Nikiwa Ubungo Riverside, nimebaini kuwepo kwa changamoto kubwa ya uondoaji wa taka ambapo huduma hiyo imekuwa ya kusuasua kwa muda sasa. Hali hii imesababisha taka kurundikwa kando ya barabara na katika maeneo ya makazi kwa siku nyingi bila kuondolewa.
Wakazi wa eneo hili wanasema taka hizo...
Dkt. Erastus Sylvanus, Mkurugenzi wa Idara ya Huduma za Dharura na Maafa kutoka Wizara ya Afya amesema hawajapata malalamiko ya watu kuumwa magonjwa ya tumbo kwa wingi na kwamba wale wenye changamoto hiyo ni vema wakafika hospitali kupata huduma.
Hoja ya Mdau ~ Ni kama kuna mlipuko wa homa ya...
Uongozi wa mabasi yaendayo kasi DRT Mnaharibu heshima ya mradi na taswira ya serikali kwa utiririshaji wa maji machafu barabarani kuanzia mida ya saa 6:00 usiku Hadi saa 7:30 hivi.
Ukweli ni kuwa maji hayo yanayosambaa barabarani yananuka sana hasa upande wa kutokea mjini yaani upande wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.