MamaSamia2025
JF-Expert Member
- Mar 29, 2012
- 21,387
- 44,030
Unajua ile tabia ya walevi kuwaambia wahudumu wahakikishe vinywaji havikauki mezani? Sasa mimi siku hizi nikienda mgahawani naambia mhudumu akiona nimekaribia kumaliza sahani ya kwanza alete nyingine chap. Ni rasmi sasa nikienda restaurant lazima nile sahani 2 haijalishi ni ugali, pilau au wali.
Mbaya zaidi nimeanza utaratibu mpya unaonishangaza hata mimi mwenyewe kwamba nikimaliza kula sahani 2 za wali naongeza chapati 3. Ni balaa. Hii ni kawaida au imezidi? Lakini kinachonisaidia ni huwa nakula mara moja tu kwa siku.