Mimi si mpenzi wa MMU na huwa naingia huku kwa nadra sana.
Lakini kila jukwaa unapata yanayohusika nayo, na ni bora basi niwaeleze mkasa wangu ili wajuvi jukwaa hili mnisaidie.
Iko hivi, mimi nina mchepuko, ni mtoto mzuri sana na ninaye siku nyingi.
Nikimwomba aje niko safari Dodoma, Arusha...