mo dewji

  1. demigod

    Kuna Watu Wanamuibia MO au MO Anadanganya?

    Mo anasema kuwa mwaka jana katika dirisha kubwa la Usajili alitoa kiasi cha bilion 1.5 ili kisaidie kufanya usajili wa wachezaji wapya. Kwenye usajili wa Simba, hivi kwa kutazama wachezaji waliosajiliwa mwaka jana wanafika bilion 1.5 kweli..? Au Mo anapigwa.
  2. Izy_Name

    Haji Manara: Sijawahi kumtukana MO

    "Huko nyuma nilipojiunga na Champions, hawa wafanya interview za kujitafutia Rizki ya kula,waliandika hilo ndio anguko la Haji, haikuwa kwa Uwezo wa Allah. Nilipofungiwa waliandaa hadi Party Kwamba nimekwisha, Mungu yule yule akakataa. Brand iliyoojengwa kisawa sawa haifi kwa maneno ya...
  3. OKW BOBAN SUNZU

    Mo Dewji ateua wajumbe wapya Bodi ya Simba SC

    Taarifa ya Rais wa Heshima wa Simba Mwekezaji Mo Dewji Nimeteua wajumbe wanne wapya kwenye Bodi ya Simba Sports Club. Karibu Dk. Raphael Chegeni, Mhe Rashid Shangazi, Bwana Hamza Johari na Bwana Zulfikar Chandoo. Wanachama hawa wataleta uzoefu mkubwa ambao utasaidia katika kutimiza lengo la...
  4. Kilimbatzz

    Mohammed Dewji: Jana tumefungwa Magoli, leo tumefungwa Midomo

    Siyo maneno yangu, ni ya big boss MO. Kesho kutwa Mo na Azam kama TFF haitawaonea huruma na kuhairisha mechi kwa kichaka kuwa mnashiriki kimataifa.
  5. F

    Kati ya Marehemu Mengi na MO Dewji nani bingwa wa kusaka hela?

    Kwangu mimi Mengi alikuwa na akili ya kutafuta hela kuliko MO. Sababu zangu ni hizi:- 1. Mengi alitafuta mtaji kwa jasho lake. MO alizaliwa 1975 akakuta mtaji kwenye akaunti. 2. Mengi ni hustler aliyeanza kuuza karanga, kalamu na sare za shule. MO alikuta mali tayari zipo. 3. Mengi alikuwa...
  6. Pascal Mayalla

    Mo Dewji Aipaisha Tanzania Kimataifa on CNN "Unfortunately We Don't Have The Right Framework & Policies to Deal With Large Investment in Agricalture!"

    Wanabodi, Mo Dewji if not yet, then probably is going to be the richest man in Tanzania!. Has 150 products, he is going to knock down Coca Cola and Pepsi Cola!, ametupaisha kimataifa, ila pia ametubagaza kuwa "we have got tons of arable land that can feed Africa, but he is surprised why are...
  7. BARD AI

    Forbes Africa: MO Dewji ndiye tajiri namba 1 Afrika Mashariki na Kati

    Ripoti ya utafiti iliyotolewa na Forbes Januari 30, 2023, Mo Dewji alikuwa nafasi ya 15 hapo awali, amepanda kwa nafasi mbili kutokana na utajiri wake unaokadiriwa kufikia Dola 1.5 bilioni (Sh 3.5 trilioni). Mwekezaji wa Klabu ya Simba, Mohammed Dewji 'MO Dewji amepanda kwa nafasi mbili katika...
  8. GENTAMYCINE

    Yanga SC na GSM Wanasajili, Simba SC na Mo Dewji wanafanya Mzaha

    Kama kumbe kigezo cha kusajili Mchezaji siku hizi ni kwanza ajue kupiga kanzu, nawaombeni mje mnisajili na mimi GENTAMYCINE kwani pamoja na huu uzee (ukongwe) wangu wa miaka 60 sasa huku mitaani katika ligi zetu huwa napiga mno mikanzu kuliko hata Sewakubwa wenu. Halafu tukisema kuwa Yanga SC...
  9. Mganguzi

    Mo Dewji akamatwe mara moja kwa udanganyifu na arudishe hisa zote bila kupewa chochote

    Ati anataka kuuza hisa zake zipi? Kama ni kweli akamatwe na ahojiwe Kwa kutupotezea muda wetu, hizo hisa alinunua lini na pesa alimpa nani? Na kama pesa ipo inafanya kazi Gani? Ifike muda tuwakatae wahuni wanaokuja kuharibu Mpira wetu na vilabu vyetu!
  10. John Haramba

    Simba kuna shida kubwa zaidi ya hiki kinachoonekana nje, mambo yanaenda kishkaji-shkaji

    Miezi kadhaa iliyopita mwekezaji wa Simba, Mo Dewji alitangaza kujiweka pembeni kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya klabu hiyo, kisha ‘kishkaji’ akamkabidhi nafasi hiyo Try Again, baada ya hapo Mo akapotea, akawa anaonekana kwenye matukio machache ya klabu, ni kama aliamua 'kukata waya' na kuendelea na...
  11. GENTAMYCINE

