mlima kilimanjaro

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. maganjwa

    Nyerere kuweka Bendera kwenye Mlima Kilimanjaro alikuwa na maana gani? Alikuwa anatimiza unabii?

  2. JanguKamaJangu

    UN yautaja Mlima Kilimanjaro kuwa mmoja wa milima itakayopoteza barafu yake mwaka 2050

    Ripoti ya Shirika la Umoja wa Mataifa la Sayansi na Utamaduni (UNESCO) milima mingi Duniani ikiwemo ile ya Afrika itapoteza barafu kwa kuyeyuka kutokana na mabadiliko ya hali ya hewa. Hatua hiyo itafikiwa ikiwa hakutakuwa na jitihada za kulinda mazingira na baadhi ya Milima mikubwa iliyotajwa...
  3. DodomaTZ

    Moto walipuka tena upya ndani ya Mlima Kilimanjaro

    Achana na ule moto wa wiki iliyopita, habari hii imeripotiwa tena kutokea usiku wa tarehe 29 Oktoba 2022, kuna nini kinaendelea huko katika Mlima Kilimanjaro? Ni majanga ya kawaida au kuna mikono ya watu? Habari yenyewe nimeichukua kama ilivyo, hii paha chini ---------------- Picha ya...
  4. peno hasegawa

    Mlima Kilimanjaro unawaka tena moto usiku huu ikiwa ni mara ya tatu kwa mwezi Oktoba 2022

    Mlima kilimanjaro unawaka tena moto usiku huu. KINAPA NA TANAPA AMKENI .
  5. BARD AI

    Moto uliowaka Mlima Kilimanjaro kwa wiki nzima wadhibitiwa

    Moto uliozuka katika Hifadhi ya Mlima Kilimanjaro nchini Tanzania karibu na eneo la Karanga Camp umedhibitiwa huku eneo lenye ukubwa wa kilometa za mraba 2 hadi 4 zimeteketea. Akizungumza na waandishi wa habari, Ijumaa Oktoba 28, 2022 katika lango la Mweka, Waziri wa Maliasili na Utalii, Dk...
  6. Namche Bazar

    Suala la moto mlima KIlimanjaro

    Nawasalimu wote kwa jina la Jamhuri. Ni zaidi ya wiki sasa moto unaendelea kuwaka katika mlima Kilimanjaro. Na kinachoonekana ni kujaza watu mlimani ambao wanaitwa kikosi kazi bila kufanya kazi ya kuzima moto,wengi wao wameenda kula na kupiga picha tu (selfie) na kuwa kero hata kwa watalii...
  7. BARD AI

    Moto warejea tena Mlima Kilimanjaro

    Siku chache baada ya Waziri wa Maliasili na Utalii, Dk Pindi Chana kutoa taarifa moto uliokuwa umewaka Mlima Kilimanjaro umedhibitiwa, moto huo umelipuka tena katika maeneo ambayo awali yalidhibitiwa kutokana na upepo mkali. Moto huo ulinza kuwaka Oktoba 21, 2022 katika eneo la Karanga...
  8. N

    Maoni kuhusu Mbunge/Wabunge kivuli/Vivuli (Shadow Member of the Parliament)

    Maoni kuhusu Mbunge/Wabunge kivuli/Vivuli (Shadow Member of the Parliament) Inaletwa kwenu nami Kelvin Nyagawa (Mwanasheria) Kwani Prof. Rwekaza ni Professor wa sheria? Kwanini hakupewa chairman Prof. wa sheria? Tukimuuliza Prof. Rwekaza ili tuwe na tume huru kisheria nini inahitajika...
  9. Nature

    Moto unawaka usiku huu msitu wa Mlima Kilimanjaro

    Kwa wale wakazi wa Mji wa Moshi na maeneo ya Jirani kuanzia saa 2:30 usiku huu ukiangalia Upande wa kaskazini ulipo mlima Kilimanjaro unaonekana Moto mkubwa. Unaoambatana na Moshi mwingi. Kama hali itaendelea bivi basi itabidi Mamlaka husika zijiandae kwa ajili ya kuzima moto huo mapema kabla...
  10. Roving Journalist

    Nape: Bei ya internet imeshuka sana

    Uzinduzi wa Huduma za Mawasiliano ya Intaneti Mlima Kilimanjaro, Agosti 16, 2022 Waziri Nape Nnauye: Nawapongeza TTCL kwa kunialika kushiriki tukio hili la uzinduzi wa huduma ya mawasiliano ya intaneti katika moja ya kivutio bora cha kitalii Duniani Maeneo mengi ya utalii Nchini baada ya...
  11. Nyendo

