moja

Movement for Justice in Africa (MOJA) is a pan-African left-wing political organization in Liberia, with chapters in Ghana and The Gambia. It was founded in 1973 by Togba Nah Tipoteh, who is currently its president.

View More On Wikipedia.org
  1. Msaada maelezo ya kutambua Chanjo ya kuku ya TATU MOJA kama imepoteza ubora.

    Tafadhali naomba msaada wa maelezo ya kutambua endapo chanjo niliyo nunua bado ina ubora au imepoteza ubora kwa kuharibika au kuchakachuliwa. Kwa mujibu wa maelezo ya wagunduzi chuo Cha SUA chanjo hiyo imewekwa rangi maalumu kama indicator ya kuonaesha ubora au usalama wa chanjo. Wanasema...
  2. Ashurey ndio dancer namba moja wa kike Tanzania

    Ashurey kwa sasa ndio dancer namba moja wa kike Tanzania. Vigezo anavyowapita wengine wote. 1. Anajua kucheza style zote za muziki 2. Ni mbunifu 3. Moves zake zinabadilika 4. Anaweza kucheza freestyle 5. Ni trainer mzuri sana
  3. Moja ya Apps nzuri kuwa nazo kwenye simu.

    Hii apps ipo playstore ni moja ya apps nzuri sana. Apps hii ni kama Insta naweza sema au tiktok ila inakupa task za kufanya na ukiweza kufanya kwa wakati wanakulipa japo kidogo. Pia ukiweza tengeneza video fupi ya sec 90 yenye content nzuri ikapendwa na watu namaanisha likes nyingi unapata pia...
  4. M

    Kila nkifanya ubunifu mshindani wangu anaiga ,wote tuko na aina moja ya biashara vinywaji na vyakula

    Habar wakuu leteni uzoefu wenu,Niko katika biashara ya vinywaji na chakula kwamiaka Sasa ,mshidani wangu yuko mita50 tuko ofisi yangu, Sasa Kila nkifanya ubunifu wakibiashara basi ataiga,nkiigiza product mpya sokoni basi nae ataiga na ataipunguza Bei Nini chakufanya biashara imekua pasua kichwa...
  5. Nina ndoto, siku moja Ulaya, Marekani na China watakuja kuwa chini ya Afrika

    Ndiyo, Waafrika wana uwezo wa kufanikiwa kwa kiwango sawa na watu wa makabila yoyote duniani, ikiwa ni pamoja na Wachina. Akili na uwezo wa binadamu haujalimwa na rangi ya ngozi, asili, au eneo la kijiografia. Mafanikio ya kielimu, kiuchumi, na kiteknolojia hutegemea zaidi na fursa, mazingira...
  6. ZINAUZWA HARAKA UPANGA! ๐Ÿข Apartments mbili za vyumba 3 kwa TZS 350,000,000 kila moja!**

    **ZINAUZWA HARA ๐Ÿ”‘ Vipengele Vikuu: ZIPO KATIKA UBORA: Zipo katika majengo yenye swimming pool, gym, lift, na genereta Mauzo ya Kibenki: Zinauzwa moja kwa moja na benki kwa uhakika wa usalama wa miamala. ๐Ÿ“ž Mawasiliano ya Haraka: Piga simu kwa namba: 0784 225 000 โš ๏ธ Angalizo: "Hizi sio za...
  7. S

    Swali moja tu kwa Felchesmi Mramba wa Nishati; huo umeme wa Ethiopia anaosema leo ni bei nafuu, mkataba unawazuia Ethiopia kupandisha bei milele?

    Bado tuna majibu mepesi mepesi na ya kisiasa kuhusu suala la kununua umeme toka Ethiopia. Kwanza tuliwauliza kama sisi tuna transmission losses kubwa kupeleka umeme mikoa ya kaskazini, Ethiopia hawana? Mkajibu kuwa kununua umeme ni sehemu ya kuimarisha usalama wa power supply nchini -...
  8. Saa sita usiku akaniambia kata simu kuna mtu ananipigia mara moja

    Alikuwa ni mpenzi wangu, dem wangu, nilimpenda sana kwa ghafla, nilipoanza nae mahusiano muda mchache tu nikaanza kupanga plan nyingi za kutimiza nae malengo fulani katika maisha, Nikaanza kuwa na mawazo ya kutamani awe mke wangu siku moja, nikaanza kumtambulisha kwa ndugu na marafiki...
  9. S

    Mamlaka zimelipa kisogo suala la kupambana na mapenzi ya jinsia moja.

