mlipuko

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. T

    Watu 11 wauawa katika mlipuko kwenye mkutano wa M23

    Watu 11 wameuawa na wengine wengi kujeruhiwa Alhamisi wakati wa mlipuko katika mji wa mashariki mwa Congo wa Bukavu uliotokea kwenye mkutano wa hadhara ulioongozwa na viongozi wa kundi la M23, ambalo lilichukua udhibiti wa mji huo mapema mwezi huu. Viongozi wa waasi wameituhumu Serikali ya...
  2. Mlipuko wa Marburg Tanzania: Serikali yatoa Mwongozo wa Wasafiri wanaoenda na kutoka Mkoani Kagera

    Tarehe 20 Januari 2025, Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ilitangaza mlipuko wa Ugonjwa wa Virusi vya Marburg (MVD) unaoathiri wilaya ya Biharamulo mkoani Kagera, Kaskazini-Magharibi mwa nchi Kilomita 1450 na 1068 kutoka Dar es Salaam na Arusha kwa mtawalia. Kufuatia mlipuko huu...
  3. Waziri wa Afya asema Hospitali Maalum ya Magonjwa ya Mlipuko kujengwa Kagera

    Serikali imeanza mchakato wa ujenzi wa hospitali maalum ya magonjwa ya mlipuko na kituo kikuu cha uchunguzi mkoa wa Kagera kutokana na mkoa huo kupakana na nchi ambazo zimekuwa na historia ya kushambuliwa mara kwa mara na magonjwa hayo. Akizungumza Mkoani Kagera wakati wa hafla ya uzinduzi wa...
  4. RC Mrindoko wa Katavi aitaka jamii kuchukua tahadhari ya mlipuko wa Kipindupindu

    Mkuu wa mkoa wa Katavi Mwanamvua Mrindoko ametoa mwezi mmoja kwa Katibu Tawala wa mkoa pamoja na wakuu wa wilaya zote za mkoa wa Katavi kufanya ukaguzi wa kina kwenye maeneo ya biashara nakuchukua hatua za haraka Kuzuia magonjwa ya mlipuko ambayo tayari yameathiri maeneo mbalimbali ya mkoa wa...
  5. Serikali inaukaribisha Mlipuko au Vurugu kipindi hiki cha uchaguzi

    Chama cha upinzani Chadema kwa muda sasa wameshindwa kuunganisha nguvu ya umma dhidi ya serkali. Sasa ni serikali yenyewe imeleta kiwashio cha bomu. Chadema sasa inatakiwa ku detonate na nchi nzima ilipuke. Ni simple sana. Kwa kuwa kuenguliwa kwa wagombea wao ni mkakati, na hata baada ya...
  6. WHO yatahadharisha Virusi vya Mlipuko Marburg kuendelea kusambaa

    On 27 September 2024, the Rwanda Ministry of Health announced the confirmation of Marburg virus disease (MVD). Blood samples taken from people showing symptoms were tested by real-time reverse transcription polymerase chain reaction (RT-PCR) at the National Reference Laboratory of the Rwanda...
  7. Iran yakumbwa na mlipuko kwenye mgodi wa makaa ya mawe

    Mlipuko umetokea kwenye mgodi wa makaa ya mawe mjini Tabas,500km toka tehran,watu 30 wameuawa na 17 kujeruhiwa, wengine wakiaminika kunasa ndani ya mgodi
  8. W

    WHO: Mlipuko wa Ugonjwa wa Mpox ni janga la Kiafya la Kimataifa

    Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Afya Duniani la Umoja wa Mataifa (WHO),Tedros Adhanom Ghebreyesus, amesema kuwa Mlipuko wa Mpox si janga la Afrika pekee bali ni la kimataifa katika mkutano wa kamati ya dharura ya shirika hilo Agosti 14, 2024. Kwa mara ya pili tangu mwaka 2022, ugonjwa umetangazwa...
  9. Mlipuko Tel Aviv: Hii drone iliwezaje kupenya?

    Mapema leo huko Tel Aviv kumetokea mlipuko karibia na ubalozi wa Marekani na kusababisha majeraha. La kujiuliza ni aina gani ya drone iliyotumika kwenye shambulio hili yaani watu wanastukia kitu kinalipuka na hakuna onyo lolote! Udini na mahaba weka pembeni! ‘Suicide drone’ explodes near US...
  10. A

    DOKEZO Serikali iliangalie hili la uuzwaji vyakula mtaani bila vibali maalum; kuna hatari kubwa mbeleni

    Nyama choma ya kuku na ng'ombe zimekuwa biashara iliyoshamiri hasa katika vituo mbalimbali vya daladala hasa jijini Dodoma na Dar es Salaam yaan mtu yeyote anaweka meza njiani na ndoo ndogo iliyojaa nyama anaanza kuuzia raia vitu kama mishikaki ya mia mbili, miguu ya kuku, vichwa vya kuku na...
  11. S

