moja

Movement for Justice in Africa (MOJA) is a pan-African left-wing political organization in Liberia, with chapters in Ghana and The Gambia. It was founded in 1973 by Togba Nah Tipoteh, who is currently its president.

View More On Wikipedia.org
  1. Eli Cohen

    Thailand imehalalisha rasmi ndoa za watu wa jinsia moja. Ni nchi ya kwanza Kusini-mashariki mwa Asia kuhalalisha ndoa za watu wa jinsia moja

    Aisee, Hata unakosa cha kuandika, upuuzi wa kiwango kilichopitiliza.
  2. Nawashukuru Sana

    Napenda kuwafundisha somo moja vijana kuhusu Network na connection.

    Vijana wengi wanachomini kuwa hauwezi kufanikiwa pasipo Connection . Ila ukweli ni kwamba kuwa hauwezi kufanikiwa Pasipo network. Nini maana ya Connection - Kuungana wewe na mtu Fulani . Mfano mwaka fulani pale UDSM nilikuwa na ndugu yangu (RIP) alikuwa ni lecturer huyu jamaa alikuwa...
  3. Robert Heriel Mtibeli

    Wana CCM wapewe nafasi ya kuwania kiti cha Urais kisha Kura zipigwe. Kile kilichofanyika ni dhulma

    Mpo Salama! Wapo watu walitaka na wanatamani kuwa sehemu ya watakaotumia Haki Yao ya kikatiba kuwania Tiketi ya Urais kwa Njia ya CCM. Hata kama Wana CCM hao ni wawili au Mmoja. Wanahaki ya kufanya hivyo. Watu wote waungwana, watu wote wenye AKILI, watu wote wenye kupenda haki, watu wote wenye...
  4. Li ngunda ngali

    Mwanasiasa uchwara Yericko Nyerere katika moja na mbili

    Usinene ukamala! Yericko Nyerere
  5. KING MIDAS

    Biblia inasema fungu la kumi litolewe mara moja tu kwa mwaka, hawa wanaodai fungu la kumi kila wiki ni wezi. Fungu la 10 waweza kulinywea hata pombe

    Kumbukumbu la Torati 14:22 [22]Usiache kutoa zaka ya fungu la kumi katika maongeo yote ya mbegu zako, yatokayo shamba mwaka baada ya mwaka. Thou shalt truly tithe all the increase of thy seed, that the field bringeth forth year by year. Kumbukumbu la Torati 14:22,24-26 [22]Usiache kutoa zaka ya...
  6. Mwanamayu

    Hivi kwenye hesabu za desimali (decimal numbers), baada ya nukta tunatamka tarakimu moja baada ya nyingine au kwa pamoja kama vile nzima?

    Nimesikia wasomi wawili wa ngazi ya PhD wakitofautiana katika kutaja desimali (decimal notation). Mmoja ana PhD ya kusomea na mwingine ya heshima. Alianza yule mwenye PhD ya kusomea na kusema kwa majigambo na kujiamini kuwa mteuliwa amepata asilimia themanini na tisa nukta arobaini na mbili...
  7. GENTAMYCINE

    Nina Timu yangu Mtaani nataka kuichagulia Kauli Mbiu moja kati ya hizi Tatu zifuatazo....

    1. Gusa Achia urudi Bongo 2. Gusa Achia urejee NBC 3. Gusa Achia ule wa Chuya Nitajie moja tu ambayo itapendeza hasa.
  8. G.T.L

    Amos Makalla: Kuna Surprise moja kubwa leo nitaitangaza hapo baadae

    Katibu Mwenezi Makalla amesema leo kuna suprize kubwa ataitangaza kwenye mkutano wao. Huenda hii suprize ndo ile Tetesi ya Salum Mwalimu kuhama CHADEMA na Kuhamia CCM. Ngoja tusubirie tujionee maajabu.
  9. G Sam

    Mbowe sasa aamua kutufungia maombi ya siku moja tuliomkataa

    Tumefungiwa maombi ya siku moja turudi kwa baba. Kwa niaba ya tuliomkataa Mbowe nasema kwamba huyu mchungaji anapoteza muda wake bure. Mbowe tulimkataa, tunamkataa na tutamkataa katu hatutarudi kwake kama ataendelea kuwa Mwenyekiti wa Chama baada ya huu uchaguzi mkuu wa Chama. Sababu za...
  10. SAYVILLE

    Jinsi Ziwa Natron linavyoweza kuifanya Tanzania kuwa moja ya mataifa tajiri duniani

    Ziwa Natron linalopatikana Kaskazini Mashariki mwa Tanzania mkapani na Kenya lina chemical materials ambazo ni muhimu viwandani. Ziwa Natron lina sodium carbonate na baking soda zenye matumizi mbalimbali. Kama umeangalia kwa makini mwendelezo katika nyanja za sayansi, teknolojia na uvumbuzi...
  11. The Assassin

    Trump: Kwenye serikali yangu hatuhitaji umeme wa upepo, ni umeme ghali sana. Hatutashiriki hata mara moja kujenga mitambo ya umeme wa upepo.

