Asante Sana Mama kwa kazi nzuri ya ujenzi japo Kimara walistahili adhabu kwa miaka iliyobakiKuanzia Kibo kuelekea Mbezi foleni mbaya kwasababu ya ujenzi wa barabara.
Matrafiki wamekimbia, barabara vurugu.
Poleni.Kuanzia Kibo kuelekea Mbezi foleni mbaya kwasababu ya ujenzi wa barabara.
Matrafiki wamekimbia, barabara vurugu.
Nimeepa hiyo road nikapita Goba nikapata msala😭Kuanzia Kibo kuelekea Mbezi foleni mbaya kwasababu ya ujenzi wa barabara.
Matrafiki wamekimbia, barabara vurugu.
Hio njia mwaka huu nimepita mara moja tu,nilipanda bus kutoka Moro kuja Dar.Hii njia hii wiki yote ni hivyohivyo
Ningeshauri muhamie huku Kintinku ila changamoto hatuna maghorofa na mawinga.Foleni ukichanganya na joto basi tabu tupu
Unawakosea kuwapa pole.Wanapenda hilo joto wananawiri na hekaheka zake zinawapatia fedha.Wapongezwe!Poleni.
Nimetoboa fresh tu mpaka Mbezi nikakutana na mengineHakuna kwenye nafuu
Umetoa location ulipo kwa watekaji bila shuruti.Beware of abductors!nimesimama hapa movik kwanza kidogo
hahaha wakinikuta hapo mkuu wataishukuru mizimu ya kwaoUmetoa location ulipo kwa watekaji bila shuruti.Beware of abductors!
Sahihi.Kila baada ya sekunde tatu location ibadilike.hahaha wakinikuta hapo mkuu wataishukuru mizimu ya kwao
Hio njia mwaka huu nimepita mara moja tu,nilipanda bus kutoka Moro kuja Dar.
Wanakwambia hakuna kurudi kijijini tunabanana hapa hapa jijini huko mpaka uzeeniNingeshauri muhamie huku Kintinku ila changamoto hatuna maghorofa na mawinga.
Mkirudi huku mamlaka za miji midogo mje na mafao ya kutosha.Hatutawagawia mashamba wala nyumba za urithi.Mkumbuke hayo,tunawapenda sana.Wanakwambia hakuna kurudi kijijini tunabanana hapa hapa jijini huko mpaka uzeeni