Mimi ni mmoja wa Wanafunzi katika Chuo cha Kiislamu Morogoro, changamoto kubwa ambayo naiona kwenye chuo chetu ni suala la mazingira machafu.
Chuo hakina vifaa vya kuwekea taka hali inayofanya Wanafunzi wanaoishi kwenye Bweni kuwa wanatupa taka hovyo na kumwaga maji bila mpangilio maeneo ya...
TAARIFA KWA UMMA
Jeshi la Polisi Mkoa wa Morogoro linathibitisha kutokea kwa vifo vya watu wawili kwa athari za maji yaliyotokana na mvua zinazoendelea kunyesha. Vifo hivyo vimetokea katika nyakati na maeneo tofauti.
Tukio mojawapo limetokea usiku wa kuamkia Januari 30, 2025 katika mtaa wa...
Salaam, kwa namna ya pekee naomba kuwasilisha kero yangu kuhusu upatikanaji wa maji manispaa ya Morogoro.
Kumekuwa na utaratibu wa maji kutoka kwa siku, napo kwa masaa machache. Ni ajabu kwasababu Morogoro ni mkoa ambao una vyanzo vingi sana vya maji, lakini wananchi wa manispaa ya Morogoro...
Kusema kweli Mkurugenzi, Meya na Madiwani mliopo Manispaa ya Morogoro Hamueleweki, Sijui huwa mnafikiria kwa kutumia vichwa gani? Hivi kweli Daladala Zote zinazotoka Pembezoni ya Mji kuja kati ya mji zinakosa sehemu Rasmi ya Kupakia Abiria?
Mwanzoni walikuwa wakitumia Stand ya Zamani Mkawaondoa...
Mwenyekiti wa Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMA) Mkoa wa Morogoro Ismail Rashidi Ismail amesema licha ya chama hicho kushindwa kufanya vizuri katika uchaguzi wa serikali za mitaa, lakini bado hawajakata tamaa ya ushiriki na kushinda katika uchaguzi mkuu ambao unatarajia kufanyika mwaka huu...
Hawa mabwana mvua ikinyesha kidogo tu afisa mkata umeme anakata mji mzima na hawafanyagi kazi usiku hivyo mvua ikinyesha wakikata sa 1 jioni hiyo ni mpaka kesho yake.
Napendekeza meneja wa mkoa apewe tuzo kwa niaba ya afisa mkataji mwandamizi.
Kipindi cha JPM ukiwapigia simu umeme umekata...
Unamkumbuka yule mtoto aliyeibiwa juzi kati hapa kule Pwani? Sasa habari njema ni kwamba Jeshi la Polisi mkoa wa Morogoro chini ya kamanda wake Alex Mkama wamethibitisha kupatikana kwa mtoto huyo, inadaiwa kwmaba mganga mmoja wa kienyeji tayari anashikiliwa kwa kuhusika na wizi wa huyo mtoto...
TANROADS naomba niseme tu hamko makini. Kuna shimo lipo stand ya Dodoma MJINI Morogoro jirani kabisa na Substation kubwa kabisa ya TANESCO linasumbua sana!!
Kuna watendaji nahisi hawaelewi wajibu wao katika taasisi za Serikali especially TANROADS. Na hili shimo ipo siku litasababisha ajali...
Salaam kwako Ndg Mussa Kilakala,
DC na M/Kiti kamati ya ulinzi Wilaya ya Morogoro (Mjini naVijijini).
Kuna mgogoro mkubwa wa Ardhi unaendelea ndani ya manispaa yako Mtaa wa Ngerengere B, kata ya Mkundi.
Chanzo cha mgogoro, inasemekana;
Ndg Chacha Kimweri (Mmasai & Mfugaji). Anadai kumiliki...
Kuna wakati mtu unapata pesa za haraka alafu unashindwa kuwaza ufanye nini kwa haraka ili pesa yako isiishe bila kufanya cha maana. Wengine wanapata kutoka kwenye kiinua mgongo, mafao fulani, wengine mkopo, wengine ni mgao fulani, wengine wanagawiwa kama zawadi n.k
Kama mimi ningebahatika...
Wakuu,
Mbona vitisho vimekuwa vingi sana kipindi hiko cha karibuni? Yaani kila mtu anamtisha mnyonge wake.
Kuna nini?
========================================================
Mkuu wa mkoa wa Morogoro Mhe Adam Malima ametishia kuwahamisha baadhi ya watumishi wa Mamlaka ya Maji Safi na Usafi...
Kwa utafiti hafifu Mji wa Morogoro una shindwa kupiga hatua kwasababu za KIUONGOZI WA JIMBO!
Matatizo makubwa ya Mii huu haya semewi na kusimamiwa ipasavyo na Mbunge na Madiwani sababu hawana Uchungu na wanaoneana Aibu kuambiana Ukweli!
Ukimsema kwa nia ya Kumkosoa Mbunge kwa wema kabisa...
Mimi ni mmoja wa Wasafiri wa Treni ya SGR, nilikata tiketi ya kuondoka asubuhi ya Saa 12:00 leo Januari 8, 2025 lakini ulipofika muda huo safari ikasogezwa mbele kwa nusu saa.
Safari yangu ni kuelekea Dodoma, matarajia ya kuwasili yalikuwa Saa 3:30 asubuhi baada ya hapo ilikuwa nielekee kwenye...
Kaya kumi na nane za eneo la Kisaki Kijiji cha Mbuyuni Minepa, Wilaya ya Ulanga mkoani Morogoro hazina mahali pa kuishi baada ya nyumba zao vyakula pamoja na vitandea kazi kudaiwa kuchomwa moto na askari wa Hifadhi ya Jamii ya Iluma (WMA) kwa madai ya kuvamia eneo la hifadhi
Habari Wadau,
Nina frame mjini Morogoro, eneo la Sabasaba, eneo zuri kabisa kwa biashara ya nguo (nafuu), viatu, jezi, nk, jumla na rejareja. Pia ni eneo lenye mnada siku ya Jumapili.
Tatizo sina mtaji wa kutosha kama wanaonizunguka… nakuita wewe mwenye mali, njoo tushirikiane, lete mali...
Katikati ya eneo la Kitungwa na Nanenane MOROGORO kuna huu mradi wa Star City wenye Viwanja vingi ambavyo havija endelezwa kwasababu mbalimbali! Serikali ya mkoa iingilie kati kwa manufaa ya wengi kwani eneo hilo sasa ni tishio la usalama! Eneo limekua
1. Maficho ya Wezi, Eneo hili linatishia...
Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Dkt. Ashatu Kijaji amegawa pikipiki 700 na vishkwambi 4,500 kwa ajili ya matumizi ya maafisa ugani wa sekta ya mifugo mkoani Morogoro.
Dkt. Kijaji amesema hatua hiyo itasaidia kuondoa migogoro ya wakulima na wafugaji wilayani Kilosa na mkoani Morogoro kwa ujumla huku...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.