Kipindupindu kimeua watu 620 nchini Malawi tangu kuanza kwa mlipuko huo mapema mwaka 2021, Waziri wa Afya Khumbize Chiponda ametangaza.
Hadi kufikia Januari 2, 2023, visa 18,222 vya ugonjwa wa kipindupindu vilithibitishwa, huku nchi ikirekodi watu 16,780 waliopona na 822 bado wako kwenye vituo...