moja

Movement for Justice in Africa (MOJA) is a pan-African left-wing political organization in Liberia, with chapters in Ghana and The Gambia. It was founded in 1973 by Togba Nah Tipoteh, who is currently its president.

View More On Wikipedia.org
  1. Moja ya mambo yanayoifanya Tanzania iwe nyuma kwenye Teknolojia

    Natanguliza shukulani kwa WanaJF maana mmekua mchango mkubwa sana kwa watanzania wengi kupata maarifa ya mambo mbalimbali hasa kuhusu Teknolojia Kama title inavyojieleza hapo juu na haya ni maoni yangu kuhusu nchi yangu pendwa Tanzania inavyo litazama jambo hili na jinsi ambavyo inashindwa...
  2. G

    Kuwa na mtoto moja wakati wazazi wana uwezo wa kuongeza liwe kosa la jinai, ni kumnyanyasa mtoto kukosa ndugu + upweke

    Kuna wazazi huwa wanaamua kwa maksudi wawe na mtoto moja tu kwa sababu ya kuiga maisha ya utandawazi, kuogopa mimba itaingilia kazi zao maofisini, kukwepa gharama za kulea watoto, kutaka kumpa umakini / attention mtoto moja tu, n.k. mtoto anakuwa hana kaka wala dada. yupo peke yake, is it fair...
  3. Tabata Bonyokwa tumepata maji siku moja baada ya kulalamika JamiiForums, ila tunaomba haya yazingatiwe

    Nipende kuipongeza japo kinafiki Mamlaka ya Maji DAWASA kwa kutupoza machungu ya kutokuwa na maji takriban wiki nne. Binafsi natambua kuwa suala la huduma ya maji ni gumu sana hivyo lawama haziepukiki. Natamani kuwepo na taarifa ya ratiba ya mgao wa maji kwa maeneo ambayo yana changamoto hasa...
  4. Media inayojitambua kupewa Maelekezo ya Kiutendaji na Rais wa Nchi ni Dharau ya moja kwa moja kwa Tasnia na Kufifisha pia Uweledi wao

    Ninavyojua Mimi Kazi ya Media ni Kuibua Masuala na Kuwasemea wale tu Wasioweza Kusema na Kusikilizwa vile vile.
  5. Kupenda timu 2 ligi moja

    Wadau hivi inawezekana mtu akashabikia timu 2 ligi moja
  6. R

    Ushauri: Awamu Moja Kwa Mbunge inatosha kabisa, wananchi tunahitaji changamoto mpya.

    Salaam, Shalom!! Miaka mitano, ni muda unaotosha kabisa kutimiza kusudi na malengo na KAZI ambayo mbunge amepewa na wananchi. Ikiwa miaka mitano pekee, ya Rais Magufuli, ilitosha kuonyesha matokeo makubwa kuliko waliokaa miaka kumi, iweje mbunge ashindwe kudeliver Kwa miaka mitano? Kwa kuwa...
  7. Salam za Eid al-Adha kwa wana jamii forum kutoka Sauti Moja Festival!

    Tunawapongeza kwa sikukuu hii ya kipekee, inayotukumbusha umuhimu wa kujitolea, imani, na mshikamano. Tunawatakia baraka nyingi, afya njema, na amani tele katika kipindi hiki cha Eid. Tunatumaini mnafurahia sherehe hizi pamoja na familia na marafiki, huku mkikumbuka umuhimu wa kusaidiana na kuwa...
  8. Mpaka sasa chaguo ni moja tu 2025

    ni Chama Cha Mapinduzi CCM. Sera zake za kusisimua na kuimarisha uchumi bado zinahitajika na kuaminika zaidi ndani na nje ya nchi, kwani kwa kiasi kikubwa zimebadili hali ya vipato na kuongeza hali za viwango vya maisha ya waTanzania kwa kiwango cha kuridhisha na kutia moyo sana. Sera zake za...
  9. Utetezi wa Haki: Manyerere Aachiwe Mara Moja - Katiba na Sheria Zinaunga Mkono Wito Huu

    Kwa Mkuu wa Polisi Wilaya ya Same, Kumradhi, Ninaandika andiko hili kwa lengo la kumtetea Naibu Mhariri wa Gazeti la Jamhuri, Manyerere, ambaye anashikiliwa kwa tuhuma za kupiga picha lori la mafuta lililoanguka. Kwa kutumia hoja zifuatazo za kisheria na kikatiba, ninaomba Manyerere aachiliwe...
  10. Kuna Baa za kishamba sana wanagawa tishu Moja mara mbili sijui wachawi