    Mo Dewji ulikosea sana 'Kumsifu' vile hadharani Kocha Mgunda

    Mwekezaji wa Simba SC Mo Dewji usichokijua pamoja na utajiri wako ni kuwa 90% ya Wajumbe wa Bodi ya Simba SC ni wapigaji watupu na wengi wao ni wasaliti kutokana na kutumika kwao kutoka upande wa pili. Mo Dewji baada ya wewe kumsifia mno vile Kocha Mgunda na kuahidi kuwa ungekutana naye Ili...
  12. Allen Kilewella

    Ukweli kuhusu uwekezaji wa Mo Dewji Simba ndiyo huu

    Kwanza suala la uwekezaji na umiliki wa hisa ni suala la kitaalamu na lina misingi yake, Simba hawaifuati. Mkutano Mkuu wa Simba uliridhia Mo kupewa 49% ya hisa za Simba. Ukototozi wa thamani ya klabu umefanyika? Bado. Wanachama wa Simba wanamiliki 51% ya hisa za Simba, kwani simba thamani yake...
  13. Stuxnet

    Mo Dewji ataje waliomteka na makubaliano waliyofikia kabla hawajamuachia

    Ni miaka 4 sasa toka MoDewji alipoachiliwa baada ya kutekwa kwa siku kadhaa na WATU WASIOJULIKANA. Ule utawala wa Shetani wa Chato haupo tena, MoDewji ni wakati mwafaka sasa akafunguka yote namna alivyotekwa, watekaji wake na makubaliano yaliyopelekea yeye kuachiwa na kutupwa pale Gymkhana.
  14. Zainab j

    Mo dewji na Barbara

    Washabiki wa Simba na yanga tuna matatizo kweli, haswa hawa mamluki kama GENTAMYCINE kwa upande wetu simba, sasaivi Simba imefanya vizuri kuvuka hatua ya makundi kimataifa. Cha ajabu Hawa mashabiki maandazi ambao kutwa walikuwa wanamtukana Mo dewji, na yule CEO Barbar , sasaivi wanaisifia...
  15. OKW BOBAN SUNZU

    Mo Dewji: Nitakutana na Kocha Mgunda, nimsikilize

  16. Ibrahimeliza

    Biashara ni wazo.

    Biashara bwana, najua kuna watu wanatamani mafanikio ya bakhresa au Mo au GSM au mafanikio ya tajiri yoyote yule, Husitamani mafanikio ya bakhresa, mo, gsm au yoyote aliyefanikiwa. Unajua chakutamani ni nini....?? Binafsi natamani ningekuwa na ujuzi kama MO, natamani ningekuwa na uzoefu katika...
  17. GENTAMYCINE

    Sasa Mo Dewji kama unapenda 'Kupromoti' Ndondi kwanini usingeanza kwa 'Kuwapiganisha' Okra Magic na Dejan Mzungu?

    Ila siyo Siri Mo Dewji kwa sasa wala nisikufiche unazingua na unatuzingua sana tu wana Simba SC hasa kupitia hicho Kifidodido chako CEO Barbara Gonzalez. Hivi Wewe Mo Dewji kama kweli Mzigo wa 20 Billion upo na uliuweka Simba SC ndiyo tushindwe kweli kutoa Tsh Milioni 800 kwa Victor Adebayor...
  18. GENTAMYCINE

    Mwekezaji Mo Dewji please Say something hali si Shwari ndani ya Simba SC kama tunavyolazimishwa Kuamini

    Nimedokezwa na Mtu wa Ndani ambaye pia ni 'Credible Source' wangu kuwa hili la Dejan Mzungu ni cha Mtoto, ila kuna Fukuto Kubwa ndani kwa ndani ila linazimwa kwa Nguvu ya Soda tu. Nawaona taratibu sana Yanga SC wanaanza Kutoka katika Upuuzi uliopo na unaoendelea Kukomaa ndani ya Klabu yangu...
  19. Black Butterfly

    DOKEZO Bila Rushwa ya 50,000 au 100,000 kwa Viongozi wa viwanda vya Mo Dewji hupati kazi

    Ndugu zangu, Kuna mambo ya ajabu yanafanyika kwenye ajira za vibarua katika viwanda vya METL chini ya MO DEWJI. Kuna wanaojiita supervisors wa viwanda na wahusika wa kuajiri wafanyakazi na vibarua wamekuwa na utaratibu kuchukua rushwa ya Tsh. 50,000 hadi 100,000 kwa kila anayetaka kazi. Kuna...
  20. Singo Batan

    Matajiri watatu wanavyonogesha Ligi yetu ya NBC

    Ligi yetu ya NBC sasa inaonesha kuwa na ushindani mkubwa na malengo ya kufika mbali. Hii inachagizwa sana na jeuri na nguvu ya pesa kutoka kwa matajiri wetu wa Bongo. Battle ya fedha sasa inaonekana kwenye soka, hii sio tu inaleta raha na ushabiki kindaki ndaki katika soka, pia imezidi kufungua...
Back
Top Bottom