Movement for Justice in Africa (MOJA) is a pan-African left-wing political organization in Liberia, with chapters in Ghana and The Gambia. It was founded in 1973 by Togba Nah Tipoteh, who is currently its president.
Hamjambo!
Moja ya faida ya kutokea familia zenye Imani mchanganyiko. Yaani ukoo wa Baba dini hii, ukoo wa Mama dini nyingine. Au imani mchanganyiko, tamaduni mchanganyiko ni pamoja na kutokuwa mtu wa imani kali au udini.
Sisi wengine Msikitini tunaingia. Kanisani tunaingia. Usabatoni...
Hii bongo 30 imefanya watu kuwaona hawa jamaa vizuri, wengi wao wamechoka, wengine wana maalaama uso, wengine nyuso zao zimejaa ulevi wa matapu tapu
Wengi wao waliishia katika uraibu maana ustaa wao uliwaongezea aibu mitaani
https://youtu.be/0WHiPCP7NOk?si=m0XtKAqQPDQZRRJs
🔥 “NAKUONA, NAKUONA…” — EMMANUEL MUGANDA WA VOA AREJEA BAADA YA MIAKA! | PICHA INASEMA MANENO ELFU MOJA
Baada ya kutokuonana tangu mwishoni mwa mwaka 1968, leo nimepata ziara ya kipekee nyumbani kwangu Magomeni Mapipa kutoka kwa ndugu yangu...
Sio unabii au utabiri bali ni hitimisho ambalo nimekuja nalo baada ya kupitia mambo mbali mbali katika hii nchi.
Habari za wakati huu wasomaji wa JF ndani na nje ya mipaka ya taifa hili.
Hii nchi ina watu na vitu vya kushangaza sana.Nianze ni hii;hali ya sintofahamu inayohusu mvua kubwa...
Kwa jinsi mambo yanavyoenda kwenye hizi nchi, hazifiki 2030 zikiwa nchi moja.
1. Ethiopia. Muungano wa Ethiopia ni dhaifu sana. Kila mkoa una jeshi lake na "Rais" wake. Wana mikoa 12 iliyogawanyika kimakabila. Watu wa Tigray wamelianzisha tena. Vita vita. Kabla ya 2030 hii haitakuwa nchi moja...
Majibu ya AI kuhusu mapenzi ya jinsia moja:
Kulingana na makubaliano makubwa ya kisayansi na mashirika ya afya duniani kama vile Shirika la Afya Ulimwenguni (WHO), mwelekeo wa kijinsia (pamoja na mapenzi ya jinsia moja) sio jambo la hiari au chaguo la mtu binafsi. Wataalamu wa afya ya akili na...
Habari ya asubuhi wakuu!
Katika "tembea tembea" nimekutana na jamaa anadai kwamba mpaka Sasa amezika ndugu zake mia Moja.
Hivi Kuna Binadamu ambaye Yuko hai na amewahi kushuhudia misiba / mazishi ya ndugu zake kuanzia wa kwanza mpaka idadi inafika 100 na yeye bado Yuko hai?
Je ni kweli biashara ya vipodozi ina faida mara 3 hadi mara 18 kwa bidhaa moja.
Mfano
Bidhaa A ina faida mara 3
Bei ya mtaani rejareja 30,000
Bei ya chimboni ni 10,000
Bei ya bidhaa B faida ni mara 18
Bei ya rejareja ni 18,000
Bei ya chimboni ni 1000
Kama hali ni hiyo faida wanayopata ni kubwa...
Mwenzenu baada ya kufuatilia podcast na documentary baadhi za wakubwa huko u tube kuhusiana na uwekezaji wa hisa(stock) nimeamua nianze mdogo mdogo kwa nilichonacho, hivyo nitakuwa natumia mbinu ya kutupia kidogo kidogo kila mwezi mpaka nitakapofikia.
Sasa swali langu wazee, nimedownload app...
Katika kukua kwangu nimekutana na idadi ndogo sana ya watu wenye less ego.
Watu wanalinda kujiona hawafai sana, to the extent wako tayari kuku manipulate na kuku gaslight ili usipige hatua.
Hadi wazazi, wako radhi urudi mistakes zao kwa kukuacha uwe less wakati huenda wanauwezo wa kukupa...
Unaweza ukajihoji kuwa ulipoteza muda kupigania taaluma uliyonayo.
Vichwa vyenye rutuba inayoweza kustawisha Ujinga vinazidi kuongezeka.
Uongo unaweza kuwa moja ya bidhaa pendwa na muhimu kwa uhai wa serikali na viongozi feki.
Wanufaika wanapambana kwa kukaza hadi mishipa ya nyoro kama...
Mkurugenzi wa Mkombozi Furniture, Leo amemuita Dudu Baya ofisini na kumpa Zawadi ya kiasi Cha shilingi milioni Moja na simu mpya.
Pia mkurugenzi huyo amempa nafasi Dudu Baya ya kuchagua kitu chochote Dukani hapo, Na Dudu Baya amechagua kiti chenye thamani ya laki nane.
Mkurugenzi huyo ame...
Akihutubia United Nations General Assembly, huko New York leo,
Rais Trump ameipiga marufuku mahakama hiyo ya ICC kuwachunguza au kuwashitaki raia wa marekani na washirika wake kote ulimwenguni, na kwamba mahakama hiyo haina uhalali wa kufanya hivyo dhidi ya wamarekani na washirika wake. Aidha...
WAZIRI MKUU Dkt. Mwigulu Nchemba alisema uwezeshaji wa wanawake wakulima ni uwekezaji katika utekelezaji wa dhana ya Afya Moja, kutokana na nafasi yao katika uzalishaji wa chakula, ufugaji, lishe, afya ya mifugo, usalama wa chakula na utunzaji wa mazingira.
“Wanawake hawapo pembezoni mwa...
Kuanza kujilinda kwa farasi na mapaga hadi kujilinda na Northrop B-2 Spirit na satelite angani.
Kuna mtu aliwahi kusema "uhuru wenyewe una miaka 50 tu, tuvumiliane" ,
😁😁 no bro, you are just dumb
The Worst
Marcostilone
mcTobby
Katika dunia ya sasa, watu wengi huzungumzia AI (Akili Mnemba) kama teknolojia inayobadilisha maisha kwa kasi kubwa. Hata hivyo, swali moja muhimu linaibuka: Je, ni AI kweli inayotawala maisha yetu, au ni algorithm zilizopo nyuma ya pazia?
Algorithm ni seti ya kanuni na maamuzi yaliyopangwa...
Hivi huyu ngiri mwenye mandevu kwanini anadekezwa sana kwenye hii nchi?
Anadekezwa kama nani? Ana umuhimu gani? Hii ni nchi inayoongozwa na sheria sio Ardhi ya Mbambadu.
Hata vile nilisikia ati Waziri Gwajima anamsifia kwa kutokomeza ushoga?
Kwanza nani alisema ushoga unaangamizwa kwa...
Unajua ile tabia ya walevi kuwaambia wahudumu wahakikishe vinywaji havikauki mezani? Sasa mimi siku hizi nikienda mgahawani naambia mhudumu akiona nimekaribia kumaliza sahani ya kwanza alete nyingine chap. Ni rasmi sasa nikienda restaurant lazima nile sahani 2 haijalishi ni ugali, pilau au wali...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.