mohamed

Mohamed Abdullahi Mohamed (born 12 March 1962), also known as Farmajo, is a Somali politician and diplomat who has served as the 9th and current President of Somalia since 16 February 2017. At the time of his election he
had dual Somali and U.S. citizenship, but he renounced his U.S. citizenship during his term in office with no explanation as to why. He was previously a Prime Minister of Somalia from November 2010 until June 2011 and is the founder and Chairman of the Tayo Political Party. He became the President of Somalia after winning in the 2017 Somali presidential election with 195 votes out of a total of 330 by members of the Somali Parliament after defeating former president Hassan Sheikh Mohamud.

View More On Wikipedia.org
  1. Sol de Mayo

    TANZIA Mohamed Raza afariki dunia. Ni mfanyabiashara, mwanasiasa na mdau mkubwa wa michezo Zanzibar

    Mfanyabiashara maarufu wa Zanzibar na Mwanasiasa ambaye aliwahi kuwa Mwakilishi Jimbo la Uzini Mkoa wa Kusini Unguja, Mohamed Raza amefariki leo hii wakati alipokuwa akipatiwa matibabu, Allah amrehemu ndugu yetu huyu, na amuingize katika pepo. Itakumbukwa May 09,2023 Rais wa Zanzibar na...
  2. Unai Emery

    Mohamed Hussein transfer update🔴

    MOHAMED HUSSEIN TRANSFER UPDATE🔴 - Mlinzi wa kushoto wa klabu ya Simba, MO Hussein anamaliza mkataba wake na Wekundu wa Msimbazi mwishoni mwa msimu huu na atakuwa Mchezaji huru (Free agent) ambapo klabu kadhaa zimeanza kutuma ofa. - Klabu za Afrika Kusini, Kaizer Chiefs, Royal AM na Orlando...
  3. mwarabu feki

    FT: Wydad Casablanca 1-0 (Penati 4-3) Simba S.C | CAF Champions League | Simba yaondolewa kwa mikwaju ya penati

    Wanathiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiimbaaaaaaa[emoji350][emoji350] Hayawi hayawi Sasa yamekuwa, Ile siku iliyosubiliwa Kwa hamu na waarabu wote hatimaye imefika.. Ni siku ya hukumu kwa mnyama Simba Ni siku ambayo taifa la Tanzania linaenda kupata aibu kwa kipigo kizito watakachoenda kushushiwa Simba na...
  4. Matteo Vargas

    Stars ilivunjika baada ya Mohamed Hussein, Mzamiru Yassin na Himid Mao kutoka

    Kipindi cha kwanza timu ilikuwa kwenye balance nzuri lakini baada ya kutoka Mzamiru Yassin na Himid Mao ndipo kocha wa Uganda Micho aliona gap na yeye kuingiza wachezaji wenye Mindset za kushambulia na kutumia mwanya huo kuimaliza Stars. Feisal hakutakiwa kucheza kabisa leo hakuwa na msaada...
  5. mugah di matheo

    Kapombe, Zimbwe JR waitwa Stars haraka kuiwahi Uganda

    Licha ya ushindi bado mapengo yao yalionekana Sasa aibu imewatoka wamewarudisha kundini fullbacks bora afrika nzima. ====== Taarifa hiyo imetolewa na Rais wa TFF, Wallace Karia wakati akizungumza na Waandishi wa Habari jijini Dar es Salaam alitoa taarifa iliyokuwa ikinahusu kuogezwa kwa...
  6. M

    Profesa Janabi kakimbilia Marekani?

    Msomi wetu Prof. Mohamed Janabi na bingwa wa magonjwa ya moyo pale JKCI na baadaye kupelekwa Muhimbili kimaguvu inasekana after being suffocated amekimbilia Marekani. Soma hapa: " Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi ya Kimataifa ya Magonjwa ya Moyo iliyoko nchini Marekani (Hope Cardiology Institute) -...
  7. CAPO DELGADO

    Mohamed Dewji acha kuwabebesha makocha lawama

    Ubahili wa Mwamedi Ndio chanzo Cha yote haya. Halafu MASHABIKI mbumbumbu wanamtupia KOCHA LAWAMA. Simba Ina wachezaji WATANO TU. Inonga, Chama, Saido, Manula, Kapombe na Shabalala . WACHEZAJI MIZIGO WENGI MNO. Kanute, Banda, Ottara, Okwa, Onyango Umri, Sawadogo, Baleke. WAZAWA. Nyoni, Boko...
  8. Four-Star General

    Huyu hapa beki kisiki wa kuzuia mipira ya juu na chini Mohamed Ouattara

    Hayo sio maneno yangu, ni maneno ya watu wa Simba walivyokuwa wakimpamba beki wao mpya. Najiuliza baki wa dizaini hii juzi alikuwa wapi?
  9. Analogia Malenga

    Mohamed Ali, alipowaadhibu waliokataa kumuita Mohamed Ali

    Bondia wa Marekani, Mohamed Ali alipitia majanga mengi sana kabla ya kuwa bondia anayeheshimika duniani kwa rekodi yake ya kuwa bondia bora wa muda wote. Alizaliwa Januari 17, 1942 Louisville, Kentucky, U.S na aliitwa Cassius Marcellus Clay Jr. Katika maisha yake alipata majanga mawili makubwa...
  10. Dan Zwangendaba

