Tamko la Kiongozi wa Chama cha ACT Wazalendo Juu ya Ugonjwa wa Corona
Ndugu Watanzania
A: Utangulizi
Dunia imekumbwa na ugonjwa wa Covid - 19 (maarufu zaidi kama Corona). Nchi yetu kama sehemu ya dunia haijasalimika na kadhia hii. Machi 2, 2020 wakati nikitoa hotuba yangu kwenye kikao cha...