moja

Movement for Justice in Africa (MOJA) is a pan-African left-wing political organization in Liberia, with chapters in Ghana and The Gambia. It was founded in 1973 by Togba Nah Tipoteh, who is currently its president.

View More On Wikipedia.org
  1. Yoda

    Unawasilianaje na mtu msiyeelewana lugha?

    Ikitokea umekutana na mtu amabaye hamuelewani lugha kabisa iwe katika mambo ya kijamii, kazi, biashara au michezo na hakuna mkalimani huwa mnawasilianaje muelewane? Yaani kama unajua Kiswahili tu na umekutana na mtu anajua Kifaransa, Kiarabu, Kichana au lugha nyingine tu tofauti na Kiswahili...
  2. Shooter Again

    Siwezi kuandamana hata siku Moja ni ujinga

    Yaani Mimi niandamane nipigwe risasi nife nizikwe nioze eti kisa Kuna mizee ambayo yenyewe enzi zao yalikua yamezubaa nchi ikatafunwa Sasa hivi yanasema vijana wa gen z andamaneni kwajili ya tanzania mnaumwa nyie wazee pambaneni na hali zenu kama maisha yamekua magumu kwenu hamna kijana...
  3. Wakusoma 12

    Rais Samia, muondoe mara moja Nape kwenye Baraza lako la mawaziri. 4Rs unazozihubiri zinaonekana ni utapeli wa kisiasa.

    Kwa maneno aliyoyazungumza waziri wa habari Nape Nhauye wakati akiongea na wanaccm huko Bukoba mkoani Kagera ni ishara tosha nchi hii inaongozwa na wahuni. Waziri mzima tena mkuu wa wizara ya habari unaongea ujinga mbele ya watu wazima. Tume ya uchaguzi inapewa pesa nyingi Kila mwaka kuhakikisha...
  4. ndege JOHN

    Cheki nilivyo mbunifu nikifungua grocery sigara moja bure naweka na daftari la ku sign

    Unajua watu ukiwaambia jinsi ulivyo na akili wanakudharau rafiki sasa sikia hii mimi ipo siku naanza biashara ya pombe na mpango wangu ukija unanunua pombe me offer yangu ni sigara moja si najua pombe ina faida ya Tsh. 300 so nakupa sigara moja ya 100 mimi potelea mbali acha nipate 200 halafu...
  5. I am Groot

    THE BOYS: Moja ya series zinazohitaji kujitoa akili na ufahamu ili kuiangalia. Bila hivyo haifai hata kidogo (18+)

    THE BOYS drama ya kimarekani inayohusisha masuperheros au (Mashujaa kwa waswahili). Drama hii inaelezea Superheroes wenye ushawishi kwa umma waliyejiwekeza katika (siasa) wanasiasa, na wakati mwingine hata kuheshimiwa kama miungu. Lakini hapohapo kuna kundi la ambao wanatumia nguvu zao kwa...
  6. Damaso

    Kwanini serikali isiwe na kodi moja kwenye makato yake?

    Wachumi njoo mnisaidie kitu hapa. Mimi ni mtumishi kwenye shirika moja la maendeleo, na mshahara wangu ni Milioni 2 na laki 8 ila kutokana na sheria na taratibu za nchi ninatakiwa nilipe PAYE kiasi cha 668000, hapo ninabakiza kiasi cha 2,132,000 hivi kiasi ambacho bado ninahitakija kulipa bima...
  7. lufungulo k

    Chanjo ya kuku aina ya TATU MOJA

    Vifaranga vyangu vya kuku wa kienyeji, walipofikisha umri wa takribani wiki 2 hivi niliamua kuwapa chanjo hii. Baada ya muda vifaranga viliendelea vzr lkn sasa vimepata madhara kwenye jicho KUVIMBA, sasa sijui ni kutokana na chanjo hii au la !! Naomba wataalamu wanisaidie .
  8. Mganguzi

    Pre GE2025 Wakati CHADEMA mmejikita twita CCM wapo kimkakati kwa maandalizi ya 2025 msije kusema mmeibiwa

    Vijana wa upinzani Tanzania hasa kupitia vyama vikubwa vya chadema na act wazalendo ,wamejikita twita! Wanadhani kwa mabishano na kelele za twita wanaweza kuleta mageuzi yoyote katika nchi hii !! Watu wenye akili na weledi na wapiga kura wa kweli hata twita hawapo na wengine hata hawaijui kabisa...
  9. Tatu

    Update: Naomba Neno Moja tu la Kingereza Ambalo Halina Tafsiri Rasmi ya Kiswahili.