    Nape Nnauye: Napandisha intaneti kilele cha Mlima Kilimanjaro

    Waziri wa Habari, Mawasiliano na teknolojia ya habari Nape Nnauye leo anatarajiwa kuzindua huduma za mawasiliano ya Internet zitakazokuwa zikipatikana kwenye Mlima Kilimanjaro. Kwenye ukurasa wake wa Twitter Waziri Nape ameandika yafuatayo ———> “Leo juu ya Mlima Kilimanjaro napandisha...
  12. M

    Hii michango itayochangishwa si sababu ya Royal Tour, hawa vijana wa Kiholanzi wanaujua Mlima Kilimanjaro tangu enzi na enzi

    Raia wa Uholanzi zaidi ya 40 wameanzisha mbio za baiskeli kuzunguka mlima Kilimanjaro kilometa 400 kwa ajili ya kuchangisha fedha kusaidia sekta ya afya nchini. Mbio hizo za baiskeli zijulikanazo kwa jina la ‘Africa Classic’ zimeratibiwa na Shirika la Amref Netherlands kwa kushirikiana na Amref...
  13. MK254

    Wabongo bana, yaani mtu maarufu (celebrity) hajui ulipo mlima Kilimanjaro, halafu mnatupigia makelele

    Ndivyo walivyo, asilimia kubwa ya Watanzania wakiwemo wasanii na watu maarufu wengi hawajui vivutio vya kitalii kwao viko wapi, wao wapo wapo tu siku ziende, hawaitalii nchi yao kabisa, hawana desturi kama ilivyo kwetu sisi Wakenya ambapo tumegeuza kibao kabisa, tunaitalii nchi yetu kote, vijana...
  14. L

    Mwijaku: Arusha ndio mji pekee Mlima Kilimanjaro unapatikana

    Akihojiwa na mwandishi wa habari wa kituo kimoja cha tv katika uzinduzi wa filamu inayotangaza vivutio vya kitalii Tanzania. Mwijaku ameulizwa kwa nini uzinduzi wa filamu ya Royal Tour unafanyika Arusha? Amejibu kwa sababu mkoa wa Arusha ndio mji unaopatikana mlima Kilimanjaro. Mwijaku amekuwa...
  15. S

    Google Doodle wameuweka Mlima Kilimanjaro leo

    Leo kama ilivyokatika miaka yote ni siku ya Dunia. Huwa siku hii inaadhimishwa kwa kujadiliana namna gani tunaweza kuifanya dunia iendelee kuwa sehemu salama ya kuishi. Changamoto zote na namna ya kuzitatua kufuatia mabadiliko ya tabia nchi. Nimefarijika kuona mlima Kilimanjaro leo utafahamiaka...
  16. J

    Mlima Kilimanjaro utafutiwe Mwekezaji ili mapato yaongezeke

    Kwa sasa Mlima Kilimanjaro ni kama unapeform chini ya kiwango kwa sababu mapato yanayopatikana kwa mwaka hayaendani kabisa na hadhi ya mlima huo duniani Ni vema akatafutwa mwekezaji mwenye uzoefu akaja kutuendeshea mlima huu mrefu kabisa barani Afrika na duniani pia. Maendeleo hayana vyama!
  17. Bujibuji Simba Nyamaume

    Ongezeko la joto nchini, picha ya Mlima Kilimanjaro leo

    Barafu inayeyuka kabisa kileleni. Mungu atunusuru
  18. I am Groot

    Johannes Rebmann: Mtu aliyegundua mlima Kilimanjaro

    Ni maajabu sana. Kulingana na machapisho mbalimbali mlima maarufu unaokadiriwa kuwa na umri wa miaka 3 million iliyopita hakuna mkazi yeyote wa aliwahi kujua kuna mlima mrefu kaskazini mwa Tanganyika hata wale wakazi wenyewe hawakujua 😁. Johannes Rebmann. Mlima Kilimanjaro uligunduliwa na...
  19. Analogia Malenga

    UN: Mlima Kilimanjaro hautakuwa na barafu mwaka 2040

    Umoja wa Mataifa(UN) umeripoti kuwa kasi ya barafu kuyeyuka katika milima ya Afrika Mashariki hakutakuwa na mlima utakaobaki na barafu kileleni kufikia mwaka 2040. Milima yenye barafu Afrika Masharini ni Kilimanjaro(Tanzania), Ruwenzori(Uganda) na Mlima Kenya. UN inatoa wito kwa nchi kupunguza...
  20. P

    Je, moto wa ajabu ardhini rombo ni dalili za kulipuka volcano iliyolala ya mlima Kilimanjaro?

    Kwa wakaazi wa Wilaya ya Rombo na maeneo mengine yote kuuzunguka mlima Kilimanjaro chochote kinachotokea kuhusiana na Mlima huu ni lazima kiwaguse moja kwa moja kutokana na maisha yao kutegemea miteremko yake kwa maelefu ya miaka iliyopita. Ingawa uwezekano wa Volcano ya mlima huu kulipuka...
Back
Top Bottom