mnada

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. V

    Naomba kujua ratiba za masoko ya mnada

    Habari mimi ni mfanyabiashara mdogo wa nguo za mtumba hapa Dar es Salaam nilikuwa nataka kuongeza wigo wa wateja kwenda minadani kuuza biashara. Nilikuwa naomba kujua ratiba mbalimbali za minada kwa hapa Dar na utaratibu wa kuuza biashara mnadani Msaada wenu tafadhali napatikana Mtongani
  2. Ubalozi wa Marekani kufanya mnada wa kuuza vitu nchini

    Ubalozi wa Marekani Dar es Salaam unapenda kutangaza kuwa itauza mali mbalimbali katika mnada utakaofanyika tarehe 10 Februari 2024, kuanzia saa 3 asubuhi. Mnada huu utaendeshwa na kufanyika UNIVERSAL AUCTION CENTRE, iliyoko karibu na Golden Resort, Lion Street, Sinza, Dar es Salaam (Angalia...
  3. Mnada wa kuuza wake utawala wa Victorian nchini Uingereza

    Wasaalamu wakuu? Najua unajiuliza ni kivipi nchini uingereza kuwe na mnada wa kuuza Mke?! Linawezekana vipi? Tulia Leo nikupe historia hii. Katika utawala wa Victorian malkia, nchini uingereza walikuwa wanafanya vitu kwa njia ya ajabu na ya moja kwa moja. Kabla ya talaka kuwa kisheria, njia...
  4. Kombe la Mapinduzi ni mnada wa wachezaji wa Zanzibar

    Wazanzibar wana akili nyingi sana kuliko wale wenzao wa kuleee. Baada ya kuua ligi ya muungano baadae wakagundua kuwa walikosea. Ligi ya muungano ilikuwa sehemu ya wazi ya kuviona vipaji kutoka Zanzibar na kuvisajili kwenye timu za bara (ajira). Baada ya walevi na ulevi wao wa kuuchukia...
  5. L

    House4Sale Nyumba inauzwa 10.5m na benki kwa njia ya mnada

    Habari JamiiForums members. Nyumba inauzwa na benki kwa njia ya mnada. -- Nyumba ipo Mbezi, Msingwa --Nyumba ina kiwanja chenye ukubwa wa 520sq/m-- Nyumba ina vyumba vitatu, kimoja master, seating na dyning room -- Nyumba ina hati ya ardhi-- BEI NI (10m + 5% commission ya brokers)...
  6. Mnada wa tovuti za Ecommerce

    Je wewe unatamani kumiliki duka la Mtandaoni?Je tayari unayo fremu ya duka?Je Tayari unazo kurasa za mitandao ya kijamii?Kama Jibu ni Ndio basi huu ni wakati wako. Mnada maalum wa tovuti za E commerce kwa vigezo na mashari yafuatayo: Uwe unauza bidhaa za aina moja mfano kama ni nguo ni nguo...
  7. V

    Kiteto: Wakulima mji wa Kibaya wagomea bei ndogo ya mnada zao la mbaazi

    Mnada huo ambao ulitarajiwa kufanyika toka Jumanne, uliahirishwa mara mbili na hatimaye kufanyika Alhamisi 14/09. Wakulima zao la Mbaazi, walishangazwa na bei ya mnada kuwa chini kuliko matarajio. Kwa masikitiko makubwa walitangaziwa Bei ya Tshs 2190/ Ukiniunganisha na Bei ya Mbaazi Kwa soko...
  8. Dodoma: Ikulu imejengwa juu ya Madini aina tofauti 28. Je, Tuipige mnada au tumpe Mwekezaji?

    Salaam Wakuu, Imegundulika Ikulu ya Tanzania iliyozinduliwa hivi karibuni iyopo Chamwino Jijini Dodoma, imejegwa Juu ya Madini tofauti 28 ikiwemo dhahabu Sio Ikulu ya Chamwino tu, bali Dodoma yote na Wilaya zake zina Madini tofauti. Huko tuendako, Tujiandae Bunge kuhamishwa na kupewa...
  9. Mnada wa Jezi Tano za Simba Sport Club umefanyika. Jezi ya Rais Samia yauzwa milioni 10

    Jezi ya Rais wa Heshima wa klabu, Mohamed Dewji 'Mo' imeuzwa Sh. 2,000,000 na Duka la Vifaa la Michezo la Romario Sports katika mnada unaoendelea katika Ofisi za Azam TV ikiwa ni ahadi tuliyoitoa kabla ya kupelewa kilele cha Mlima Kilimanjaro Julai 21, 2023. Jezi ya Rais wa Zanzibar na...
  10. Mnada wa Benki baada ya kuuzwa mali yako unaweza kubatilishwa kwa mambo mawili makuu