    Simba Msiharibu Kipaji cha Mohamed Mussa Mliyemsajili kutoka Malindi ya Zanzibar

    Bila shaka, kijana mdogo Mohamed Mussa ni hazina. Mchezaji huyo aliyesajiliwa na Simba katika dirisha dogo kutoka Malindi ya Zanzibar alikuwa kwenye kiwango bora sana katika Ligi ya Zanzibar na mashindano ya Mapinduzi. Binafsi huwezi kunishawishi kuwa Kibu Dennis ni bora kuliko Mohammed Mussa...
  11. utopolo og

    Simba SC yamsajili Mshambuliaji wa Malindi, Mohamed Mussa "Manzoki wa Zanzibar"

    Klabu ya Simba almaarufu Wekundu wa Msimbazi leo imetangaza kumsajili Mshambuliaji kutoka Malindi ya Zanzibar kwa mkataba wa miaka miwili. Mchezaji huyo anayefahamika Kwa jina la Mohamed Mussa au Manzoki wa Zanzibar ndio kinara wa mabao kwenye ligi ngumu huko visiwani Zanzibar na inasemekana...
  12. Mohamed Said

    Kipindi cha Mapinduzi ya Zanzibar Januari 12, 2023 na Mohamed Said, Radio One

    MOHAMED SAID RADIO ONE KIPINDI CHA MAPINDUZI YA ZANZIBAR 1964 KESHO 12 JANUARY ASUBUHI SAA MBILI Kichwa cha.habari kinajieleza. In Shaa Allah... Nasikia, ‘’Hodi, hodi, hodi.’’ Nafungua nawaona watu wa stesheni moja maarufu sana wako mlangoni pangu wananiambia wamekuja kunihoji kuhusu Mapinduzi...
  13. saidoo25

    Mzee Mohamed: Tuna kazi kubwa sana kumuandaa kijana atakayefanana na Magufuli

    MZEE Mohammed Juma, Mkazi wa Unguja Zanzibar amesema kama Taifa tuna kazi kubwa sana kumuandaa kijana atakayefanana na Hayati Dkt. John Pombe Magufuli na alikubali lolote limfike lakini Tanzania isonge mbele. “Tuna kazi kubwa sana ya kumuandaa kijana atakayefanana na Magufuli, tuna kazi kubwa...
  14. TODAYS

    Merry Christmas from Mohamed Salah. Je, anapima upepo? Waislam wamshangaa!

    Jamaa ame_tweet hii picha sasa hizo comments kutoka kwa jamii ya kiislam wamegoma kumuelewa jamaa wakidhani anataka kuokoka!.
  15. Mohamed Said

    Safari Kuelekea Ikwiriri Tamasha la Bi. Titi Mohamed

    SAFARI KUELEKEA IKWIRIRI TAMASHA LA BI. TITI Juma hili kuelekea Tamasha la Bi. Titi lilikuwa na shughuli nyingi kwangu. Ingia toka ya waandishi na makamera yao ya TV yakishushwa kutoka kwenye magari ikawa jambo la kawaida nje ya nyumba yangu. Napokea simu baada ya simu. Haukupita muda...
  16. Mohamed Said

    Wizara ya Utamaduni, Sanaa na Michezo Katika Kutengeneza Documentary ya Bi. Titi Mohamed

    WIZARA YA UTAMADUNI SANAA NA MICHEZO KATIKA KUTENGENEZA DOCUMENTARY YA BI. TITI MOHAMED Leo nilitembelewa na wataalamu kutoka Wizara ya Utamaduni Sanaa na Michezo. Tuliweka barza tukamzungumza Bi. Titi lakini mimi nilizungumza kwa majonzi nikawaambia mtu aliyekaa kwa muda mrefu na Bi. Titi hadi...
  17. Mohamed Said

    Morning Trumpet Azam tv 9 December: Mohamed Said na historia ya Uhuru wa Tanganyika - 1

  18. Mohamed Said

    Morning Trumpet Azam TV 9 December: Mohamed Said na Historia ya Uhuru wa Tanganyika

    MORNING TRUMPET AZAM TV KESHO 9 DECEMBER: MOHAMED SAID NA HISTORIA YA UHURU WA TANGANYIKA Kesho In Shaa Allah asubuhi saa moja na nusu nimelikwa kuzungumza kuhusu historia ya uhuru wa Tanganyika. Picha hiyo ni kipindi changu cha kwanza nilichofanya katika Morning Trumpet mwaka wa 2015.
  19. Mohamed Said

    Mwamko Mpya Kuhusu Historia ya Bi. Titi Mohamed

    MWAMKO MPYA KUHUSU HISTORIA YA BI. TITI Mwaka jana 2021 kuanzia mwezi October hadi kufika mwezi kama huu na siku kama hizi nilipokea wageni wengi nyumbani kwangu kutoka vyombo vya habari pamoja na CCM wakitafuta historia ya Bi. Titi. Hakika haya ndiyo maajabu ya Allah kuwa atakapo jambo lake...
  20. William Mshumbusi

    Mgunda achana na wazee na kupeana fadhila. Mohamed Quattara ni mzima na Yuko kwenye kiwango kizuri. Acheze nafasi ya Kanute

    Mgunda anahitaji shinikizo kwenye kupanga kikosi. Akina Mkude, Boko hawaoneshi uhai Tena simba. Asiwakingie kifua. Ukweli utambwaga chini. Nyeupe haiwezi kuwa nyeusi. Ampe nafasi leo Quatara ingawa yeye Ni beki lkn ana kila kitu kinachoweza kumfanya acheze Kama kiungo mkabaji. Akina Mkude umri...
Back
Top Bottom