    Rais mteule wa Marekani ameonya kwamba kwenye serikali hakutakua na muendelezo wa ujenzi wa umeme wa upepo. Trump anasema umeme wa upepo ni umeme ghali sana. Ni umeme unaotegemea ruzuku, bila ruzuku hakuna mtu anaweza kumudu kununua umeme wa upepo. Trump anauliza ni nishati ya namna gani hiyo...
  12. Mshana Jr

    Madhara jumuishi kuwa na mahusiano sehemu za kazi.. Ofisi moja

    Big up kwa wale wanandoa wote ambao hata kama walikutana ofisi moja lakini wakaamua kujiongeza na mmojawapo kuhama ili kuondoa madhara jumuishi...! Na ni afadhali mkawa wote level moja kuliko mmoja akawa boss ambapo utakapokosea kwenye vikao vya nidhamu na kuwajibishana... Mke/mume wako...
  13. Pdidy

    Simba yapunguziwa adhabu mechi Moja bila watazamaji

    Caf Wameona Hurumaa na sasa wamepunguza Simba watamisi mechi Moja kucheza bila washabgiliaji na sio 2 kama awali All dbest
  14. Eli Cohen

    Kuna utofauti wa kuwa introvert na kuwa na social anxiety dis-order (social phobia)

    Kuwa Introvert iko personal zaidi ila social anxiety iko mental zaidi. Yani mtu anaweza kuamua kutokuwa na ukaribu pia anaweza aka -develop tabia tangu utoto kwa maana akiwa namna hii hujisikia amani ndani yake. Hivyo inakuwa sehemu ya style yao maisha, lakini kwa baadae pia anaweza akabadirika...
  15. The unpaid Seller

    Hebu naomba niweke jambo Moja bayana: PUNYETO HAIPUNGUZI NGUVU ZA KIUME

    May all souls find enlightenment, Moja kwa Moja kwenye mada, nianze kwa kusema Mimi ni mwanaume (45) nimepata na pamoja na mambo mengine katika ndoa yangu naenjoy sana sex ofcourse nina michepuko kadhaa pia. Sinywi pombe, sivuti sigara, napenda kula vizuri (starehe yangu nyingine) nafanya...
  16. D

    Kwa nini shule zinafungwa na kufunguliwa siku moja kwa nchi nzima?

    Shule zetu zinafungwa na kufunguliwa siku moja nchi nzima. Inawezekana wazo hili lina nia njema na manufaa. Hata hivyo, naona utaratibu huu una changamoto ambazo zina athari kubwa mno kwa wanafunzi na wazazi. Baadhi yake ni changamoto ya usafiri, malazi na chakula safarini. Vyombo vya usafiri...
  17. Morning_star

    Kilo moja ya nyama kuuzwa 13,000 ni laana au ni nini?

    Kwa takwimu za kimataifa, katika bara la Africa, Tanzania ni nchi ya pili kwa wingi wa Ng'ombe (bila kujumuisha kondoo, mbuzi, na kuku) ikitanguliwa na Ethiopia. Sasa cha kujiuliza, kitu gani kinapelekea kupanda kwa bei ya nyama mpaka kilo 13,000?. Hivi mnajua maana ya 13,000? Kwa familia ya...
  18. Stephano Mgendanyi

    Pre GE2025 Maringo Mia Moja ya Rais Samia na Mbunge wa Bukoba Mjini, Stephen Byabato 2020 - 2025

    MARINGO MIA YA MHE. DKT. SAMIA NA MBUNGE WA JIMBO LA BUKOBA MJINI WAKILI STEPHEN BYABATO 2020 - 2025 Mbunge wa Jimbo la Bukoba Mjini Wakili Stephen Byabato anamshukuru sana Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa kuwezesha Miradi Mikubwa na ya kimkakati...
  19. Simao Latino

    Kuna tofauti gani kati ya "Football Federation" na "Football Association"?

    (1) Tanzania Football Federation. (2) Egyptian Football Association.
  20. M

    Hapa Mbowe Lissu umemuweza sana

    Mbowe kasema uchaguzi utakuwa live TV zote za duniani zinazotaka kuja zitaingia ukumbi wa uchaguzi 1. Wajumbe kuhakikiwa live 2. Kura kupigwa live 3. Matokeo kuhesabiwa live 4. Mshindi kutangazwa live 5. Mshindi kuhutubia live 6. Mshindwa kuhutubia live Haya yote watashudia wanachama wa chadema...
Back
Top Bottom