    Kushindwa kulipa deni hakuhalalishi ukiukaji wa haki za msingi za mkopaji. Mkopaji pamoja na kuwa ameshindwa kulipa deni kwasababu zozote zile bado analindwa na sheria katika haki alizonazo. Kuanzia kushindwa kufanya marejesho mpaka kuuza mali ya mdeni kwa nnada kuna taratibu za kisheiria...
  11. LATRA kuanza kupiga Mnada Bajaj korofi Arusha

    “Kama mnavyojua awali waliokuwa wanatoa leseni za usafirishaji ni halmashauri ya Jiji la Arusha, lakini tangu mwaka jana tulikaa na tukaamua tufunge usajili baada ya kuonekana zimekuwa nyingi, lakini nashagaa pamoja na kufunga, bado kuna baadhi ya wafanyabiashara wameendelea kuzinunua na...
  12. Uwepo wa UAE kwenye Mbuga, Bandari, Misitu, Tanesco: Nini kingine hatukijui?

    Tatizo sio Kuwakaribisha wawekezaji bali ni aina ya mikataba, mfano hii mikataba ya waarabu kama wa bandari hauvunjiki hadi wao watake uvunjike ndio maana unaitwa wa milele. 1. BANDARI - Na sasa kuna mkataba huu wa bandari ambao ndio unazungumziwa zaidi sababu kipengere cha kuuvunja ni mpaka...
  13. Bagamoyo: 52% ya bidhaa zinazokaribia kupigwa mnada na TRA, hazina mwenyewe

    Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) imetangaza kupiga mnada bidhaa mbalimbali ambazo zitaendelea kukaa katika vituo vya forodha kwa siku 30 baada ya tangazo lao. Kwenye tangazo hilo wameambatanisha excel sheet yenye orodha ya bidhaa, wamiliki na mahali zilipo. Bidhaa hizo ni za sehemu mbalimbali...
  14. Kulikoni Mali za KKKT -DKMS kupigwa Mnada?

    This is very serious! Juzi walitangaza kupiga Mnada shule ya Secondary Lwandai, hii ni shule yenye historia kubwa saaana, ni shule ambayo wakongwe wazee wetu walisoma miaka hio ya Ukoloni. Leo nimeona Tena Tangazo, Tarehe 16 June 2023 watapiga Mnada Chuo, hiki chuo kinahistoria, hii kabla ya...
  15. N

    Dar es Salaam: Nyumba yapigwa mnada kwa kushindwa kulipa milioni 7

    Dar es Salaam. Familia ya Festo Aaron, inayoishi Kimara Bonyokwa iko njia panda baada ya kukosa makazi kutokana na nyumba yao kupigwa mnada na taasisi ya Uwezo Financial Service kwa kushindwa kurejesha deni la Sh7 milioni. Mwaka 2020 familia hiyo yenye watoto watano ilikopa Sh6 milioni katika...
  16. Usikose mnada huu kutoka Ubalozi wa Marekani

    Ubalozi wa Marekani utauza kwa njia ya mnada wa kimtandao (online auction) vifaa mbalimbali vikiwemo samani, vifaa vya nyumbani, vifaa vya kielektroniki na magari ya serikali: Mnada utafunguliwa ili kuona vitu vinavyouzwa siku ya Jumatatu tarehe 1 Mei kuanzia saa 00:00, na kufungwa siku ya...
  17. Mahakama yaamuru Mali za Maxcom Afrika zipigwe mnada

    Kwa wanaokumbuka kabla ya 2015 hivi. Hii kampuni ilitamba sana bongo na kuwezesha malipo ya Serikali, wakuitwa MaxMalipo... Story yao kwa sasa inasikitisha kidogo, baada ya bank ya Stanbic kuiburuza mahakamani wakidai walipwe malimbikizo ya deni la Bil 12. Mahakamani walijitetea kwamba baada...
  18. N

    Kukosa bima ya chombo cha moto kwasababisha nyumba zipigwe mnada kulipa majeruhi

    Kuna jamaa kule maeneo ya Ununio nasikia ni mgambo pale Kunduchi Pwani, mwaka 2020 aliwagonga watu wawili na gari lake akawajeruhi vibaya, na gari haikuwa na bima. Juzi Mahakama imetoa amri, zimepigwa mnada nyumba zake tatu ili kuwapa wahanga fidia ya milion 105, nyumba tatu zishauzwa...
  19. Tunauza mbuzi na kondoo wa nyama na kufuga

    KARIBU, Tunauza Mbuzi na Kondoo kwa bei nafuu kwa ajili ya nyama na kufuga tunazo aina za mabeberu wenye uwezo wa kuzalisha Mapacha. Tuko Dar tupige au whatapp no 0713318671. Furahia Maisha.
  20. L

    Sothbys kufanya mnada wa almasi yenye karati mia 3 ambayo inakadiriwa kuwa na thamani ya dola milioni 15 za kimarekani

    Sothbys kufanya mnada wa almasi yenye karati mia 3 ambayo inakadiriwa kuwa na thamani ya dola milioni 15 za kimarekani.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…