mnyika

John John Mnyika is a Tanzanian CHADEMA politician and Member of Parliament for Ubungo constituency since 2010.

View More On Wikipedia.org
  1. S

    Uchaguzi 2020 Katibu Mkuu wa CHADEMA, John Mnyika akanusha taarifa ya kuahirishwa kwa kampeni za mgombea Urais wa CHADEMA

    Katibu Mkuu wa CHADEMA, John Mnyika, kupitia mtandao wa twitter,ametaka watu kupuuza tangazo linalodaiwa kutolewa na chama chake, tangazo linaodai kuwa kampeni za Mgombe Urais wa CHADEMA zimeahirishwa. Mnyika amesema tangazo hilo ni fake na kutaka lipuuzwe.
  2. Uchaguzi 2020 John Mnyika: Tutawaandikia NEC wachukue hatua dhidi ya mgombea Urais wa CCM kwa kukiuka maadili ya uchaguzi

    Hivi ndivyo inavyotakiwa kufanya. Ukiwa proactive unamwondoa "adui" yako kwenye reli kirahisi kwani ni vigumu kwake ku predict chochote kwako.... unamuweka kwenye defensive mode na hawezi ku focus tena. Ni kama Tundu Lissu alivyofanya wakati ule alipowasilisha pingamizi lake NEC dhidi ya...
  3. M

    Uchaguzi 2020 Mnyika: Tume ya Taifa ya Uchaguzi inashiriki mchezo wa kuvuruga Uchaguzi

    Katibu Mkuu wa CHADEMA leo tarehe 14, aneongea na waandishi wa habari na kuwajulisha kuhusu hali ya kuenguliwa kwa wagombea wao kwenye kinyang'anyiro cha Ubunge na Udiwani. Mnyika amesema kuwa kwa mujibu wa vyanzo mbalimbali ambavyo Chadema inavyo ndani ya tume, mchezo ambao tume inafanya ni wa...
  4. A

    John John Mnyika mmea uliokosa Ardhi yenye rutuba

    Wanajamvi, Tunao wanasiasa ambao ukiwaangalia unaona kitu ndani yao. Binafsi, namuona John Mnyika Kama mwanasiasa wa upinzani asie na mawaa. I stand to be corrected. Hatahivyo, Mnyika kwasasa hayuko sehemu sahihi. Pamoja na kuwa Katibu Mkuu wa CHADEMA bado kwa jicho la ndani namuona John akiwa...
  5. Uchaguzi 2020 Amini nawaambia, ni heri Lissu na Mnyika wawe Bungeni. Wakibaki nje ya Bunge wataisambaratisha CCM!

    Scenario 1: Lissu ameshinda Urais wa Tanzania. Anaunda Serikali. CCM ina wingi wa Wabunge. Inatoa Waziri Mkuu na Mawaziri wengi. Serikali ya Lissu itapelekeshwa na chama chetu tutakavyo na kukistawisha chama kuelekea 2025. CCM itashinda kwa kishindo mwaka 2025. Scenario 2: Lissu hashindi...
  6. K

    Uchaguzi 2020 Ombi mahsusi kwa uongozi wa CHADEMA Media juu ya hotuba za Tundu Lissu

    Please uongozi wa CHADEMA Media fanyeni hima hotuba zote za Lissu kila anakofanya mkutano zitengenewe clips za peke yake kuwezesha wadau mbali mbali kuweza kufuatilia kwa mtiririko hotuba hizo. Pia itarahisisha kuzisambaza kwa umma kupitia ma group ya WhatsApp na mitandao mingine! Vipande...
  7. B

    Katibu Mkuu wa CHADEMA, John Mnyika ni mtu wa kufikirisha

    Watu wanaacha umeneja, ukuu wa mkoa, ukatibu Mkuu Wizara, wamiliki wa makapuni, mtu Yuko radhi amtoe mtu kafara au achalaze mwenzie viboko ilimradi aende bungeni kwenye mahela ya kujichotea, kujizolea yani Tanzania hii sijawahi kusikia kijana umri wa mnyika anasema napunzika kugombea Ubunge ni...
  8. Kongamano la BAVICHA kuilipua Mwanza, Mnyika kuhutubia

    Ratiba ya Nchi inaonyesha kwamba Mwanza kuna kongamano la BAVICHA Jumapili hii na litahutubiwa na Katibu Mkuu wa chama Mhe. John Mnyika Ewe kijana wa Mwanza hutakiwi kukosa kongamano hili hasa ikizingatiwa kwamba , Bavicha ndio Taasisi bora kabisa ya vijana kwa sasa barani Africa , njoo...
  9. Uchaguzi 2020 Tundu Lissu kuchukua fomu ya kuwania Urais wa JMT tarehe 8 Agosti jijini Dodoma

    Katibu Mkuu CHADEMA, John Mnyika amesema kuwa Tarehe 08 Agosti, saa tano kamili asubuhi mgombea Urais kwa tiketi ya CHADEMA, atakwenda kuchukua fomu DODOMA.
  10. Uchaguzi 2020 John John Mnyika kutogombea ubunge mwaka huu 2020

    Habari kutoka ndani ya chama jimbo la Kibamba zinasema mbunge wa sasa wa Kibamba Mheshimiwa John John Mnyika ambaye pia ni Katibu Mkuu wa CHADEMA mpaka muda wa kuchukua fomu unaisha alikuwa hajachukua fomu ya kutetea kiti hicho. Kama hizi habari ni za kweli je ni nini sababu? Ametosheka au...
  11. J

    John John Mnyika kwanini hajashiriki mkutano mkuu wa chama Tawala yaani CCM?

