moja

Movement for Justice in Africa (MOJA) is a pan-African left-wing political organization in Liberia, with chapters in Ghana and The Gambia. It was founded in 1973 by Togba Nah Tipoteh, who is currently its president.

View More On Wikipedia.org
  1. Miss Zomboko

    Ni kitu gani ulijaribu kukifanya mara moja na ukagundua hutakaa ukirudie tena?

    Aisee miye kuna snacks hizi wanaita Pringles yooooh zimenishinda kabisaaa Maisha yangu yote Mara ya kwanza tu kujaribu kuzila ndio ikawa funga kazi, nimeshindwa kuzirudia hata kama nikiona wengine wanakula miye mzuka nazo sina kabisaa Hebu tuambie na wewe, nini ulijaribu mara moja na ukasema...
  2. Megalodon

    Yanga Tupunguze Maneno, Jana hatujashinda Goli hata moja, kuna cha kujifunza hapa

    Huu mpira wa Media ndio iliifanya SSC kuporomoka sana na kufikia hapo ilipofikia. Goli ambalo hatuwezi kujivunia nalo deep down lisitutoe kwenye reli kuwa kuna TAFSIRI 2 1. Inawezekana Yanga SC Imeanza kuwa na kiwango cha kawaida au wachezaji wetu wameanza kuchoka, Sijaona Shambulia la hatari...
  3. Hyrax

    Je, akiomba mkopo Bodi ya Mikopo mwaka ujao anaweza kupata?

    Kuna jamaa yangu amemaliza Diploma ya IT 2012 huko Iringa, amehangaika na maisha huko mwaka huu ananiambia mwaka ujao anataka kuingia Bachelor ya kozi fulani nje ya IT pale Iringa University Je akiomba mkopo Bodi ya mikopo mwaka ujao anaweza kupata? Wazoefu njooni mtupe uzoefu afuatilie
  4. kipara kipya

    Mechi ya saa kumi na moja kawaida yanga anakufa na hili ndilo linakwenda kutokea!

    Mnakumbuka yanga walipokimbia mechi ya saa kumi na moja basi aliendesha tuisila kisinda basi lilikua bovu lakini speed yake ilikuwa ni ya kimondo, Wazee wa yanga wanajua mananzili muda saa kumi na moja kinyota si muda wao. Kiutaalamu majini yao yanakuwa yamelala yakilala hayataki usumbufu hivyo...
  5. G

    Ripoti juu ya ukiukwaji wa haki za binadamu nchini: hakuna gazeti hata moja lililoandika habari hiyo!

    Jana vyombo vya habari vya kimataifa vilitangaza taarifa iliyotolewa na taasisi ya kimataifa ya human right watch juu ukiukwaji mkubwa wa haki za binadamu unaoendelea nchni. Nimepita magazeti karibu yote habari hiyo haikuandikwa popote. Paskali mara nyingi huwa unajitokeza kutetea wanahabari...
  6. Nyanda Banka

    Gharama ya ujenzi wa Ghorofa Moja Kwa maeneo ya kijijini ni shilingi ngapi

    Habari zenu mafundi nataka kujua ni kiasi gani naweza kujengewa Ghorofa moja kwa maeneo ya kijijini Nataka kujua bei tu ya ufundi mbali na vifaa vya ujenzi maana kuna sehemu nilipata majibu ya kushangaza na kustaajabisha kuhusiana na ujenzi wa Ghorofa Napenda kupata majibu kutoka mafundi...
  7. X

    SWARAJ 744 Nyota moja

    natafuta trekta swaraj 744 nyota moja used.bei ni maelewano kulingana na mwonekano. kama una access ya kuipata ni pm,au nicheki kwenye namba yangu 0754688254
  8. Roving Journalist

    DAWASA: Huduma ya Maji Muheza Maili Moja itarejea, mabomba yaliyoharibika yametengenezwa

    DAWASA imetoa ufafanuzi kuhusu hoja ya Mdau aliyelalamikia changamoto ya Huduma ya Maji Kibaha, kusoma hoja ya Mdau bofya hapa ~ DAWASA Kibaha nini tatizo? Hakuna Huduma ya Maji wiki ya pili, hayo mabomba mabovu hayatengenezeki? Eneo la Muheza lilianza kukosa maji week iliyopita baada ya...
  9. Ritz

    Siku moja baada ya maafa ya Golani Airbase, inaonesha kushindwa kwa ulinzi mwingine katika kituo cha kati katika eneo la Sharon

    Wanaukumbi. ⚡️Vyombo vya habari vya Kiebrania: Hillel Bitton Rosen: Ndani ya bomba la maji taka-hivi ndivyo askari wetu walivyoonekana leo, mara mbili, wakati wa operesheni za kengele katika eneo la kati, kutokana na ukosefu wa nafasi za ulinzi katika msingi mkubwa na wa kati. Makamanda wa...
  10. S

    Naomba ufafanuzi; kwanini jina la Mkoa linamaana tofauti kiutawala na kwenye taasisi wana maana nyingine wakati serikali yetu ni moja?

