Mohamed Abdullahi Mohamed (born 12 March 1962), also known as Farmajo, is a Somali politician and diplomat who has served as the 9th and current President of Somalia since 16 February 2017. At the time of his election he
had dual Somali and U.S. citizenship, but he renounced his U.S. citizenship during his term in office with no explanation as to why. He was previously a Prime Minister of Somalia from November 2010 until June 2011 and is the founder and Chairman of the Tayo Political Party. He became the President of Somalia after winning in the 2017 Somali presidential election with 195 votes out of a total of 330 by members of the Somali Parliament after defeating former president Hassan Sheikh Mohamud.
Mchakato wa Uchaguzi katika Ngazi ya Taifa ukipamba moto ndani ya Jumuia ya Vijana ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) ukipamba moto, Kijana Mahili na Mchapakazi Mohamed Ali (KAWAIDA) akionyesha kuwakimbiza kwa mbali sana Wagombea wenzaki katika Mchakato huu wa Uchaguzi ndani ya Taifa mara tu wajumbe...
Kama tusingeandika historia yetu waliokuwa hawapo hiki kizazi kipya kisingeijua historia ya Sheikh Hassan Kinyozi.
Tungemzika Sheikh Hassan Kinyozi kama tunavyowazika masheikh wetu.
Tusingeliweka jeneza la mwalimu wetu mabegani na vifua mbele tukijua kuwa tunamzika shujaa aliyepigania uhuru wa...
Jioni hii imenifikia taarifa kutoka Lindi kuwa Hassan Mohamed Said Kinyozi mmoja katika vijana waliowasha moto wa kupigania uhuru wa Tanganyika Southern Province, yaani Jimbo la Kusini amefariki dunia akiwa na umri wa kiasi cha miaka 90.
Nakumbuka kama jana siku nilipofika Lindi kwa basi dogo...
HATIMAE FAMILIA YA MAMA AMINA MOHAMED MUGHENYI YAPOKEA HUNDI YA FIDIA SHANTA
Familia ya Mama amina mohamed mghenyi wa kitongoji cha taru kijiji cha Mang'onyi kata Mang'onyi jimbo la singida mashariki wamefikia muafa na ofisi ya Mkuu wa wilaya kwa kuridhia kupokea hundi ya fedha ikiwa ni fidia...
Profesa wa Sayansi ya Siasa wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, Mohamed Bakari amekitahadharisha Chama Cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA kuwa makini na kikosi kazi, kwani kinaweza kuwa njia ya kuchelewesha maridhiano.
“CHADEMA wako sahihi kususia kikosi kazi kwa sababu hakina uhalali wa kisheria...
ZUMARI TV AZAM: KIPINDI MAALUM CHA MALKIA ELIZABETH (1926 - 2022) JAFFAR MPONDA NA MOHAMED SAID LEO USIKU SAA TATU
Picha ya kwanza Malkia Elizabeth 1953.
Picha ya Pili barua ya viongozi wa TAA kwenda kwa Malkia Elizabeth wakimpongeza kwa kuwatawazwa kuwa malkia 1953.
Mwandishi kulia akiwa nje...
KITABU CHA SHEIKH PONDA KATIKA MADUKA YA KUUZA VITABU
Kitabu cha Sheikh Ponda ''Juhudi na Changamoto Kinapatikana Ibn Hazm Media Centre katika maduka yao ya kuuza vitabu yaliyopo katika Misikiti ya Mtoro, Manyema (Kariakoo) na Mtambani (Kinondoni).
Kitabu In Shaa Allah kitapatikana mikoa yote...
Leo nimepokea picha kutoka Maktaba ya Picha ya Ally Sykes.
Nimeona niiweke picha hiyo hapa pamoja na ukurasa mmoja kutoka mswada ambao mimi na marehemu mzee wangu tuliukamilisha wakati akiwa hai.
A PAGE FROM: ''UNDER THE SHADOW OF BRITISH COLONIALISM'' ALLY SYKES AND MOHAMED SAID
Kwame Nkrumah...
JAMII FORUMS NA MAKALA ZA MOHAMED SAID:UKIPENDA KUSOMA HISTORIA YA TANGANYIKA/TANZANIA
''HISTORIA YA UHURU ISIMULIWAVYO NA MOHAMMED SAID YAKOSOLEWA''
Mjadala huo hapo juu katika Jamii Forums ulivunja rekodi kwa kuwa ulidumu kwa miezi sita mfulululizo na ulichangiwa na watu zaidi ya 900,000...
BI. HALIMA MZEE MTOTO WA BI. TITI MOHAMED YOTE KAYAONA KWA MACHO YAKE
Picha hiyo hapo chini ni tawi la TANU lililofunguliwa na Ali Msham nyumbani kwake Mtaa wa Jaribu Magomeni Mapipa mwaka wa 1954.
Ali Mshama katuachia hazina ya picha muhimu sana katika historia ya TANU.
Moja ya picha hizo ni...
Baraka Shamte ambaye ni mtoto wa Mohamed Shamte, aliyekuwa Waziri Mkuu wa Zanzibar kabla ya kupinduliwa
Huyu mtu nilikuwa simjui hadi nilipomuona kwenye video kuhusu sekeseke lake na CCM hivi majuzi
Kilichonisukuma kuanzisha uzi ni kuwa mbona huyu mtu ni Mwafrika wala hata sio chotara (mixed)...
Wadau,
Mimi ni msomaji sana wa historia za Sheikh wangu, Mohamed Said na nimekuwa na bahati ya kukutana naye pia nyumbani kwake Magomeni Mapipa, miaka miwili iliyopita. Kama kawaida yake, ukimchokoza na kifurushi cha jero, yeye anakuletea kifurushi cha 50k.
Hebu leo kwa faida ya wasomaji...
KALAMU YA ALHAJ ABDALLAH TAMBAZA
''Lakini Abdallah Laatasi, ambaye ni mjukuu wa Diwani Omar Laatasi, anakumbukwa zaidi katika mchango wake katika kufanikisha kupatikana uhuru wa nchi hii; kwani yeye na hayati mkewe Bi Chiku bint Said Kisusa (Mama Sakina); walikuwa mstari wa mbele kukijenga...
HAPO ZAMANI ZA KALE: HISTORIA YA MWALIMU THOMAS SAUDTZ PLANTAN NA CLEMENT MOHAMED MTAMILA
Ulikuwa ukiingia nyumbani kwa Mwalimu Thomas Plantan Mtaa wa Masasi kitu kimoja ambacho kitakushangaza ni "trophy," vichwa vya wanyama vilivyotundikwa katika ukumbi mzima wa nyumba yake.
Nyumba ya Thomas...
Mohamed Said ni mwanaharakati na mwandishi wa habari. Habari zake nyingi ni kumponda Nyerere namna alivyowatelekeza wazee waislamu wa kariakoo baada ya Uhuru akidai kuwa hao wazee ndio waliodai Uhuru wa Tanganyika akina Sykes.
Hata siku moja sijaona makala yake namna ambavyo JOHN OKELLO...
MTAA WA SHEIKH YUSUF BADI LINDI
Sheikh Yusuf Badi hakupenda kupigwa picha na hadi leo sijapata picha yake.
Sheikh Mohamed Yusuf Badi ni sheikh pekee katika masheikh waliopigania uhuru wa Tanganyika ambae amepewa mtaa.
Wanafunzi wake wawili Salum Mpunga na Yusuf Chembera ndiyo waasisi wa TANU...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.