    Shalom, Kuna Baa zinaendeahwa kishamba sana sijui wachawi, wanazikata tishu Moja vipande viwili sijui wanatumwa na mapepo ya kichawi. Zinakera hizo Baa natamani kuwatukana naishia kuzikataa hizo tishu za kichawi. Ukinawa baada ya kula msosi ukipewa hako katishu daah aibu kama unanawa uchafu
  11. Ni matumaini yangu kuwa Watanzania wote mmeshajiandaa Kuzipokea hizi CHADEMA mbili zijazo Moja Original na nyingine Academia

    CHADEMA ORIGINAL Freeman Mbowe Godbless Lema Joseph Mbilinyi CHADEMA ACADEMIA Tundu Lissu Peter Msigwa John Heche Ni suala la muda tu na nawaombeni kama hamtojali wekeni Kumbukumbu ya huu Uzi kwani tayati Moto unawaka.
  12. Live Bungeni: Kukosekana kwa Kambi Rasmi ya Upinzani Bungeni, Kumepelekea Kipindi cha Maswali ya Papo kwa Papo kwa Waziri Mkuu Kukosa Impact?

    Wanabodi, Naangalia Bunge live asubuhi hii, kusubiria hotuba ya hali ya uchumi, ndio nikakumbuka kumbe leo ni siku ya Alhamisi, ni siku ya maswali ya moja kwa moja kwa Waziri Mkuu, sasa naomba kuuliza, jee kuna uwezekano wa kukosekana kwa kambi rasmi ya upinzani Bungeni, kumepelekea kupunguza...
  13. Urusi kuanzisha safari za moja kwa moja Moscow - Tanzania ✈️

    Russia imetangaza mwaka huu inaanza safari za moja kwa moja toka Moscow hadi Tanzania, Kuwait, Saudi Arabia, na Indonesia ✈️ This year Russian airlines will launch direct flights to Tanzania, Kuwait, Indonesia and Saudi Arabia - Ministry of Transport. --- In a move aimed at enhancing...
  14. Parachichi moja Ufaransa Tsh 6000

    Kwa sisi graduates tuliopo mtaani mchongo huu, yaani parachichi moja hapo Ufaransa linanunuliwa kwa elfu 6 Tuchangamkie fursa wazee utajiri upo ni kuamua tu #msaka_ajira
  15. Uzi maalumu wa maneno vifupi kihuni tupia neno moja la kisela

    1. 2100- tumia
  16. Mchakato wa kuamka kiroho sio suala la siku moja, hivyo tudumu kufanya meditation sana ili tupate kusudio letu hapa duniani

    1.Nataka Nisaidiwe Kuamsha/Kuzindua Kundalini Gharama Shilingi NGAPI? 🗣️JIBU;- Kuamsha Kundalini Hakuna Atakae kusaidia Si mchawi wala mganga Wala mtabiri Wa Nyota, Hakuna Dawa wala Pete ya kuvaa Itakayo Kusaidia Kuamsha Kundalini. ✍️Hii Ni Nguvu Yako mwenyewe Ipo Ndani YAKO, Mwenye Jukumu La...
  17. Je, ni sahihi mzazi kumlaumu mwalimu moja kwa moja kutoka na kufeli kwa mtoto wake?

    sote tunapaswa kukubaliana kwamba ili matokeo ya wanafunzi yawe mazuri panahiitajika ushirikiano uliotukuka katika mzazi, mwalimu na mwanafunzi huku kila mmoja akitimiza wajibu wake kadiri impasavyo kufanya na ikitokea mmoja au wawili kati yao hajatimiza majukumu yake daima matokeo yataendelea...
  18. U

    Mapacha wanne waliozaliwa siku moja watimiza miaka 83 ya kuzaliwa

    Wadau hamjamboni nyote? Mapacha wanne Leo wanasherehekea kutimiza miaka 83 ya kuzaliwa kwao Ujumbe wao: we are quadruplets, today we turned 83, we are waiting for congratulations from you 🥹🎂
  19. X

    Special thread: Mgogoro kati ya Urusi na NATO

    Uzi huu unaangazia kile kinachoendelea kuhusu mgogoro ulioibuka sasa wa NATO na Russia katika vita vya Ukraine. Ikumbukwe kuwa katibu mkuu wa NATO Jens Stoltenberg, alitaka silaha za misaada kwa Ukraine sasa zianze kutumika kushambulia moja kwa moja ndani ya mipaka ya Russia hasa miltary...
  20. Yanga inaweza kutengeneza milioni 600 kwa mwezi wa 6 na 7

    Endapo yanga watachagua team nzuri ya watu wakazungusha haya makombe mawili NBC na Crdb kuanzia dar hadi kigoma na Rukwa na kutoa offer ya Kila shabiki kupiga picha na kombe kwa sh.2000=1000 KILA kombe basi hakitakosa watu 300000 watakaotaka kupiga picha na makombe hayo kwa kiasi hicho
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…