Samia 2025 kwa Mlango wa Nyuma

    Rais SSH amekuwa rais wa viwango tangu aingie madarakani 2021, Bahati mbaya ameangukia kwenye kundi lenye uroho wa Madaraka na Wapiga dili wa tangu kale. Bahati mbaya SSH amekuwa akiamini ndio kundi lenye kumshauri vizuri,kumbe ni kundi lenye Maslahi binafsi haliamini Kama Samia anaweza...
  9. Sink la choo kuelekezwa upande wa mlango

    Wakuu hivi huu mfumo umekaa kitaalamu au ni mazoea tu, sink kuelekezwa upande wa mlango. Vyoo vingi hujengwa hivyo na kuna watu sio wastaarabu akimaliza haja hamwagi maji kuondoa mikojo kwenye floor. Hii kitu inafanya mazingira ya choo kuwa mabaya kwa mtumiaji mwingine kuanza kukanyaga mikojo...
  10. Mlango wa nje unatakiwa kufungukia nje au ndani?

    Tumezoea milango mingi inafungukia ndani. Sasa nikapita sehemu nikaona mjadala. Wanasema ukifungukia nje hata mtu hawezi kuupiga teke ukafunguka kirahisi. Pia wanasema kuna space inaongezeka ndani. Naangalia faida za kufungukia ndani sizioni, ila naona tu muonekano unakuwa mzuri. Nini maoni yako?
  11. M

    Muda huu mlango wa chumbani kwangu umefunguka wenyewe

    Niliufunga na funguo nikaacha kwenye kitasa, sasa wakati nikiendelea na shughuli zangu nikaona mlango unafunguka wenyewe taratibu sana, nimeogopa kwani ni mara ya kwanza kunitokea hili. Nimejaribu kuufunga na kuufungua umefunguka kwa kasi sana. Sio siri Nina hofu muda huu, moyo unaenda mbio...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…