Mlolongo is a township in Machakos County, Kenya. Its population was estimated at 136,000 people in 2019. It is a satellite city near Nairobi along the Nairobi Expressway and part of the Nairobi metropolitan area.
Wamiliki wa ardhi katika eneo la Mlolongo wameibua madai mazito kuhusu genge linalodaiwa kuwalazimisha kulipa hadi shilingi 250,000 kwa kile kinachoelezwa kuwa malipo ya usalama na huduma nyingine, huku wanaokataa wakidaiwa kukabiliwa na mashambulizi.
Kwa mujibu wa taarifa ya Citizen TV, baadhi...
Kesi ya mauaji ya Dr Victoria Mutiso imeingia katika sintofahamu mpya baada ya Timu ya Mawakili waliokuwa wakiwakilisha Rose Mbithe Mulwa na watoto wake wawili, Chris na Angela Mulwa, kujiondoa ghafla mbele ya Mahakama Kuu ya Milimani.
Mawakili hao, akiwemo Cliff Ombeta, Danstan Omari, Martina...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.