    Kama kichwa cha Habari kinavyosema, zaidi ya wiki sasa imepita toka nilete hii changamoto iliyopo katika lugha yetu ya Kiswahili. https://www.jamiiforums.com/threads/naomba-neno-moja-tu-la-kingereza-ambalo-halina-tafsiri-rasmi-ya-kiswahili.2228322/page-9#post-50651130 Nashukuru kwa wale wote...
  10. D

    Simba wakifungwa mechi moja tu, wachee na kocha wake wote wataondoka, mwakani wanaanza upya tena

    Simba imefanya usajili mkubwa sana. this season, kuna MVP kwenye mid field na MVP defence. top striker mbele pale. amazing lakred nyuma pale. Issue ni mechi moja tu mkifungwa tempo nzima ya timu inakufa. vita inaanza. mangungu out I always say tatizo la simba ni mashabiki. they have best...
  11. green rajab

    Afghanistan yatuma Brigade moja ya wapigani Kusaidia Lebanon

    Baada ya Wanamgambo wa NATO kukimbia Afghanistan kwa kasi ya mwendo wa Ngiri mkia juu na kutelekeza Silaha Vifaru ndege na zana zingine kuwaachia Taliban, Military base zote kama Bagram Military base kuimefanya kuwa na Jeshi imara na sasa wanaanza kutoa msaada kwa Nchi jirani. Masaa machache...
  12. GENTAMYCINE

    Uongozi wa Simba SC tafadhali upesi sana amueni moja katika hili kwani Msimu ukianza haya Mapungufu yaliyotuponza hatuyataki tena na tumeyachoka

    Uongozi wa klabu ya Simba umempa mkataba wa miaka miwili aliyekuwa kocha msaidizi wa Raja Casablanca, Fadlu David ambaye inaelezwa atatua nchini Ijumaa sambamba na wasaidizi wake. Kocha huyo ambaye amethibitisha ujio wake Tanzania baada ya kutumia ukurasa wake mtandao wa kijamii ‘Instagram’...
  13. Etugrul Bey

    Ishi siku moja kikamilifu

    Wazigua wenzangu kutoka Tanga wanasema "live only one day at a time" Hivi unajua kwanini huwa tunapata sana stress au msongo wa mawazo? Kwasababu hatuishi katika siku moja kikamilifu,bali tunaishi jana,leo na kesho kwa wakati mmoja,,je amani utaitoa wapi? Furaha utaitoa wapi? Yaani unaishi leo...
  14. D

    Ni Chama kipi cha Upinzani Kilishinda Uchaguzi wa Jimbo moja mwaka 1962?

    Wakuu Jana usiku nilikuwa Nasikiliza hotuba ya mwalimu Julius Kambarage Nyerere, ambayo aliitoa 16 AUGUST 1990 sehemu ya hotuba hiyo alisema kwamba mwaka 1962 wakati wa uchaguziTANU ilishindaviti 77 na kukosa Kiti kimoja tu ambacho alishinda mgombea wa upinzani, ambaye anadai alikuwa chama cha...
  15. Leejay49

    Kama umezaliwa bila ulemavu wowote usiache kumshukuru Mungu hata mara moja kwa siku

    Signed out forever
  16. R

    SoC04 Taifa letu nguvu moja ili kuifikia Tanzania tuitakayo miaka 10 hadi 30

    Tanzania ni nchi iliyo barikiwa sana ilikuifikia Tanzania tuitakayo ,ningependa kutoa maoni yangu katika secta ya madini Nchi yetu ina madini ya kutosha hususani madini ya chuma yanayo patikana mkoa wa njombe na makaa ya mawe yanayo patikana mkoa wa Ruvuma hivyo basi ili kuweza kuyeyusha chuma...
  17. Cybergates

    Ruby: Moja ya underrated language hasa kwenye development

    Ruby ni moja language ipo underrated sana na developer wengi Side project nyingi hasa web development na API mimi huwa natumia ruby, pia nichanguo langu la kwanza Ni mara chache sana unakutana na developer mwingine anatumia ruby, Mtu akikukuta unafanya development na ruby anakushauri utumie...
  18. Robert Heriel Mtibeli

    Moja ya mambo yaliyonifanya nichukie awamu ya tano ni suala la utekaji. Hata kama wakosoaji ni wapumbavu basi usitumike upumbavu kukabiliana nao.

    MOJA YA MAMBO YALIYONIFANYA NICHUKIE AWAMU YA TANO NI SUALA LA UTEKAJI. HATA KAMA WAKOSOAJI NI WAPUMBAVU BASI USITUMIKE UPUMBAVU KUKABILIANA NAO. Anaandika, Robért Heriel Mtibeli Suleiman aliwahi kusema, Mhubiri 7:17 [17]Usiwe mwovu kupita kiasi; Wala usiwe mpumbavu; Kwani ufe kabla ya...
  19. chiembe

    Kwa utaratibu wa jumuia ya Afrika Mashariki, bajeti zote hupitishwa siku moja, nini athari ya Kenya kuondoa Finance Bill?

    Hili ni suala muhimu kwa sababu lazima katika baadhi ya mambo nchi zote zifanane katika sheria za kikodi
  20. passion_amo1

    KESHO TAREHE 27 GENERATION Z WANATIMIZA TAKWA MOJA LILILOBAKI!.

    Wakuu Heshima mbele! Nilisoma yale ambayo Generation Z waliyasema na yote wameyatekeleza kwa asilimia 100%. Kesho 27/06 Waandamanaji wamesema watafunga njia kuu ya kuelekea nairobi na kuiteka ikulu kushuhudia ruto akisaini ili kuwafanya kuwa watumwa katika nchi yao. Na uzingatie vijana hawa...
Back
Top Bottom