Lamomy
JF-Expert Member
- Sep 4, 2023
- 43,349
- 104,110
Wewe nini mjomba hamis bana, wee chawa wote tunajua unataka kumdanganya nani? 😹😹😹Hapana nakula mara moja tu kwa siku. Huwa sili hovyo hovyo. Watu wengi wanasema ninanufaika na pesa za namna hiyo ila sio kweli. Sijawahi kuwa chawa au mpambe wa mtu maishani. Na sijawahi kunufaika na hela yoyote toka CCM au mwanachama wa CCM.
Karibu kila mtu anagongewa ila kugongewa kisa umeshindwa kumgonga mkeo ni zaidi ya msiba. Hata mimi napambana kukwepa unene ndo maana unaona nimejishtukia kwenye kula.
Machawa kugongewa kuko pale pale.
Mkienda kujaza mikutano yenu chamwino huku nyuma lazima mkeo wampitie..!! 😹