Diwani wa Kata ya Likombe iliyopo Wilaya ya Mtwara, Mohamed Rashid Musa amefariki dunia leo Alhamisi Septemba 9 saa mbili asubuhi.
Katibu wa CCM Wilaya ya Mtwara, Eliud Shemauya ameiambia Mwananchi kuwa diwani huko amefariki katika Hospitali ya Mkoa ya Ligula alipofikishwa jana Septemba 8, 2021...