Aron Daniel (16), mkazi wa mtaa wa Msimamo, Kata ya Kihonda, Manispaa ya Morogoro amekutwa amefariki dunia katika eneo la 'Youth Mission' huku mwili wake ukiwa na majeraha usoni.
Baba mdogo wa marehemu, Baraka Kamele, amesema Aron alikuwa akijihusisha na uchungaji wa mbuzi, ambapo Novemba 16...
Heshima kwenu wakuu!
Niliazimia siku Moja nitembelee morogoro wilaya ya Gairo na Mvumero! Hatimae ikawadia na ikaenda sawa sawia kabisaa...
Kutoka kahama Hadi Gairo morogoro safari ilianza saa2:30.
Gari ilikuwa na changamoto kadhaa hasa kuharibika na Hadi kufika saa9 arasiri nikawa nimewasili...
Habari za asb wadau. Nyama nzuri iliyopimwa na mtaalam ~Steak kilo & Mixed Beef ~Nyama yenye mifupa - Kilo 80 inapatikana.
Una shughyli, shule, Hoteli tupigie 0787904860 tupo Morogoro mjini Steak 12000 Mixer 9500 wahi
Bibi mwenye umri wa takriban miaka 80 aitwaye Mwanahamisi Salimu Mtari (Bibi Keja) alipotea Jumatatu tarehe 21.10.2024 kata ya Mindu mtaa wa Mikoroshini nyumbani kwa mwanaye majira ya saa 11 jioni. Ana tatizo la kupoteza kumbukumbu kwa sababu ya umri wake.
Alikuwa amevaa gauni la bluu...
Katika tathmini ya majiji yote kukua hutawai kuisikia Morogoro inakua au inategemewa kukua kutokana na miradi au vipaumbele vya nchi.
Morogoro ipo katikati ya majiji mawili makubwa Dar na Dodoma. Hii ni ngumu sana uwekezaji kufanyika hapa.
Pole Morogoro utabaki kuwa njia panda.
Machinjio ya Manispaa ya Morogoro unaweza kuhisi ni sehemu iliyotelekezwa, uchakavu, uchafu na harufu mbaya
Harufu ya machinjio iliyopo katika Manispaa ya Morogoro imekuwa kero kwa wakazi wanaozunguka eneo hilo pamoja na wapitanjia kutokana na miundombinu kuwa mibovu hasa ya kupitisha maji...
Wakuu, huu ni Uungwana kweli?
Huko Marogoro mwenye nyumba kamfungia ndani saa 27 mpangaji kisa amekiuka notisi
Katika hali isiyokuwa ya kawaida, mmiliki wa nyumba Plot namba 149 BLOCK ‘A’ Kihonda Kilimanjaro, Dk. Lusako Mwakiruma ilioyopo Mtaa wa Kilimanjaro Manispaa ya Morogoro, amemfungia...
Mzee maarufu morogoro kwa kutengeneza saa na mganga wa tiba asili malyawere almaarufu mtundula amefariki kwa ajali msamvu tanesco morogoro yeye na mkewe leo. Mungu amlaze pema mwamba yule.
Michael John Gwimile, Mkurugenzi na Msimamizi wa Uchaguzi Halmashauri ya Kilosa.
Soma Pia: Prof. Jay: Wagombea wetu wote Wilaya ya Kilosa wameenguliwa Uchaguzi wa Serikali za Mitaa
Salaam wadau....Natafuta chumba cha kupanga morogoro mjini. Kiwe self, itapendeza nikipata maeneo ya karibu na hospital ya mkoa. Mwenye connection tuwasiliane tafadhali.
Katika kuhakikisha kwamba sekta ya usafirishaji wa abiria nchini inakuwa na uwiano mzuri wa kibiashara kati ya mabasi na treni, kuna haja ya kuangalia upya bei za nauli za treni kwa safari za kwenda Morogoro na Dodoma.
Ili kuboresha uwiano wa biashara na kutoa nafasi kwa mabasi kuendelea...
Kutokuwepo uelewa wa namna ya kufungua akaunti ya kufanya malipo mbalimbali ya Halmashauri nchini wa Tausi Portal ni chanzo cha maafisa mapato kujinufaisha. Huenda wizi huu unafanyika katika Halmashauri zote nchini. Katika oparesheni inayoendelea ya kukusanya madeni inayoendelea kwa...
Kama mada tajwa hapo juu wakuu hivi ni mkoa gani rahisi kutoboa Kati ya katavi na morogoro hasa hasa kwa watumishi wa umma maana kuna mikoa mingine kutoboa ni kipengele kiukweli maana hali ya maisha ipo juu sana kwahiyo kati yq katavi na morogoro ni mkoa upi rahisi kutoboa?
Kwenye tarehe 10 Agosti 2019, Tanzania ilikumbwa na tukio la kusikitisha na kutisha ambalo limebaki kuwa kumbukumbu mbaya kwa wengi.
Ajali ya moto iliyotokea mjini Morogoro, karibu na eneo la Msamvu, ilihusisha lori la mafuta lililopinduka na kulipuka, na kupelekea vifo vya watu zaidi ya 100...
Wazee wa vizuizi wameyatimba, Morogoro Road shwari Madambwe ya Rushwa na kubambikia Madereva vyeti yameondolewa.
Tumeshaandika thread nyingi humu kulalamika kuhusu Jeshi letu kuongeza barriers hatarishi humu na kukusanya 2,000 kwa madereva, jana tumeona shwari mpaka mlandizi hakuna hata kimoja...
Mwanaume mmoja aliyefahamika kwa jina la Emilian Makalla (46) Mkazi wa Bigwa Barabarani wilaya ya Bigwa Mkoani Morogoro amejinyonga kwa kutumia chandarua na kufariki dunia nyumbai kwake huku chanzo kikiwa hakijafahamika.
Kwa mujibu wa ndugu wa marehemu wameeleza kwamba Emillian alikuwa...
Mimi Mkazi wa Mindu, Manispaa ya Morogoro jamani huku kwetu kuna kero ya maji mno licha ya kuwepo kwa bwawa lakini sisi hatuna huduma ya maji mpaka imekuwa kero inatulazimu kutumia maji ya kwenye Visima na Makorongo hali ambayo ni hatari kwa Afya zetu na ni hatari kupata magojwa ya milipuko...
Master plan ya wakoloni ilitaka mji au jiji la Dar es Salaam lijengeke kuelekea Pugu.majengo yaliyopo mtaa wa Nkrumah ,viwanda Pugu Road,na uwekezaji mwingine kwa njia hiyo ni ushahidi tosha.
Baada ya Uhuru mji ukaelekea Bagamoyo Road na Morogoro Road.
Kumbuka Pugu Road ina uwezo wa kufika...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.