Nina wiki sasa hapa Morogoro mjini, cha kushangaza umeme unakatika kila siku,sio asubuhi,mchana au usiku.
Nimeongea na wenyeji wanasema wameshajizoelea hizi shida. Tunamuomba Waziri mwenye dhamana ashughulikie tatizo la umeme huku Morogoro,wananchi wanateseka sana,shughuli za kiuchumi...