    SoC04 Mazingira machafu yanavyoweza kuchangia usambaaaji wa magonjwa ya mlipuko

    Mazingira ni vitu vyote vinavyotuzunguka venye uhai na visivyo na uhai kama nyumba,mimea,watu,wanyama,hewa nakadhalika. Mazingira machafu yanaweza kuongeza usambaaji wa magonjwa ya mlipuko kwa sababu zifuatazo÷ 1. Mavi, hiki ni chanzo kikuu cha usambaaji wa magonjwa kama kipindupindu,kuhara na...
  12. Mlipuko kwenye gari Israel waua watatu ikidaiwa ni Iran

    Vyombo vya habari vya Israel vinachambua hili kuwa hii huenda ni mauaji ya kisiasa na ya kulipa kisasi. Inadaiwa ni Iran keshafanya yake. BREAKING 3 Israelis died in a car explosion in Ashkelon, Israeli media talks about assassination Iran imekua na majasusi wengi sana ndani ya mifumo ya...
  13. Kabla ya milipuko sauti gani husikika ?

  14. Mlipuko wa bomu la gari wadaiwa kutokea nchini Israel

    Wanaukumbi. MLIPUKO KATIKA ISRAEL Ripoti zinaibuka kuhusu mlipuko wa bomu lililotegwa kwenye gari kwenye makutano ya Dove Haz katika makazi ya Bat Yam. Maelezo bado yanaendelea, na hali inaendelea. Watu wana test mitambo...
  15. Upatikanaji wa umeme vijijini mwarobaini katika kuwezesha uwepo wa maji safi na salama ili kuzuia magonjwa ya mlipuko

    Na.Elimu ya Afya Kwa Umma. Imeelezwa kuwa upatikanaji miundombinu ya maji safi iliyounganishwa na miundombinu ya umeme katika vijiji vya Nyanguge na Bunamhala Wilayani Bariadi Mkoani Simiyu imekuwa mwarobaini katika kupambana na magonjwa ya mlipuko ikiwemo Kipindupindu. Hii ni baada ya...
  16. Rais Ruto awalaumu maafisa wa serikali kwa uzembe kufuatia mlipuko mbaya wa gesi

    Rais wa Kenya William Ruto Jumamosi amewalaumu maafisa wa serikali kwa uzembe na rushwa kufuatia mlipuko mbaya wa gesi uliotokea jijini Nairobi na kuua watu watatu na kujeruhi wengine 280. Lori lililokuwa limebeba mitungi ya gesi lilipuka kabla ya saa sita usiku siku ya Alhamisi huko Embakasi...
  17. Rais Ruto awalaumu maafisa wa Serikali kwa uzembe kufuatia mlipuko mbaya wa gesi

    Rais wa Kenya William Ruto Jumamosi amewalaumu maafisa wa serikali kwa uzembe na rushwa kufuatia mlipuko mbaya wa gesi uliotokea jijini Nairobi na kuua watu watatu na kujeruhi wengine 280. Lori lililokuwa limebeba mitungi ya gesi lilipuka kabla ya saa sita usiku siku ya Alhamisi huko Embakasi...
  18. Tanganyika imejifunza mlipuko wa Gesi Kenya!Ujenzi kilalela tutavuna tunachokitaka! Wananchi wasubiri kupewa pole wakiwa kaburini?

    Leo 2-2-2024 "Lori moja ya nambari ya usajili isiyojulikana ambayo ilikuwa imesheheni gesi ililipuka na kuwasha moto mkubwa ulioenea sana. Mtungi wa gesi uligonga Godown na kuteketeza godown hilo linalohusika na nguo na nguo," msemaji wa serikali Kenya Isaac Mwaura alisema. TANZANIA. Biashara...
  19. Mlipuko mkubwa watokea Nairobi, wahofiwa kusababisha vifo, majeraha

    Watu kadhaa wanahofiwa kufariki katika kijiji cha Mradi, mtaa wa Embakasi, mjini Nairobi baada ya mtambo wa gesi kulipuka muda mfupi kabla ya sita usiku wa Alhamisi, na kuliingiza jiji katika hofu, gazeti la Daily Nation liliripoti. Wengine dazeni kadhaa wanaripotiwa kupata majeraha ya kutishia...
  20. Chukua tahadhari kujikinga na magonjwa ya mlipuko

    📍Dar es salaam ◾ 17/01/2024 Habari wana-Dar es salaam. Tunamshukuru mungu kwa kutuamsha salaama siku ya leo. Wagonjwa na wanaopitia changamoto mbalimbali mungu awafanyie wepesi waweze kukabiliana nazo na kuwaponya. ➡️ Naomba tuendelee kuchukua Tahadhara katika mkoa wetu wa Dar es salaam na...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…