    Wana jamvi "Tumsifu Yesu kristu, Asalaam aleykum , Bwana yesu Apewe Sifa"! Naiomba serikali yangu JMT iamke, Nimeshangazwa saana na Ongezeko la mashoga mtaani tena wakitembea kwa madaha kabisa, yaan mpaka mtoto wa shule ya msingi ana nyoosha kidole shoga yule...
  10. Waziri WA MICHEZO anatakiwa awe amejiuuxulu kwa VITUKO vinavyoendelea pale tff..Mama Samia sema neno Moja tu roho yetu ipone

    Rwanda hawana tabia ya kuendekeza ujinga kama huuuu N KANCHI kadogo lakini hakajawahi kukoseankunfundisha adabu pale anapokosea Mpaka sasa nilitakiwa kuona MH WAZIRI WA MICHEZO akiwa amejiuuxulu na KUOMBA radhi kwa UPUUXI WA TFF na BODI take uliotokea Else anatakiwa awe ameshafyrka Ile BODI...
  11. F

    Ugomvi wa ndugu 2,waliojariwa ofisi moja

    Hawa ndugu wakiumu,waliozaliwa na mama mmoja ila baba tofauti,wote ni madereva na asili yao ni wahindi.Maisha yao wanayoishi ni kama waafrika kabisa,kwa kila kitu,kula,kuvaa,mademu ni kama wafanyavyo wabantu.Wameajiriwa na tajiri mmoja,sasa bosi wao akawaambia kuwa wajiandae kwa safari ya kenya...
  12. Kulazimisha Vijana Jobless Kuhudhurua Vikao vya Harusi Mkikusanya Mamilioni ili Mchome kwa Siku Moja ni Upunguani wa Hali ya Juu

    Katika miaka ya hivi karibuni, ugonjwa wa misplaced priorities umekuwa janga sugu miongoni mwa Watanzania. Tunaishi kama watu waliopoteza diraโ€”tukisherehekea anasa na matumizi ya kipuuzi huku tukilia na kulalamika kuhusu ukosefu wa ajira, huduma mbovu za afya, na umaskini. Ni jambo la kushangaza...
  13. Marekani, Hamas katika Mazungumzo ya Moja kwa Moja Juu ya Kuachiliwa kwa mateka huko Gaza

    Wanaukumbi. Mateka watano wa Marekani na Israel wanazuiliwa huko Gaza, huku mmoja akiripotiwa kuwa bado yu hai. Ikulu ya Marekani imesema mazungumzo hayo yanaendelea, baada ya Hamas kuthibitisha kuwa wamekutana mara kadhaa na mjumbe maalum wa Marekani anayehusika na masuala ya mateka Adam...
  14. Video: Madhara ya kutembea na mke wa mtu vijijini

    Hapa bila Shaka itakuwa ni Bunda Vijijini
  15. K

    Pre GE2025 Ushauri kwa CCM na CHADEMA kukaa meza moja kuelekea Uchaguzi Mkuu ujao

    Kama Mwananchi na Raia wa Tanzania ninawashauri CCM na CHADEMA wakae meza moja na wajadiliane kuangalia yale mapungufu yanayoonekana kuelekea Uchaguzi Mkuu ili yafanyiwe marekebisho kama itawezekana. Pamoja na kusema kuwa uchaguzi utafanyika kama ilivyopangwa ni sawa lakini CHADEMA wanaweza...
  16. Mitego ya Kisaikolojia: Kwanini Wanawake Wanajazana Kwa Waganga na Wachungaji? Je, Hizi sio Pande Mbili za Sarafu Moja?

    Waganga wa Kienyeji na Wachungaji wa Maombi Binafsi: Ni Tofauti au Ndugu Wanaotumia Lugha Tofauti? ๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡ https://www.jamiiforums.com/threads/waganga-wa-kienyeji-na-wachungaji-wa-maombi-binafsi-wajanja-wanaocheza-na-akili-za-wanawake.2314695/
  17. Hawa ndo wazee wa comment za kinafiki zisizokuwa na mawazo mbadala kwenye mada

    Numbisa huyu comment yake ukiiona ni ilimradi amechangia tu Smart911 huyu pia ndo wale wale Hawa sio watu ambao wanaweza kutoa mawazo mbadala Kwa mtu Comment zao hizi hapa Ebu tuone Binadamu wabishi Inafurahisha Inasikitisha Pole
  18. Baada ya kusemwa kuwa ni Tawi lao na Wanawadhamini pia wameamua Kuzuga kwa kuwafunga Goli Moja na wakiongeza sana basi Mawili tu leo

    Na huu Mpira nautizama YouTube naona kabisa Pamba SC wako tayari hata Kufungwa Goli 10 ila Jamaa wanaona Aibu.
  19. Designing ya Altezza moja kwa moja peponi

    Wakuu hongereni na majukumu, ya kujijenga binafsi lakini na Taifa kwa ujumla.. Kwa mara nyingine tena kwenye jukwaa letu pendwa naomba tuangalie muundo wa Toyota Altezza.. Mimi binafsi, napenda sana muonekana wa Altezza kuanzia nje na ndani pia, umbo lake, ground clearance lakini pia ufanisi...
  20. Kauli ya Ally Hapi ni ya kichochezi na uvunjifu wa amani, akemewe mara moja

    Wakuu, Juzi Ally Hapi alivitaka vyombo vya dola kuwachukulia hatua CHADEMA wanaotaka uchaguzi usifanyike bila ya mabadiliko kufanyika, akisema ni kisingizio kwa kuwa hawajajiandaa. Kauli hii inazidi kukandamiza wapinzani na wananchi kwa ujumla kwenye uhuru wa kutoa maoni yao pale wanapoona...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