Ndoa ni majaaliwa, na kikubwa zaidi ni kujiandaa tangu ukiwa msichana kuwa mke wa fulani.
Kipindi cha usichana ni kipindi cha kuonesha tabia njema sana kama kweli unataka kuwa mke wa mtu.
Sio kwenye mapombe umo, kwenye madisko umo, kwenye ma Beach party umo, kwenye kuchoropoa mimba na kudanga...