    Najua mwenyekiti Mbowe bado ni mgonjwa na makamu wake Tundu Lisu yuko nje ya nch lakini Katibu mkuu Mnyika yupo pale jimboni Kibamba. Ninachojiuliza kwanini Mnyika hakuhudhuria mkutano mkuu wa CCM ilhali vyama vyote vya siasa vilipewa mwaliko? Maendeleo hayana vyama
  12. J

    Mnyika: Tumenunua jengo lingine mtaa wa Ufipa ambapo zitakuwepo ofisi za Mabaraza yote

    Katibu mkuu wa Chadema mh Mnyika amesema jengo la makao makuu lenye ofisi za Mwenyekiti, Katibu mkuu na watendaji wengine ni mali ya chama. Kadhalika Mnyika ametanabaisha kuwa Chadema imenunua jengo lingine kubwa mtaa huo huo wa Ufipa ambamo kuna ofisi za mabaraza yote. Nachukulia huo kama...
  13. Chadema lazima tuchukue nchi endapo Mnyika atatuongoza vizuri

    Mnyika naomba usikubali watu walioshindwa kuitoa CCM madarakani kuanzia mwaka , 1995 kutuingilia katika mipango yetu yakuifuta CCM. Mh, Mbowe tunaomba ukae pembeni, Bila kumsahau, Lipumba na Zitto kabwe na Maalimu Seif. Tanzania Rais ni Taasisi inayochaguliwa na mfumo Wananchi niwawakilishi tu...
  14. Kuvamiwa kwa Mbowe: CHADEMA yacharuka, Mnyika amvaa IGP amuonya kuhusu uongo unaotengenezwa na Jeshi la Polisi

    Katibu Mkuu wa Chadema Mh John Mnyika leo ametoa kauli kali ambayo ndio kauli halali ya Chama chake kuhusiana na Propaganda za kishamba zinazosambazwa na Jeshi la Polisi zikiongozwa na IGP Sirro mwenyewe kuhusiana na shambulizi alilofanyiwa Mh Mbowe na Watu waliotumwa kumdhuru . Hakuna...
  15. J

    Katibu Mkuu wa CHADEMA, John Mnyika ahojiwa TAKUKURU

    Katibu mkuu wa Chadema mh John Mnyika leo amehojiwa na Takukuru kuhusiana na swala la makato ya fedha za wabunge wanaowakilisha wananchi kupitia chama hicho. Source ITV habari Maendeleo hayana vyama!
  16. S

    John Mnyika amuumbua Spika kwa kutoa ushahidi wa Ofisi ya Spika kupokea barua ya CHADEMA kuwavua ubunge wanachama wake

    Spika Ndugai amesema uongo muda mchache uliopita haikuandika barua kwake kumtaarifu juu ya kuwafukuza uanachama wabunge waliofanya utovu wa nidhamu na kukiuka maadili ya chama. Huu ni ushahidi walipokea toka 14 Mei 2020 Chanzo:John Mnyika on twitter. Zaidi soma: Naibu Spika Dkt. Tulia: Jesca...
  17. John Mnyika, Sio rahisi CHADEMA kuendelea kuwa chama kikuu cha upinzani na kinachochochea maendeleo bila kuzingatia haya

    Huu ni waraka wazi kwa John Mnyika Kama katibu mkuu mpya wa CHADEMA, Katika mazingira yaliyopo kunakitu Chadema kimekosa na kinaitaji marekebisho kadhaa ili kwa uwazi kionekane ni chama Cha kuwasemea watu na sio kukosoa tu na hivyo kuonekana ni chama adui kwa jicho la usalama na ustawi wa nchi...
  18. Mnyika: Rasmu ya uchaguzi iliyotolewa na vyama kulazimishwa kusaini haifai

    Akiongea na CHADEMA TV katibu mkuu wa chadema amekosoa vikali rasmu mpya ya uchaguzi iliyotolea kwa kuwa na mapungufu mengi ambayo hutakiwi kuyahoji bali tulitakiwa kusaini tu, na usiposaini hatutaruhusiwa kushiriki uchaguzi mkuu msikilize
  19. Hongera Katibu Mkuu wa CHADEMA kwa kuistukia Tume ya Uchaguzi (NEC)

    Leo hii NEC iliandaa kikao maalum na wawakilishi wa vyama vyote vya siasa ili kujadili na kupokea baadhi ya marekebisho ya sheria mbali mbali. Ktk kutekeleza hayo NEC walikwisha andaa documents tayari kwa kila mwakilishi wa chama azisome na kuzisaini hapo hapo. Mnyika akastukia mchezo wao kwani...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…