Katibu mkuu wa wizara ya afya Prof Mchembe amesema kuanzia sasa wasemaji wa maswala ya afya ni RMO kwa level ya mkoa na DMO kwa level ya wilaya.
Prof Mchembe amesema waganga wa mikoa na wilaya wana timu za wataalamu na amewataka wanasiasa kutojiingiza kwenye maswala nyeti ya afya.
Kadhalika...
Mamlaka nchini Indonesia zimewahamisha mamia ya watu waliokuwa wakiishi karibu na mlima wenye hatari ya kulipuka kwa volcano baada ya dalili za mlipuko kuongezeka mapema wiki hii.
Zaidi ya watu 600, wengi wakiwa wazee, wanawake wajawazito na watoto, pamoja na wale wenye ulemavu wamelazimika...
Wakuu hili tetemeko limepita Huku Ubungo mkoa wa Dar es Salaam. Vipi huko kwenu?
Earthquake M6.1 - 3.495 miles of Field Patch - Tanzania by BMKG (2020-08-12 17:13:13 UTC)
--
Taarifa ya WanaJF walio mkoa wa Morogoro
Pia soma:
Tetemeko la ardhi 14:57Hrs lapita mkoani Tabora
Tetemeko dogo...
Kuna mlipuko mkubwa sana umetokea Lebanon muda si mrefu, inasemekana silaha na milipuko ya Hezbolah ndio imeharibiwa na intelijensia ya Israel..
Picha linaendelea..
====
Mlipuko mkubwa umepiga mji mkuu wa Lebanon, Beirut, huku kukiwa hakuna uthibitisho kuhusu mlipuko wa pili
Mlipuko mkubwa...
Rais wa Afrika Kusini ametehadharisha kuwa hali ya mlipuko wa virusi vya corona inaelekea kuwa mbaya zaidi, wakati akitangaza kulegeza masharti ya kubaki nyumbani.
Cyril Ramaphosa amesema zaidi ya watu 22,000 wamerekodiwa kuwa na maambukizi juma lililopita.
Pamoja na hayo , rais amesema kuwa...
Awali ya yote napenda kutoa pole nyingi kwa Watz walioathirika na hili gonjwa kwa namna moja ama nyingine huku wakiendelea kupambana na Ugonjwa wa Corona kila mtu kwa staili yake tukiwa tumepoteza mwelekeo hasa baada ya wataalamu na wanasiasa nchini kutofautiana katika mbinu za kukabiliana na...
SWAHILI:
CORONAVIRUS: BoT YAONGEZA KIWANGO CHA MIAMALA YA KWENYE SIMU NA UNAFUU KWA HATI FUNGANI
Kamati ya Sera ya Fedha ya Bodi ya Benki Kuu ya Tanzania imepitisha hatua mbalimbali za kisera zinazolenga kukabiliana na athari za mlipuko wa #COVID19 katika Uchumi ili kudumisha uthabiti wa Sera...
Shirika la UNHCR ambalo linashughulika na wakimbizi limesema kutokana na janga la COVID19, Wanawake na Wasichana wapo katika hatari kubwa ya kunyanyaswa kijinsia
UNHCR imesema kufuatia nchi nyingi kufunga mipaka ili kujikinga na maambukizi ya Virusi vya Corona, misaada iliyokuwa ikitolewa kwa...
Afrika huenda ikawa kitovu kipya cha mlipuko wa virusi vya corona, Shirika la Afya duniani WHO limeonya.
Kumekuwa na ongezeko kubwa la visa vya ugonjwa huo wiki iliopita.
Kumekuwa na zaidi ya visa 1000 na zaidi ya maambukizi 18,000 kote barani Afrika kufikia sasa , ijapokuwa viwango hivyo viko...
Kufuatia maagizo ya kukaa ndani na kutokusanyika au kusogeleana, ili kuzia kusambaa kwa virusi vya #Corona shughuli za kila siku zinabadilika sana ikiwe namna ya kununua bidhaa
Yafuatayo ni madokezo unayotakiwa kuyafanya ili kuendana na amri ya kutosogeleana wakati unafanya manunuzi ya bidhaa...
Mlipuko wa virusi vya Corona unaoendelea sasa duniani (COVID - 19) una madhara kwenye kila eneo la maisha yetu.
Madhara makubwa kabisa yako kwenye upande wa afya, siyo tu kwa mtu mmoja mmoja, bali kwa mfumo mzima wa afya. Kwa sababu uwezo wa mfumo huu ni mdogo ukilinganisha na uhitaji...
Tamko la Kiongozi wa Chama cha ACT Wazalendo Juu ya Ugonjwa wa Corona
Ndugu Watanzania
A: Utangulizi
Dunia imekumbwa na ugonjwa wa Covid - 19 (maarufu zaidi kama Corona). Nchi yetu kama sehemu ya dunia haijasalimika na kadhia hii. Machi 2, 2020 wakati nikitoa hotuba yangu kwenye kikao cha...
Kutokana na mlipuko wa virusi vya Corona unaoendelea, moja ya njia kuu za kuzuia maambukizi ni watu kujitenga. Hivyo mataifa mbalimbali yanawataka watu wake kukaa nyumbani wakati huu wa mlipuko, ili kuepuka kuambikiwa au kuwaambukiza wengine.
Kwa kuwa watu wengi wanakaa majumbani, kazi inabidi...
Hali ya maambukizi ya Covid19 duniani hadi kufikia 16/03/2020
Kenya wamethibitisha uwepo wa watu 3 wenye Covid19 na tayari leo Rais Kenyatta katangaza kufungwa kwa shule na taasisi zote za elimu nchini kuanzia kesho.
Pia amefunga mipaka yake kwa raia wa nchi yoyote ambayo imeshatangaza kuwa na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.