    Habari wadau! Jana nilitumia siku yangu ya kumbukizi kuongea na watoto wadogo! Moja ya maswali waliyotaka ufafanuzi ni hili! Serikali ina mipaka ya kiutawala ngazi za mikoa na wilaya! Kwa mfano; Mkoa wa Dar es salam ni moja ya sehemu ya utawala wa kiserikali nactaasisi zake! Sasa kwanini...
  11. Revolution 22

    Kiwanja Kibaha maili moja kwa bajeti ya milioni 7!

    Wakuu habari, nina bajeti ya milioni 7 nahitaji kiwanja maeneo ya Kibaha mail moja Kiwe at list KM3 mpaka tano kutoka stendi, naamini humu kuna wenyeji na wenye viwanja maeneo naweza pata surveyed plot kwa bajeti hiyo?
  12. BOMBAY

    Ni maamuzi yapi anatakiwa Kuya fanya Kati ya kumuacha moja kwa moja au kurudiana nae Tena?

    Habari wakuu, Kuna urafiki yangu toka mkoani kwetu, alifunga ndoa na binti jirani pale mkoani mwaka 2022. Kiufupi jamaa alikuwa anajimudu kiuchumi, Lakin gafla baada ya ndoa yao mambo yalienda kombo. Jamaa aliepoteza karibu Kila kitu wakawa chakarii. Mwaka Jana mwezi wa tisa aliamua...
  13. ndege JOHN

    Umejiuliza ingekuwaje kama vidole vingekuwa na urefu mmoja

    Ikiwa vidole vyote vitakuwa na urefu sawa, hutaweza kushikilia kitu chochote. Jinsi vidole vina urefu tofauti hupelekea kuwa ngumi wakati vidole vyote vimekunjwa. Hii ndiyo sababu kuu kwa nini vidole vyote vitano vina urefu tofauti. Ndiyo maana, “Vidole vyote havifanani
  14. G

    Ni halali kwa katiba ya CCM kuchapisha fomu moja tu kwa ajili ya Samia kugombea urais 2025?

    Katiba ya CCM inaruhusu ubakwaji huu wa demokrasia ndani ya chama? Kama Samia anaupiga na kuutwanga mwingi, anaogopa nini kushindana na wanachama wenzake?
  15. T

    Natafuta chumba na sebule maeneo ya upanga. Ofa laki mbili kwa mwezi

    Habari wadau. Nimehatika kupata kazi hospital ya muhimbili hivyo nahitaji chumba na sebule maeneo ya upanga ofa yangu ni laki mbili kwa mwezi
  16. Jumanne Mwita

    Muda huo kuna goli la mama, ila maisha!

    Sio huyu tu wapo wengi wenye shida zaidi ya huyu Mzee nikwamba hamjakutana nao tu ila Mungu atupe akili sisi wa Africa. Kuna post moja niliisoma inasema Tanzania ni nchi pekee ambayo unaenda kufanya kazi ukipata pesa pesa yote inaishia kwenye madeni Kila siku kwasababu pesa imekosa thamani
  17. MIXOLOGIST

    MJADALA HURU: Chupa elfu moja za mafuta ya watoto zilizokutwa nyumbani kwa PDiddy zilikua na matumizi gani

    Waswahili wanasema ukistaajabu ya Musa utayaona ya Firauni Hatukatai PDiddy anao watoto na pengine wanatumia sana mafuta Siyo vibaya pia ata yeye kama anayatumia na ata akijipaka makalioni Swala la msingi la kuuliza hayo mafuta yote chupa 1000 alikua anatumia kwaaajili gani AU TUMUULIZE...
  18. G

    Iran ijipange upya. Walichoweza ni kuua Mpalestina moja wakati Israel inalipua viongozi, maghala ya silaha, pagers zikiwa mifukoni n.k

    Seriously !! Iran walichoweza hadi sasa ni kuua mplestina 1, Kupania kote kule kurusha makombora 200+ wameua mpalestina moja ? Israel Helikopta ya Rais wa Iran iliopotezwa mawinguni asubuhi, wataalam wabobezi wa Iran na Uturuki walihangaika sana kuitafuta siku nzima wakaja kuipata usiku wa...
  19. Mad Max

    Chagua Hybrid Moja hapa: Toyota Prius vs Honda Insight!

    Wakuu. Bila kupepesa macho, kuna izi hybrid mbili kutoka Japan (Toyota Prius na Honda Insight) ambazo zinafanana na kutofautiana mambo mengi sana. Kwa kuanza zote naomba tutumie za mwaka mmoja, 2009 ambapo kwa Prius ndio alikua anaanza generation ya tatu na Insight yeye anaanza generation ya...
  20. U

    Watu milioni moja wakimbia makazi yao kufuatia mashambulizi makali ya Israel dhidi ya magaidi ya Hezbollah nchini Lebanon

    1 hr 53 min ago Wadau hamjamboni nyote? Taarifa kamili hapo chini kwa kimombo: 1 million people displaced in Lebanon, prime minister says One million people in Lebanon have “moved from place to place in just a few days,” the country’s caretaker Prime Minister Najib Mikati said on Monday as...
Back
Top Bottom